Yawezekana huyu ndo Secret Service counter assault team member aliyemuua jamaa aliyempiga risasi Donald Trump

Yawezekana huyu ndo Secret Service counter assault team member aliyemuua jamaa aliyempiga risasi Donald Trump

Ni wazi Wafuasi wa Trump walimuona huyu Muuaji akipanda juuu hapo na akiwa na Silaha.

Kwa kelele hizi, ni kithibitisho tosha kua.

Kumbe hata Marekan, Kuna Highest level of incompetence, negligence , ignorance , insubordination among Security secret services !! .

Hapa chini Wananchi wa Trump wanapoga kelele sekunde kadhaaa muuajianafyatua risasi

View attachment 3041886
Hatari hii
 
ILa jamaa angesogeza target yake inchi mbili tu ndanj alikua anafumua ubongo... anaonekana alipata target kwenye cross hair ila alipovuta trigger impact ikamtoa nje kidogo... anaonesha ni amateur.
napata utamu kusoma uchambuzi wa nguli wa masuala mbalimbali ya kitaalam, akiwemo huyo. sikia hizi maneno 'AMATEUR' na 'TRIGER'
 
Atakuwa ni mwananchi mwenye hasira kali tu.
Jamaa sniper anasema hakukuwa na view nzuri ya kumtungua yule dogo, wachambuzi wanasema mbona hawakuwa na FLIR, au Drone au Helicopter kucover eneo la mkutano. Kwa tech ambao hao wakuu wanajigamba wanayo hapo tukio limefanyika kienyeji sana. Ndio maana watu wanamtaka Kimberly Cheatle ajihuzuru
.
 
Ni wazi Wafuasi wa Trump walimuona huyu Muuaji akipanda juuu hapo na akiwa na Silaha.

Kwa kelele hizi, ni kithibitisho tosha kua.

Kumbe hata Marekan, Kuna Highest level of incompetence, negligence , ignorance , insubordination among Security secret services !! .

Hapa chini Wananchi wa Trump wanapoga kelele sekunde kadhaaa muuajianafyatua risasi

View attachment 3041886
Naona mama anamfukuza mdunguaji. Fu**ck Get out over here
 
napata utamu kusoma uchambuzi wa nguli wa masuala mbalimbali ya kitaalam, akiwemo huyo. sikia hizi maneno 'AMATEUR' na 'TRIGER'
Wahuni wabongo utawaweza wewe awa kila kitu wanajua. Ila maswala ya uchumi wako zero tuuu. Ila maswala ya vita wanapenda sana. Na ndio maana kwenye uzi maalumu uwezi kuwakuta kama kwenye maswala nyeti ya uchumi
 
kuna nyakati za ile ajali ya ndege Ethiopia, humu jukwaani kulijaa chambuzi jadidi zilizoshiba. tukasikia cms, pitot holes, black box n.k. nikawa najiuliza kumbe tz tunaitwa masikini kwa bahati mbaya. watu wanajua mengi ya thamani kwanini wasipewe nafasi wakayaonesha maujanja yao 😀😀. Masoud Kipanya katoa gari ya umeme, wataalam hukamrukia hewani kumkosoa eti kaunda toroli lilichangamka, mara hakina shepu, sijui nini almradi tu watoe makosa badala wajiulize huyu kathubutu kionesha kwa vitendo anachokiwaza; je wao wameshatoa hata mkokoteni wa mbao😋😋
 
Tofauti ya Afrika na Amerika Amerika watu wengi wanamiliki bunduki
Huku Tanzania watu wengi wangekuwa wanamiliki bunduki mbona mafisadi wangeshaisha siku nyingi.
Mungewafyeka😀?
 
The shooter was very open... Halafu sio pro... Aliinuka kidogo ndio akapiga risasi ndio maana hakupata target vizuri..
Hakuna gun detector hapo? Au mpaka akisha kuwa Potus ndio kunakuwa na hizo detectors na surveillance cams!??
Ulikuwa mchongo wa kumuua trump huo.. ila umebuma.. hao secret service wamejivuta mno kummaliza huyo dogo, kama walikuwa na maagizo flan.
 
Kuna wakati Mungu Huwa anaacha kitu Ili watu wajifunze.
 
The shooter was very open... Halafu sio pro... Aliinuka kidogo ndio akapiga risasi ndio maana hakupata target vizuri..
Hakuna gun detector hapo? Au mpaka akisha kuwa Potus ndio kunakuwa na hizo detectors na surveillance cams!??
Gun detector wakati Kila mmarekani amerihisiwa gun!? Kule ni Mungu saidia tu!!
 
Back
Top Bottom