Yawezekana JamiiForums Ndilo Jukwaa Lenye watu Wajuaji Zaidi Tanzania

.......and 1000 others
 
 
Ukiwa na IQ hata ya 70 and a little exposure huwezi kukosa ABC za mada mbalimbali. Yaani ukiwa na general knowledge tu mijadala mingi unaweza kuchangia.
 
Duniani watu hatufanani kaka uwezo wa kuishi nao ndo smartness yenyewe na siyo akili zq darasani
 
Ukiwa na IQ hata ya 70 and a little exposure huwezi kukosa ABC za mada mbalimbali. Yaani ukiwa na general knowledge tu mijadala mingi unaweza kuchangia.
Sasa humu kuna mada gn ngumu za kuumiza kichwa?

Yn hata hy general knowledge utatumia kwenye 5% za mada zote JF mzima mana 95% za mada Humu n mashudu tuu.
 
Umechelewa sana kufahamu, ulikuwa jela?
 
Mkuu secondary tumesoma masomo 10 zahidi,kwa miaka 4 unategemea nn hapo silazima uwe mkamalia mbobevu mno.
 
Unataka tukusaidieje sasa kama umelijua hilo. Au ndo unataka tukuambie humu hata mwenyekiti wa wendawazimu ni Mbaga Jr ndo uamini au hata nikupe mmasai anaejua kupika wali wa nazi ndo ujue we know everything for nothing.
 
Sasa humu kuna mada gn ngumu za kuumiza kichwa?

Yn hata hy general knowledge utatumia kwenye 5% za mada zote JF mzima mana 95% za mada Humu n mashudu tuu.
Kuna sehemu nimeandika kuhusu mada ngumu za kuumiza kichwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ