Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abdurahaman Kinana; huyu Magufuli alimpumzisha kwa uchafu wake! Akaja rudishwa na fisadi wa Msoga baada ya kumsindikiza Magu!nape, mwigulu
Kwa taarifa yako Kasella-Bantu alibatizwa kwa jina la Joseph. Udini uliomfanya Mwalimu amtie kizuizini na amsikilize Rashidi Mfaume ni upi?Tunatokaje hapo? Raia wajinga ni lazima waongozwe na viongozi wajinga, wakati ule kina Sir Teophil Georges wanamsisitiza mwalimu kuhakikisha Utawala wa sheria, kina Kasela bantu n. K yeye aliwapiga kumbo badala yake akaweka udini mbele instead of uzalendo a kaanza kuengue hata zile brains na talent ambazo Mkoloni alitusaidia kuzigroom ili zije kuiendeleza Tanganyika huru yeye akaja na msalaba wa Azimio kisha CCM, wakapora mali, wakavuruga elimu wakawaacha wa Tanganyika na ujinga, Humphrey pole pole akinukuliwa akiwatweza waTanganyika wenzake kwa kujisifu kutembelea V8 kwa mwenyeviti wa chama huko matawini hali ya kuwa waTanganyika wako na njaa kali kichwani na Tumboni, kwa namna hiyo usitaraji kupata brain ikakuongoza na kuenzi utawala wa sheria, hii nimeruhusu, nimekataza, nimeridhia ni wimbi wa kifalme wala Mkoloni hakuishi pia
Hilo suala wapaswa kujibu mwenyewe kwa faida ya wengine nimesite kisa cha kasella bantu juu ya suala la ukiukwaji wa utawala wa kisheria, hilo la udini ambalo limeamsha hisia zako sikuweka mfano wake unaweza rejea makablasha upitie namna tulivyofikishwa hapa na mwalimu kupitia udini aliouasisi pasina kutazama mbaliKwa taarifa yako Kasella-Bantu alibatizwa kwa jina la Joseph. Udini uliomfanya Mwalimu amtie kizuizini na amsikilize Rashidi Mfaume ni upi?
Amandla...
Kuisoma wanaweza kuwa wameisoma, tatizo kubwa sana na la msingi ni je wameielewa!!??Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje?
Huoni kwamba, ama tunaongozwa na viongozi wajinga wasio na ufahamu hata ule wa msingi tu wa elimu ya uraia na jinsi ambavyo nchi inapaswa kuongozwa kwa kufuata katiba ya nchi, au, tunaongozwa na viongozi wasiojali kabisa kufuata katiba ya nchi na sheria zingine za nchi?
Lipi ni lipi hapo?
This country is a hot steaming mess!
ok tusubiriUnapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje?
Huoni kwamba, ama tunaongozwa na viongozi wajinga wasio na ufahamu hata ule wa msingi tu wa elimu ya uraia na jinsi ambavyo nchi inapaswa kuongozwa kwa kufuata katiba ya nchi, au, tunaongozwa na viongozi wasiojali kabisa kufuata katiba ya nchi na sheria zingine za nchi?
Lipi ni lipi hapo?
This country is a hot steaming mess!
Umeingiza udini mahali ambapo sipo. Haukuweka mfano kwa sababu unasema tuu kama kasuku bila kuelewa ulisemalo. Watu kama wewe ndio mnataka kutupeleka kusipo.Hilo suala wapaswa kujibu mwenyewe kwa faida ya wengine nimesite kisa cha kasella bantu juu ya suala la ukiukwaji wa utawala wa kisheria, hilo la udini ambalo limeamsha hisia zako sikuweka mfano wake unaweza rejea makablasha upitie namna tulivyofikishwa hapa na mwalimu kupitia udini aliouasisi pasina kutazama mbali
Ni kujitoa ufahamu tu. Watu wanakwambia Kila linalofanyika nchini linafanywa na Samia? Ni juzi tu wameshituka wakakubaliana hela za kujenga vyoo wasimtaje Samia maana ni aibu.Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje?
Huoni kwamba, ama tunaongozwa na viongozi wajinga wasio na ufahamu hata ule wa msingi tu wa elimu ya uraia na jinsi ambavyo nchi inapaswa kuongozwa kwa kufuata katiba ya nchi, au, tunaongozwa na viongozi wasiojali kabisa kufuata katiba ya nchi na sheria zingine za nchi?
Lipi ni lipi hapo?
This country is a hot steaming mess!
Wewe ulieisoma Kwa nini huiongozi kutwa kucha kulalamika kama simbilisi 🤣🤣Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje?
Huoni kwamba, ama tunaongozwa na viongozi wajinga wasio na ufahamu hata ule wa msingi tu wa elimu ya uraia na jinsi ambavyo nchi inapaswa kuongozwa kwa kufuata katiba ya nchi, au, tunaongozwa na viongozi wasiojali kabisa kufuata katiba ya nchi na sheria zingine za nchi?
Lipi ni lipi hapo?
This country is a hot steaming mess!
Mimi siyo msomi. Nilifelis fom foo.Wewe ulieisoma Kwa nini huiongozi kutwa kucha kulalamika kama simbilisi 🤣🤣
Sawa simbilisi Tulia unyoleweMimi siyo msomi. Nilifelis fom foo.
Cha ajabu humohumo kuna mijitu mingi ina maPhD, lakini ndo hivo ujinga hauwaishi..Nchi inayoongozwa na viongozi wajinga itawezaje kujiondoa katika lindi la ujinga?
Huenda hatuongozwi, bali tunatawaliwa.Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje?
Huoni kwamba, ama tunaongozwa na viongozi wajinga wasio na ufahamu hata ule wa msingi tu wa elimu ya uraia na jinsi ambavyo nchi inapaswa kuongozwa kwa kufuata katiba ya nchi, au, tunaongozwa na viongozi wasiojali kabisa kufuata katiba ya nchi na sheria zingine za nchi?
Lipi ni lipi hapo?
This country is a hot steaming mess!
Hiyo Stockholm syndrome uliyonayo sina msaada labda umtafute mwana psychology, nenda katazame kwenye files vyuo, jumuia na teuzi zilizokwaa kisiki wakati wa Mwalimu kwasababu ya udini, halafu nikushauri pia ni vyema kuwa na ustahimilivu kusikiliza usiyoyapenda kadhalika Taifa hili tiba yake ni kuambizana ukweli si kwa ulongo na mbwembwe za mtindo wa nzi kelele nyingi kufakamia mzoga wenye funza.Umeingiza udini mahali ambapo sipo. Haukuweka mfano kwa sababu unasema tuu kama kasuku bila kuelewa ulisemalo. Watu kama wewe ndio mnataka kutupeleka kusipo.
Amandla...
Maneno mengi. Weka data hapa. Usipende kutafuniwe kila kitu. Ukweli sio kwa sababu unasema. Ukweli ni kwa sababu umeujengea hoja. Umesema Mwalimu alikuwa mbaguzi wa kidini halafu unamtolea mfano mtu aliyebaguliwa kwa sababu ya dini kumbe nae ni mmisheni kama Mwalimu.Hiyo Stockholm syndrome uliyonayo sina msaada labda umtafute mwana psychology, nenda katazame kwenye files vyuo, jumuia na teuzi zilizokwaa kisiki wakati wa Mwalimu kwasababu ya udini, halafu nikushauri pia ni vyema kuwa na ustahimilivu kusikiliza usiyoyapenda kadhalika Taifa hili tiba yake ni kuambizana ukweli si kwa ulongo na mbwembwe za mtindo wa nzi kelele nyingi kufakamia mzoga wenye funza.
Chukua na hii ➡️ mwalimu alishindwa nini kurejesha mali za chama(ambazo si za chama in such kwasababu waTanganyika waliporwa kwa ulaghai) wakati ameshika uenyekiti kamuachia mzee mwinyi Ukulu, kwa dhana yake ya "Tujisahihishe"
We punguani kama hukuweza kuelewa kwanini nimemuweka Bantu na T Georges kwenye mifano ya utawala bora sina lakukusaidia kwa uvivu wako wakujisomea, baki na ujinga wako na hiyo syndrome iliyokuvizaManeno mengi. Weka data hapa. Usipende kutafuniwe kila kitu. Ukweli sio kwa sababu unasema. Ukweli ni kwa sababu umeujengea hoja. Umesema Mwalimu alikuwa mbaguzi wa kidini halafu unamtolea mfano mtu aliyebaguliwa kwa sababu ya dini kumbe nae ni mmisheni kama Mwalimu.
Kwa nini umlaumu Mwalimu kwa kushindwa kurudisha mali zilizoporwa na chama chake wakati wenyeviti wote waliomfuata ( wakristu na waislamu) hawajafanya hivyo! Kama unaumie sana mwambie Mwenyekiti wa sasa afanye hivyo ili apate thawabu kwa Mwenyezi Mungu. Oh, kumbe ni Muislamu!
Btw, msomi fake, ni " as such" sio "in such".
Unataka niwe mstahimilivu? Bahati mbaya sina ustahimilivu when it comes to fools na idiots. Mpaka sasa nimekuvumilia sana. Naona niishie hapa kabla uvumilivu haujaniishia. Sita kujibu tena.
Amandla...
Hizo ni kauli za kitapeli,eti nitawaletea maendeleo.Hata Kiongozi au mgombea uongozi akisema, ".....nitawaletea maendeleo."; huyo ni tapeli tu, maana hakuna sehemu anapoenda kuyachukua hayo 'maendeleo' na kuwaletea wananchi.!