Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku Hamjalalamika Kuwa Uchaguzi umeharibika yaani kwa Mafuriko ya Magu In Dhahili mioyoni mwenu mnajua Magubanashinda kwa 85%Nyoo safari hii hakuna kuiba kura labda mmharibu uchaguzi
Kuna Watu wapiga hela balaa hapoNimepita kuanzia kimara hadi ubungo njian mwote humo yamejaa mabango makubwa ya ibilisi, sasa kama amefanya mambo makubwa mibango yote hyo ni ya kazi gani.
Lissu ndioo Anaakili Tanzania nzima, Lissu ndio Mkweli Kuliko hata Yesu Lisu lisu lisu Yeye Ndio Yeye Ila Mzee Magu atamfundisha Adabu kwamba Kelele na uwongo hues hazipgi kuralissu anajua sheria peke yake tanzania nzima, lissu ndo anafanya kampeni nzuri dunia nzima peke yake, endeleni kujazia zingine zilizobaki
Hahahaha Ndio Mabango Hayana Umuhimu Ila Tarehe 28/10 mtatamani kama mngekuwa na Mabango Subilini kama hamjaja na kaunza kulalamika Humu Humu Hamkawiii
Shida yenu hata barabarani hamtatoka mtasubilia watu watoki nao hawatatoka na mwisho Wa Sikh tutakutana hapahapa kujadili wengine tukiwa tunacheka na wengine mkiwa mmenuna na mnaliaHaachiwi Mungu safari hii. Mtajua kuwa kizazi hiki sio cha ccm.
Shida yenu hata barabarani hamtatoka mtasubilia watu watoki nao hawatatoka na mwisho Wa Sikh tutakutana hapahapa kujadili wengine tukiwa tunacheka na wengine mkiwa mmenuna na mnalia
Kwani unateseka ?Chama chetu hakina pesa,Mbowe alizitafuna zoote.
We shoga subiri Lissu ashinde ili ufumuliwe vizuri.Kwani unateseka ?
Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake.
Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha na anaendelea kuwa msumari mkali kwa CCM kadri sekunde zinavosonga.
Kupitia uchaguzi huu, Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo, MABANGO sio njia ya lazima ya kupiga kampeni.
Hakika nimeamini LISSU anaenda kuleta ukombozi kwenye taifa hili.
Aluta continua!!!!!
CCM kamwe huu mziki wa 2020 hamtauweza maana mnapambana na mbeba maono ambaye anazidi kuweka record kila uchwao.
Hahahahaha UNAJUA ZAMANI VICHAAA WALIKUWA MABARABARANI TU SASA SIKU IZI HADI MITANDAONI KUNA VICHAUshindi bila hata bango, redio na TV zikiwa zimepigwa marufuku kumtangaza...
Huu ni ushindi wa aina yake kwa kweli...
Huyu mwingine kachafua miji yote Tanzania nzima kwa mapicha yake ya hovyo na kuchukiza tu...
Ama kweli CHEMA (TUNDU LISSU - CHADEMA) CHAJIUZA CHENYEWE, LAKINI KIBAYA (JOHN POMBE - CCM) CHAJITEMBEZA HUKU NA KULE ILI KIUZIKE....!!
Ndo kampeni ya kwanza kuona watu uwanja mzima wamekalia viti..Ukimwangaliu huyo jamaa utagundua hana furaha kama amelazimishwa kuja tu kuongeza vichwa, hata tisheti hajafunga vifungo inaonekana kavalishwa tu kwa lazima chap View attachment 1585922
Sio Huyo tu na hao wengine nyuso zao kama wapo kwenye ibada ya mazishiUkimwangaliu huyo jamaa utagundua hana furaha kama amelazimishwa kuja tu kuongeza vichwa, hata tisheti hajafunga vifungo inaonekana kavalishwa tu kwa lazima chap View attachment 1585922
Kuna majaa yanauchapa usingizi hapo.Ukimwangaliu huyo jamaa utagundua hana furaha kama amelazimishwa kuja tu kuongeza vichwa, hata tisheti hajafunga vifungo inaonekana kavalishwa tu kwa lazima chap View attachment 1585922
Wakati wa Augustino lyatonga mrema ulikua umezaliwa?
Za Dr Slaa na Lowassa je uliziona?
Lisu siyo lowasa mzee. Hii no habar ya mjinilissu anajua sheria peke yake tanzania nzima, lissu ndo anafanya kampeni nzuri dunia nzima peke yake, endeleni kujazia zingine zilizobaki
Naombeni kura wanangu...!View attachment 1585912
"KAZI YA URAIS NI NGUMU SANA" za kuambiwa changanya na zako!Naombeni kura wanangu...!View attachment 1585912
Lisu siyo lowasa mzee. Hii no habar ya mjini