Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
- Thread starter
- #61
CCM anakuwa mchafuzi mkubwa wa mazingira kwa sasaUpande ule wa kijani wamejaza mabango nchi nzima,imepoteza mpaka radha ya kuitwa mabango yamekuwa ni takataka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM anakuwa mchafuzi mkubwa wa mazingira kwa sasaUpande ule wa kijani wamejaza mabango nchi nzima,imepoteza mpaka radha ya kuitwa mabango yamekuwa ni takataka.
Hizi kura za Lissu kabisa..Ukimwangaliu huyo jamaa utagundua hana furaha kama amelazimishwa kuja tu kuongeza vichwa, hata tisheti hajafunga vifungo inaonekana kavalishwa tu kwa lazima chap View attachment 1585922
Safi sana piga spana kabisaWale wa kijani walibandika bango lao kubwa getini kwangu juzi nikawaambia toa sina nasaba na chama chochote wakaleta viswahili vingi nikasema toa wakatoa bango lenyewe lilikuwa na jamaa mmoja mweupe pembeni ya mh Magufuli ambaye kwa miaka 10 hajafanya chochote kwenye kata yangu, hakuna dhahanati, maji wala umeme halafu anaomba mitano tena ya ubunge sijui halmashauri kuu ilimpitishaje, bungeni yeye hana hoja yeye ni kupiga makofi tu.
Tulia wewe 28.10.2020 utajua Lissu ni kiboko ya uchafuNi kampeni za kipekee - KWELI, badala ya kunadi Sera anagombana na Mamlaka ambazo yeye anaomba awe kiongozi!
Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha - KWELI, badala ya kuhubiri amani kwa wananchi ambao anawaomba awe kiongoxi wao yeye anahubiri chuki, fitina na visasi!
Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo - KWELI, kwamba kumbe jukwaa la kisiasa laweza kubadilishwa kuwa mahakama!
Hayo yote tisa, kumi ni tarehe 28/10/2020, wananchi wapiga kura watakapotumia uhuru na haki yao kuchagua viongozi:
√ waliohubiri amani wakati wa kampeni;
√ wanaoaminika kuwa watawawekea mazingira ya kuondokana na umaskini;
√ watakaoshirikiana nao katika shughuli za maendeleo;
√ watakao kuwa nao wakati wa shida na raha (km mlipuko wa ugonjwa);
√ wenue dhamira ya dhati kulinda rasmali na maliasili ya taifa kwa vizazi vya sasa na vinavyokuja;
√ wenye rekodi iliyotukuka ya utendaji wa mfano kijamii;
√ wacha Mungu na kumtumainia.
Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake.
Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha na anaendelea kuwa msumari mkali kwa CCM kadri sekunde zinavosonga.
Kupitia uchaguzi huu, Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo, MABANGO sio njia ya lazima ya kupiga kampeni.
Hakika nimeamini LISSU anaenda kuleta ukombozi kwenye taifa hili.
Aluta continua!!!!!
CCM kamwe huu mziki wa 2020 hamtauweza maana mnapambana na mbeba maono ambaye anazidi kuweka record kila uchwao.
Upande ule wa kijani wamejaza mabango nchi nzima,imepoteza mpaka radha ya kuitwa mabango yamekuwa ni takataka.
Kwa hakika unayoyasema ndiyo Ukweli halisi !Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake.
Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha na anaendelea kuwa msumari mkali kwa CCM kadri sekunde zinavosonga.
Kupitia uchaguzi huu, Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo, MABANGO sio njia ya lazima ya kupiga kampeni.
Hakika nimeamini LISSU anaenda kuleta ukombozi kwenye taifa hili.
Aluta continua!!!!!
CCM kamwe huu mziki wa 2020 hamtauweza maana mnapambana na mbeba maono ambaye anazidi kuweka record kila uchwao.
Tulia wewe 28.10.2020 utajua Lissu ni kiboko ya uchafu
Wenzako jikoni wanahaha watajinasua vipi wewe upiga porojo. Hali mbaya huko nduguHahahaha Ndio Mabango Hayana Umuhimu Ila Tarehe 28/10 mtatamani kama mngekuwa na Mabango Subilini kama hamjaja na kaunza kulalamika Humu Humu Hamkawiii
Ni kampeni za kipekee - KWELI, badala ya kunadi Sera anagombana na Mamlaka ambazo yeye anaomba awe kiongozi!
Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha - KWELI, badala ya kuhubiri amani kwa wananchi ambao anawaomba awe kiongoxi wao yeye anahubiri chuki, fitina na visasi!
Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo - KWELI, kwamba kumbe jukwaa la kisiasa laweza kubadilishwa kuwa mahakama!
Hayo yote tisa, kumi ni tarehe 28/10/2020, wananchi wapiga kura watakapotumia uhuru na haki yao kuchagua viongozi:
√ waliohubiri amani wakati wa kampeni;
√ wanaoaminika kuwa watawawekea mazingira ya kuondokana na umaskini;
√ watakaoshirikiana nao katika shughuli za maendeleo;
√ watakao kuwa nao wakati wa shida na raha (km mlipuko wa ugonjwa);
√ wenue dhamira ya dhati kulinda rasmali na maliasili ya taifa kwa vizazi vya sasa na vinavyokuja;
√ wenye rekodi iliyotukuka ya utendaji wa mfano kijamii;
√ wacha Mungu na kumtumainia.
Wakati wa Augustino lyatonga mrema ulikua umezaliwa?
Za Dr Slaa na Lowassa je uliziona?
Lisu huyu mwamba kama sio kamzizi itakuwa ana nguvy zingine za ziada tusizojua sisi. Unawezaje kufanya kampeni nchi nzima hakuna hata bango moja?? Nchi nzima hakuna hata redio wala gazeti linalokutaja na bado ukaoneakana wewe ni Bingwa?? Sio bure aisee tuache utani.Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake.
Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha na anaendelea kuwa msumari mkali kwa CCM kadri sekunde zinavosonga.
Kupitia uchaguzi huu, Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo, MABANGO sio njia ya lazima ya kupiga kampeni.
Hakika nimeamini LISSU anaenda kuleta ukombozi kwenye taifa hili.
Aluta continua!!!!!
CCM kamwe huu mziki wa 2020 hamtauweza maana mnapambana na mbeba maono ambaye anazidi kuweka record kila uchwao.
Maji yanapozidi unga.Kuna mhuni maji yamemfika shingoni ameanza kupiga magoti
View attachment 1585947
Sugu amsugueEti kaomba nini?
Piga magoti tafadhali.....kwanza umeshasuguliwa??Ni kampeni za kipekee - KWELI, badala ya kunadi Sera anagombana na Mamlaka ambazo yeye anaomba awe kiongozi!
Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha - KWELI, badala ya kuhubiri amani kwa wananchi ambao anawaomba awe kiongoxi wao yeye anahubiri chuki, fitina na visasi!
Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo - KWELI, kwamba kumbe jukwaa la kisiasa laweza kubadilishwa kuwa mahakama!
Hayo yote tisa, kumi ni tarehe 28/10/2020, wananchi wapiga kura watakapotumia uhuru na haki yao kuchagua viongozi:
√ waliohubiri amani wakati wa kampeni;
√ wanaoaminika kuwa watawawekea mazingira ya kuondokana na umaskini;
√ watakaoshirikiana nao katika shughuli za maendeleo;
√ watakao kuwa nao wakati wa shida na raha (km mlipuko wa ugonjwa);
√ wenue dhamira ya dhati kulinda rasmali na maliasili ya taifa kwa vizazi vya sasa na vinavyokuja;
√ wenye rekodi iliyotukuka ya utendaji wa mfano kijamii;
√ wacha Mungu na kumtumainia.
Kama vipi wasugue tu hao. Leo wameomba wasuguliwe.Wale wa kijani walibandika bango lao kubwa getini kwangu juzi nikawaambia toa sina nasaba na chama chochote wakaleta viswahili vingi nikasema toa wakatoa bango lenyewe lilikuwa na jamaa mmoja mweupe pembeni ya mh Magufuli ambaye kwa miaka 10 hajafanya chochote kwenye kata yangu, hakuna dhahanati, maji wala umeme halafu anaomba mitano tena ya ubunge sijui halmashauri kuu ilimpitishaje, bungeni yeye hana hoja yeye ni kupiga makofi tu.
Ni kweli dhahanati hazijajengwa CCM imejenga Zahanati.Wale wa kijani walibandika bango lao kubwa getini kwangu juzi nikawaambia toa sina nasaba na chama chochote wakaleta viswahili vingi nikasema toa wakatoa bango lenyewe lilikuwa na jamaa mmoja mweupe pembeni ya mh Magufuli ambaye kwa miaka 10 hajafanya chochote kwenye kata yangu, hakuna dhahanati, maji wala umeme halafu anaomba mitano tena ya ubunge sijui halmashauri kuu ilimpitishaje, bungeni yeye hana hoja yeye ni kupiga makofi tu.
Tundu pandikizi la AmsterdamAchana na hao mapandikizi ya CCM Kwani wote hao si walikuwa CCM Tundu Lissu hajawahi kuwa CCM yeye ndiye mpinzani was kweli
Kizuri kinauzika kibaya kinajitembeza.Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake.
Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha na anaendelea kuwa msumari mkali kwa CCM kadri sekunde zinavosonga.
Kupitia uchaguzi huu, Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo, MABANGO sio njia ya lazima ya kupiga kampeni.
Hakika nimeamini LISSU anaenda kuleta ukombozi kwenye taifa hili.
Aluta continua!!!!!
CCM kamwe huu mziki wa 2020 hamtauweza maana mnapambana na mbeba maono ambaye anazidi kuweka record kila uchwao.
Ficha ujinga unajiaibisha.Ukimwangaliu huyo jamaa utagundua hana furaha kama amelazimishwa kuja tu kuongeza vichwa, hata tisheti hajafunga vifungo inaonekana kavalishwa tu kwa lazima chap View attachment 1585922