uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Lissu ndo anajua kidhungu dunia nzimalissu anajua sheria peke yake tanzania nzima, lissu ndo anafanya kampeni nzuri dunia nzima peke yake, endeleni kujazia zingine zilizobaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu ndo anajua kidhungu dunia nzimalissu anajua sheria peke yake tanzania nzima, lissu ndo anafanya kampeni nzuri dunia nzima peke yake, endeleni kujazia zingine zilizobaki
Lazima kinuke KMMMK!!!Lissu amewafumbua watu macho na pia ni mtu ambaye ana msimamo. Wenzetu inaonesha wameanza kubabaika kweli, wamechanganyikiwa sana na kazi yao kutumia polisi ila mwaka huu itabidi kieleweke tu.
Mkuu ID yako imekaa kimatusi sanaTukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake.
Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha na anaendelea kuwa msumari mkali kwa CCM kadri sekunde zinavosonga.
Kupitia uchaguzi huu, Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo, MABANGO sio njia ya lazima ya kupiga kampeni.
Hakika nimeamini LISSU anaenda kuleta ukombozi kwenye taifa hili.
Aluta continua!!!!!
CCM kamwe huu mziki wa 2020 hamtauweza maana mnapambana na mbeba maono ambaye anazidi kuweka record kila uchwao.
Lissu ndo anajua kidhungu dunia nzima
Endelea kukariri, kila zama na kitabu chake. Sasa wameanza kupiga Magoti lakini wapi! Watz wamewakataa hao wauaji na watesajiWakati wa Augustino lyatonga mrema ulikua umezaliwa?
Za Dr Slaa na Lowassa je uliziona?
28102020Endelea kukariri, kila zama na kitabu chake. Sasa wameanza kupiga Magoti lakini wapi! Watz wamewakataa hao wauaji na watesaji
Wewe huna akili mjinga tu mtu anahubiri uhuru, haki na maendeleo ya watu. We umeshasikia Magufuli ameongelea maendeleo ya watu au haki hicho kwake siyo kipaumbele
Kwa hiyo wale wanaoamuru wengine wauliwe, watekwe au wasipo wapigia kura hakuna maendeleo ndio wanahubiri amani. Ni sawa tu kwani huo ndio mtazamo wako.Ni kampeni za kipekee - KWELI, badala ya kunadi Sera anagombana na Mamlaka ambazo yeye anaomba awe kiongozi!
Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha - KWELI, badala ya kuhubiri amani kwa wananchi ambao anawaomba awe kiongoxi wao yeye anahubiri chuki, fitina na visasi!
Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo - KWELI, kwamba kumbe jukwaa la kisiasa laweza kubadilishwa kuwa mahakama!
Hayo yote tisa, kumi ni tarehe 28/10/2020, wananchi wapiga kura watakapotumia uhuru na haki yao kuchagua viongozi:
√ waliohubiri amani wakati wa kampeni;
√ wanaoaminika kuwa watawawekea mazingira ya kuondokana na umaskini;
√ watakaoshirikiana nao katika shughuli za maendeleo;
√ watakao kuwa nao wakati wa shida na raha (km mlipuko wa ugonjwa);
√ wenue dhamira ya dhati kulinda rasmali na maliasili ya taifa kwa vizazi vya sasa na vinavyokuja;
√ wenye rekodi iliyotukuka ya utendaji wa mfano kijamii;
√ wacha Mungu na kumtumainia.
Kila siku kuna kipindi ITV wananchi hutoa taarifa za kupotea ndugu zao, kwa hoja yako hiyo ya kipuuzi utasema Serikali inahusika. Au nawe una mpango wa kujiteka Serikali ilaumiwe?Kwa hiyo wale wanaoamuru wengine wauliwe, watekwe au wasipo wapigia kura hakuna maendeleo ndio wanahubiri amani. Ni sawa tu kwani huo ndio mtazamo wako.
Huo sio ujinga. Huo unaitwa ukweliFicha ujinga unajiaibisha.
Kama husikii sera kwa Lissu itakuwa ni matokeo ya mfumo mbovu wa elimu chini ya utawala wa CCM!Ni kampeni za kipekee - KWELI, badala ya kunadi Sera anagombana na Mamlaka ambazo yeye anaomba awe kiongozi!
Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha - KWELI, badala ya kuhubiri amani kwa wananchi ambao anawaomba awe kiongoxi wao yeye anahubiri chuki, fitina na visasi!
Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo - KWELI, kwamba kumbe jukwaa la kisiasa laweza kubadilishwa kuwa mahakama!
Hayo yote tisa, kumi ni tarehe 28/10/2020, wananchi wapiga kura watakapotumia uhuru na haki yao kuchagua viongozi:
√ waliohubiri amani wakati wa kampeni;
√ wanaoaminika kuwa watawawekea mazingira ya kuondokana na umaskini;
√ watakaoshirikiana nao katika shughuli za maendeleo;
√ watakao kuwa nao wakati wa shida na raha (km mlipuko wa ugonjwa);
√ wenue dhamira ya dhati kulinda rasmali na maliasili ya taifa kwa vizazi vya sasa na vinavyokuja;
√ wenye rekodi iliyotukuka ya utendaji wa mfano kijamii;
√ wacha Mungu na kumtumainia.
Kama huelewi kuwa Lissu anaongoza kwa wagombea wenye kunadi sera, basi itakuwa ni matokeo ya mfumo mbovu wa elimu chini serikali ya CCMKila siku kuna kipindi ITV wananchi hutoa taarifa za kupotea ndugu zao, kwa hoja yako hiyo ya kipuuzi utasema Serikali inahusika. Au nawe una mpango wa kujiteka Serikali ilaumiwe?
Fanya kazi halali, upate kipato, na ulipe kodi. Kodi yako ndiyo hiyo inawezesha mtoto wako asome bure. Ni kodi hizo zimeboresha barabara hadi Lissu anazitumia kuzunguka Tanzania akiongea upuuzi badala ya kunadi Sera, nk
Nitakubaliana na wewe ukitoa mfano mmoja tu wa hizo sera, na uidadavue.Kama huelewi kuwa Lissu anaongoza kwa wagombea wenye kunadi sera, basi itakuwa ni matokeo ya mfumo mbovu wa elimu chini serikali ya CCM
ASANTE kwa maneno yako ya dharau.
Nimemjibu MwanaJF mwenye mawazo kama wewe, ya kukaririshwa, kuwa hamjui kuwa hamjui mnashabikia nini! Na hasa msilolijua ni kuwa mnatukumbusha wana mitandao, kwa jinsi ile ile, Lissu anavyowakumbusha wapiga kura, yale aliyoyafanya Magufuli katika miaka 5.
Lini mtatwambia yeye Lissu na viongozi wenzake wa CHADEMA walichokifanya, japo katika hiyo miaka 5 ya Serikali iliyoko madarakani, ili tuamini mkipewa nchi mtafanikisha hiyo Sera ya kinadharia ya uhuru, haki na maendeleo ya watu.
Kwa ngazi ya Rais, mgombea Urais makini, katika kupokezana vijiti, tulitegemea angetambua yaliyofanyika na kueleza atavyoweza kuboresha zaidi. Kilicho wazi, kwa hiyo Sera yake ya uhuru, haki na maendeleo ya watu, ambayo wewe mwenyewe huijui, ni dhahiri, hajui nawe hujui kuwa Tanzania tayari ni nchi huru.
Ili kuthibitisha hoja yangu kuwa hamjui kama tayari Tanzania ni nchi huru, Ilani ya CHADEMA, Uchaguzi Mkuu, 2020, inanukuu maneno ya Baba wa Taifa, baada ya Uhuru kwamba Kwa watu ambao walikuwa watumwa, au ambao walikuwa wakionewa, wakinyonywa, na kunyanyaswa kwa sababu ya Ukoloni, Ukabaila au Ubepari, “Maendeleo” maana yake ni “Ukombozi”. Kitendo
chochote kinachowapa uwezo zaidi wakuamua mambo yao wenyewe, ni kitendo cha maendeleo, japo kama hakiwaongezei afya wala shibe. Kitendo chochote kinachowapunguzia uwezo wao wa kuamua mambo yao wenyewe na kutawala maisha yao wenyewe, si kitendo cha maendeleo,ni kitendo cha kuwarudisha nyuma, japo kama kitendo chenyewe kinawaongezea afya na shibe kidogo (bara ya 28 ya Mwongozo wa TANU wa mwaka 1971).
Je, unajua mantiki iliyomo kwenye falsafa hiyo?
Kwa hitimisho, nikupongeze, wewe na wafuasi wake humu JF, kwa jitihada zenu zinaonesha mapenzi yenu kwa huyo kichaa, ambaye kamwe hawezi kutawala nchi hii. Labda awe M/Kiti wa CHADEMA.
Ni wakati wa huu utawala ndio watu hujiteka hawakuwahi kujiteka huko nyuma na ufahamu kuwa kodi tunalipa halafu mtu anaenda kujengea kiwanja cha ndege kijijini kwake.Kila siku kuna kipindi ITV wananchi hutoa taarifa za kupotea ndugu zao, kwa hoja yako hiyo ya kipuuzi utasema Serikali inahusika. Au nawe una mpango wa kujiteka Serikali ilaumiwe?
Fanya kazi halali, upate kipato, na ulipe kodi. Kodi yako ndiyo hiyo inawezesha mtoto wako asome bure. Ni kodi hizo zimeboresha barabara hadi Lissu anazitumia kuzunguka Tanzania akiongea upuuzi badala ya kunadi Sera, nk
Ni wakati wa huu utawala ndio watu hujiteka hawakuwahi kujiteka huko nyuma na ufahamu kuwa kodi tunalipa halafu mtu anaenda kujengea kiwanja cha ndege kijijini kwake.
Kumbe unajua kuwa ni kodi zetu ndizo zinajenga hizo barabara sasa kwa mantiki hiyo serikali yoyote itajenga barabara kwani itaendelea kukusanya kodi kama hata ilivyofanya serikali za kikoloni.
Serkali kutumia kodi za wananchi kujengea miundombinu sio kitu cha kutafutia sifa ni sawa na kuisifia ATM kukupa fedha zako. Anayetafuta sifa kwa hilo amefirisika kifikra.
Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake.
Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha na anaendelea kuwa msumari mkali kwa CCM kadri sekunde zinavosonga.
Kupitia uchaguzi huu, Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo, MABANGO sio njia ya lazima ya kupiga kampeni.
Hakika nimeamini LISSU anaenda kuleta ukombozi kwenye taifa hili.
Aluta continua!!!!!
CCM kamwe huu mziki wa 2020 hamtauweza maana mnapambana na mbeba maono ambaye anazidi kuweka record kila uchwao.
Na hii imefanya mabango yampinzani wake kukosa mvuto kabisa, kwamtazamo wangu mgombea ambaye hakupaswa kuweka mabango ni Magu na sio Lisu, lakini pia tukumbuke hakuna umaarufu mnzuri zaidi yakuwa karibu nawananchi, Lisu amejiwekeza kwenye kuwasemea watu nakuwatetea hii nikete kubwa kisiasa, Hapa Kuna tofauti kubwa Kati ya Hawa wawiliTukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake.
Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha na anaendelea kuwa msumari mkali kwa CCM kadri sekunde zinavosonga.
Kupitia uchaguzi huu, Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo, MABANGO sio njia ya lazima ya kupiga kampeni.
Hakika nimeamini LISSU anaenda kuleta ukombozi kwenye taifa hili.
Aluta continua!!!!!
CCM kamwe huu mziki wa 2020 hamtauweza maana mnapambana na mbeba maono ambaye anazidi kuweka record kila uchwao.
Hadi mengine mbuzi wameamua kuyang'oaUpande ule wa kijani wamejaza mabango nchi nzima, imepoteza mpaka radha ya kuitwa mabango yamekuwa ni takataka.