Yawezekana Rais Mkapa ndiyo rais pekee ambae hakuwa mbinafsi

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Ndiyo! Rais mkapa hakua mbinafsi hata kidogo na yawezekana ndiyo Rais ambae hakupendelea kwao kabisa mpaka anaondoka madarakani Rais mkapa hakupeleka vitu vingi sana kwao mtwara zaidi ya daraja la rufiji na zile barabara na hata barabara zilikamilika kipindi cha Kikwete si mkapa.Mkapa kwa nafasi yake alikuwa na uwezo wa kupeleka kila kitu ila sasa mpaka anaondoka mtwara hamna chuo kikuu cha kueleweka katika mkoa wa Mtwara,uwanja wa ndege wenyewe tia tia maji yaani kiufupi mikoa ya kusini hasa hasa kama ilivyosahaulika kipindi cha mkapa ndivyo hivyo itasahaulika vipindi vingine

Hiyo ndiyo desturi ya watu wa kusini na tabia ya watu wa kusini si wabaguzi au wabinafsi hasa hasa kwa wageni.
 
Acha upotoshaji huyu si alijimilikisha mpaka mkodi wa makaa ya mawe kwa bei ya nyanya. Ccm wote ni wezi
 
Huyu Mzee si ndo tunasikiaga ana bastola yake kiunoni nyakati za uchaguzi mkuu ndio hii silaha hutumika kutishia wapinzani atawachalangailaati.
 
Ndiyo! Rais mkapa hakua mbinafsi hata kidogo na yawezekana ndiyo Rais ambae hakupendelea kwao kabisa mpaka anaondoka madarakani Rais mkapa hakupeleka vitu vingi sana kwao mtwara zaidi ya daraja la rufiji na zile barabara na hata barabara zilikamilika kipindi cha Kikwete si mkapa.Mkapa kwa nafasi yake alikuwa na uwezo wa kupeleka kila kitu ila sasa mpaka anaondoka mtwara hamna chuo kikuu cha kueleweka katika mkoa wa Mtwara,uwanja wa ndege wenyewe tia tia maji yaani kiufupi mikoa ya kusini hasa hasa kama ilivyosahaulika kipindi cha mkapa ndivyo hivyo itasahaulika vipindi vingine

Hiyo ndiyo desturi ya watu wa kusini na tabia ya watu wa kusini si wabaguzi au wabinafsi hasa hasa kwa wageni.
Halafu hakuwa na machawa. Hakuwa mmbea.
 
Hata hilo daraja la Rufiji alijenga Mwinyi
 
Waulize watu wa Kigoma.
 
Back
Top Bottom