Yawezekana Rais Mkapa ndiyo rais pekee ambae hakuwa mbinafsi

Yawezekana Rais Mkapa ndiyo rais pekee ambae hakuwa mbinafsi

Ndiyo! Rais mkapa hakua mbinafsi hata kidogo na yawezekana ndiyo Rais ambae hakupendelea kwao kabisa mpaka anaondoka madarakani Rais mkapa hakupeleka vitu vingi sana kwao mtwara zaidi ya daraja la rufiji na zile barabara na hata barabara zilikamilika kipindi cha Kikwete si mkapa.Mkapa kwa nafasi yake alikuwa na uwezo wa kupeleka kila kitu ila sasa mpaka anaondoka mtwara hamna chuo kikuu cha kueleweka katika mkoa wa Mtwara,uwanja wa ndege wenyewe tia tia maji yaani kiufupi mikoa ya kusini hasa hasa kama ilivyosahaulika kipindi cha mkapa ndivyo hivyo itasahaulika vipindi vingine

Hiyo ndiyo desturi ya watu wa kusini na tabia ya watu wa kusini si wabaguzi au wabinafsi hasa hasa kwa wageni.
Ruangwa stadium
 
Back
Top Bottom