Yawezekana Rais Mkapa ndiyo rais pekee ambae hakuwa mbinafsi

Ndiyo! Rais mkapa hakua mbinafsi hata kidogo na yawezekana ndiyo Rais ambae hakupendelea kwao kabisa mpaka anaondoka madarakani Rais mkapa hakupeleka vitu vingi sana kwao mtwara zaidi ya daraja la rufiji na zile barabara na hata barabara zilikamilika kipindi cha Kikwete si mkapa.Mkapa kwa nafasi yake alikuwa na uwezo wa kupeleka kila kitu ila sasa mpaka anaondoka mtwara hamna chuo kikuu cha kueleweka katika mkoa wa Mtwara,uwanja wa ndege wenyewe tia tia maji yaani kiufupi mikoa ya kusini hasa hasa kama ilivyosahaulika kipindi cha mkapa ndivyo hivyo itasahaulika vipindi vingine

Hiyo ndiyo desturi ya watu wa kusini na tabia ya watu wa kusini si wabaguzi au wabinafsi hasa hasa kwa wageni.
Mwenyezi Mungu muumba mbingu na Nchi namuelewa sana. Acha wajimilikishe kila kitu, waue watu. Ila safari ni moja.
 
Ndiyo! Rais mkapa hakua mbinafsi hata kidogo na yawezekana ndiyo Rais ambae hakupendelea kwao kabisa mpaka anaondoka madarakani Rais mkapa hakupeleka vitu vingi sana kwao mtwara zaidi ya daraja la rufiji na zile barabara na hata barabara zilikamilika kipindi cha Kikwete si mkapa.Mkapa kwa nafasi yake alikuwa na uwezo wa kupeleka kila kitu ila sasa mpaka anaondoka mtwara hamna chuo kikuu cha kueleweka katika mkoa wa Mtwara,uwanja wa ndege wenyewe tia tia maji yaani kiufupi mikoa ya kusini hasa hasa kama ilivyosahaulika kipindi cha mkapa ndivyo hivyo itasahaulika vipindi vingine

Hiyo ndiyo desturi ya watu wa kusini na tabia ya watu wa kusini si wabaguzi au wabinafsi hasa hasa kwa wageni.
Namkumbuka che Mkapa kwa hotuba zake zenye mikakati na mipango. Sio taarabu na mipasho tunayosikia huko kwa majirani zetu😀😀😀
 
Wewe haujui kabisa kilichotokea kipindi kashikilia mpini. Mzee wa Lupaso hakupeleka hayo maendeleo ila alijilimbikizia mali nyingi mnoo. Kuna ufisadi mwingi sana huyu mzee alifanya akishiarikiana na mkewe na washirika wao. Shirika la kubinafsisha mashirika ya umma liliwanufaisha yeye na washirika wao.
 
Ndiyo! Rais mkapa hakua mbinafsi hata kidogo na yawezekana ndiyo Rais ambae hakupendelea kwao kabisa mpaka anaondoka madarakani Rais mkapa hakupeleka vitu vingi sana kwao mtwara zaidi ya daraja la rufiji na zile barabara na hata barabara zilikamilika kipindi cha Kikwete si mkapa.Mkapa kwa nafasi yake alikuwa na uwezo wa kupeleka kila kitu ila sasa mpaka anaondoka mtwara hamna chuo kikuu cha kueleweka katika mkoa wa Mtwara,uwanja wa ndege wenyewe tia tia maji yaani kiufupi mikoa ya kusini hasa hasa kama ilivyosahaulika kipindi cha mkapa ndivyo hivyo itasahaulika vipindi vingine

Hiyo ndiyo desturi ya watu wa kusini na tabia ya watu wa kusini si wabaguzi au wabinafsi hasa hasa kwa wageni.
Hilo daraja alianza kujenga mwinyi,pesa ya wamisri,limekamilika kipindi cha mkapa,alichokijua mkapa ufisadi tu,Ili ajipe ikulu ya lushoto,akapitisha serikali kuuzia watumishi wake nyumba za serikali,wakauziana majumba kwa 5m,magu akamhonga kabula nk
 
Hata hilo daraja la Rufiji alijenga Mwinyi
Hilo daraja alianza kujenga mwinyi,pesa ya wamisri,limekamilika kipindi cha mkapa,alichokijua mkapa ufisadi tu,Ili ajipe ikulu ya lushoto,akapitisha serikali kuuzia watumishi wake nyumba za serikali,wakauziana majumba kwa 5m,magu akamhonga kabula nk
Kabula? Can you dig more?
 
Hata Taasisi alizozianzisha mkapa zinasadifu uongozi bora wa mtu...

Muda wa kuwekeza Arudi kama Rais wa 10
 
Huyo mkapa unaemsifia unajua aliwafanya nn hao waislam unaowaita wabaguzi, kitu ambach hata yeye mwenyew anakijutia mpk kufikia kukiandik ktk kitabu chake kwamba anakijutia, mpk kufa kwake,
Wacha kukurupuka ukiongozwa na chuki binafsi,
Mzee wa kufukuza watumishi wa umma
 
Back
Top Bottom