britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Kuna muda support ikiwa ndogo inabidi urudi nyuma kidogo...inavunja moyoMbona kama umekata tamaa mkuu ?
Very trueNchi vijana wanakusanyika kuangalia tamthiliya kwenye cinema
Vijana wanakubali haki yao kuporwa kwa sh elfu 5 tu
Vijana ambao hawako committed wanatupa mpira kwa wengine kuwafanyia maendeleo
Katika Afrika Mashariki Nchi itakayochelewa kukombolewa ni Tanzania , wananchi wamelala sana hasa vijana
Britanicca
Kweli kabisa mkuu .Kuna muda support ikiwa ndogo inabidi inabidi urudi nyuma kidogo...inavunja moyo
Ni kweli mkuuKweli kabisa mkuu .
Na tokea Polepole akamatwe mwamba amepoa sana thread zake hazina moto kama kipindi kile before Polepole kukamatwa alikuwa anakiwasha kisawasawa.
Jmn msivunjike moyoKuna muda support ikiwa ndogo inabidi urudi nyuma kidogo...inavunja moyo
Huu ni ukweli 💯%.Nchi vijana wanakusanyika kuangalia tamthiliya kwenye cinema
Vijana wanakubali haki yao kuporwa kwa sh elfu 5 tu
Vijana ambao hawako committed wanatupa mpira kwa wengine kuwafanyia maendeleo
Katika Afrika Mashariki Nchi itakayochelewa kukombolewa ni Tanzania , wananchi wamelala sana hasa vijana
Britanicca
Huyu mtu yupo kazini na hii post ni sehemu ya kazi yake...kurudisha nyuma mashambuliziNchi vijana wanakusanyika kuangalia tamthiliya kwenye cinema