Mr Kipara
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 601
- 1,079
🤣🤣🤣🤣 Sisi wenyewe ******* tuHapana Uganda wapuuzi tu ,tunawatangulia
Hahaha
🤣🤣🤣🤣 Sisi wenyewe ******* tuHapana Uganda wapuuzi tu ,tunawatangulia
Hahaha
Kabisa na sasa ameshagundua kuwa yeye ni useless na support aliyekuwa nayo ni very weak .Bri kaishiwa pawa 😃
10 years from now , ndio wataweza amka else vijana hawa wa cinema ,ngono na mpira inahitajika nguvu ya ziadaNchi vijana wanakusanyika kuangalia tamthiliya kwenye cinema
Vijana wanakubali haki yao kuporwa kwa sh elfu 5 tu
Vijana ambao hawako committed wanatupa mpira kwa wengine kuwafanyia maendeleo
Katika Afrika Mashariki Nchi itakayochelewa kukombolewa ni Tanzania , wananchi wamelala sana hasa vijana
Britanicca
Bora umerudi watu walianza kuwa na wasiwasi umetekwa
Mwaka huu nakwambia watekaji hawatoboi.