Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Tz haitakuja kukombolewa mpaka dunia inaisha. Na nyinyi wenye nia ya kuikomboa endeleeni na mambo yenu achaneni na hiki kizazi cha laana
Si uhamie Burundi tu unayoitamani. Yaani kweli wewe unadai ni mtu mzima, leo hii unaona Burundi ni bora kuliko Tz?? You have gone to lowNchi vijana wanakusanyika kuangalia tamthiliya kwenye cinema
Vijana wanakubali haki yao kuporwa kwa sh elfu 5 tu
Vijana ambao hawako committed wanatupa mpira kwa wengine kuwafanyia maendeleo
Katika Afrika Mashariki Nchi itakayochelewa kukombolewa ni Tanzania , wananchi wamelala sana hasa vijana
Britanicca
Ukiwa kwenye Target wanakitaka vizuri sanaHakuna mtu anaweza niteka
Sina mda na mambo serikali ,hata waweke fisi ka.a kiongozi , sina mda nao kabisa , sasa waniteke kwa lipi bwashee?Ukiwa kwenye Target wanakitaka vizuri sana
Huko kote wanawekwa watu wasio na elimu na waliotoka maisha duni. Watu kama hawa hawana namna mbali na juitikia ndio mzee. Hata Samia aliwekwa kwenye umakamu wa rais kwa sababu alikuwa kilaza. Anajua kabisa akifukuzwa kazi anaenda kuuza vileja kizimkazi.Kabla ya kusingizia vijana waoga au wazembe kwanza tuangalia huko juu kukoje koje.
Haiwezekani eti vijana wa tiss, jw, polisi sijui uhamiaji, wabunge, mahakama, mawakili na chama chao, wote hawa wanamamlaka na kauli zao zinazikilizwa sana pale jumba jeumbe eti wameshindwa kukomboa taifa sasa wote hao wanawategemea vijana mtaani choka mbaya ambao teyari wameshabagazwa kiuchumi hadi kiakili eti washike mawe wakomboe majeshi, toss, polisi, mahakama, bunge na n.k..
hapo itakuwa uongo mkubwa hakuna miujiza ya namna hiyo.
Basi wasihamasishe vijana waandamane ili wauawe!!kama wao wamefika bei kwanini wawatoe mhanga watoto wa wenzao!!?Sio wa kuwategema, kama JWTZ kumeisha ingia upuuzi kwa kina Nkunda na Kina Gaguti kutetea udhalimi. Hii nchi imejifia.
Pia jitahidi usigonganishe maslahi na mwana siasa mwenye mamlaka.Sina mda na mambo serikali ,hata waweke fisi ka.a kiongozi , sina mda nao kabisa , sasa waniteke kwa lipi bwashee?
Pole pole katolewa sadaka ya kuteketezwa Ili kuhalalisha jambo jingine kijasusi!!Sasa nadhani kumepatikana sababu kuu ya kimedani ya kuhalalisha jambo jingine!!Huwa najitafakari sana Polepole ilikuwaje akanyakuliwa kama mwewe anyakuavyo kifaranga.
Ina maana hakufahamu hatari iliyopo mbele yake na kuchukua tahadhari na hatua za kiusalama?
Kwa muda wote aliokuwepo serikalini, hadi kuwa balozi hakufahamu watu anao deal nao wana uwezo gani?
Kuna watu aliwaamini akawapatia taarifa zake?, alijisahau mahala flani, alifanya mistake flani ndogo baada ya mashambulizi ya kimtandao?
Watekaji walikodi IT wa kimataifa kumtafuta usiku na mchana?
Walitumia uchawi?
Inatafakarisha sana, how easily jamaa kanyakuliwa.
Nyumba yenyewe alikuwa anaishi haina ulinzi mkali na mifumo bora ya kiusalama.
Ukiongezea na ile baada ya Tesha kuzungumza tu na kumtaja, siku chache mbele Polepole katekwa, kuna connection gani iliyopo?
Inaafakarisha sana..
Kweli kabisaaaaNchi vijana wanakusanyika kuangalia tamthiliya kwenye cinema
Vijana wanakubali haki yao kuporwa kwa sh elfu 5 tu
Vijana ambao hawako committed wanatupa mpira kwa wengine kuwafanyia maendeleo
Katika Afrika Mashariki Nchi itakayochelewa kukombolewa ni Tanzania , wananchi wamelala sana hasa vijana
Britanicca
Kwenda huko!! Kaandamane wewe mwenyewe unafikiri vijana wote ni nyumbu kama wewe!!?Nchi vijana wanakusanyika kuangalia tamthiliya kwenye cinema
Vijana wanakubali haki yao kuporwa kwa sh elfu 5 tu
Vijana ambao hawako committed wanatupa mpira kwa wengine kuwafanyia maendeleo
Katika Afrika Mashariki Nchi itakayochelewa kukombolewa ni Tanzania , wananchi wamelala sana hasa vijana
Britanicca
Nyumbu katika ubora wake.Tarehe 29, Gen Z wanatakiwa kulianzisha tu, halafu wazee tunakuja kumalizia kazi. Yaani kama ilivyotokea Madagascar.
Ila jamaa na yeye hakujua hio michezo? aliwaamini hao watu kiasi gani? kwenye harakati kama hizo inakuwaje unaamini mtu 100%?Pole pole katolewa sadaka ya kuteketezwa Ili kuhalalisha jambo jingine kijasusi!!Sasa nadhani kumepatikana sababu kuu ya kimedani ya kuhalalisha jambo jingine!!
Huwa Nina mashaka sana na washauri wa mama kwenye maswala haya!!
Unamuuaje Humphrey kizembe vile!!?yaani mtu kama Humphrey ni asset isiyopaswa kufa!kwanini usim spin tu somewhere hasta ikulu pale na kumpa KAZI ya kutembea na Samiah kwenye kampeni!!?yaani KAZI yake iwe kama ya kasim majaliwa alivyolazimishwa kushiriki kampeni za mama bila kupenda!!
Huwa Wana feli sana!!
Wanasiasa wangese tu hata sina mda nao ,kama napata pesaPia jitahidi usigonganishe maslahi na mwana siasa mwenye mamlaka.
Captain tesha nadhani anajua!ilikuaje baada TU ya yeye kuongea elimination ikafanyika!!?Ila jamaa na yeye hakujua hio michezo? aliwaamini hao watu kiasi gani? kwenye harakati kama hizo inakuwaje unaamini mtu 100%?
Kwenye haya masuala ya kuaminiana kuna kitu tunasema 'trust chain' , mimi nakuamini wewe, na wewe unamuamini yule, na yule anamuamini rafiki yake... hio chain inakwenda hivyo na kuendelea.
Ukimpa taarifa huyo mtu, kesho taarifa imefika kwa watu wengi sana, na kila mmoja anasema usimwambie mtu.
Hivi kwa uelewa wa Polepole, elimu yake, maisha aliyoishi, exposure katika masuala ya kiusalama maana ukiwa balozi unakuwa na uelewa mkubwa wa masuala ya kiusalama na pengine balozi/embassy hutumika kama mahala pa kupanga masuala ya kijasusi , ina maana hakujua taratibu za kiusalama za kufuata? kuanzia usalama wa taarifa binafsi, uaminifu na mipango bora? na isitoshe jamaa alikuwepo na ukaribu sana na vongozi wakubwa serikali ya awamu ya 5 hivyo anafahamu mambo mengi sana.
Dah! inatafakarisha sana..
Anyway siku moja itafahamika nini kilitokea...Captain tesha nadhani anajua!ilikuaje baada TU ya yeye kuongea elimination ikafanyika!!?
Mbona we sijakuona kwenye maandamano pale IMF HQ?Huu ni ukweli 💯%.
Yawezekana hata hatutaupata huo ukombozi.
"Head of the mission till 2027" nilisoma mahali,ikanifanya nitafakari,inamaana Brother HP ndio angesimamia mageuzi Hadi 2027 ndio uchaguzi ufanyike!!?Anyway siku moja itafahamika nini kilitokea...
Lakini nina asilimia nyingi walitofautiana katika mawazo ikapelekea kusalitiana.
Wengine walitaka iwe hivi, wengine wakasema hapana inapaswa kuwa vile..