The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,928
Karibu kaka britanicca members walishaanza kupanic huonekani. Kama yule mdada mnyaki a.k.a Erythrocyte , Karibu kwenye jukwaa tena.
Kuna kitu ulisemaga kitatokea July, leo October inaisha, kulikoni?
Mwisho. Kuna nyepesi zozote huko jikoni? Tutegemee pilau au tuendelee kuridhika na makande?