Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kukaa maabara tu watu wamekaa darasani miaka ya kutoshaYaani watalamu wamekaa maabara kwa miaka kupata dawa ya kutibu maradhi halafu mtu anakuaminisha unapona kwa kuombewa kwa dakika moja tu, haiingii akilini
Duh.....Kwa mfano ile dozi ya malaria inayoitwa Mseto ilivyokuwa chungu
Kumbe unaamini tu ,nilijua umewaona na ushahidi unao ,unaleta hadithi za kufikirika,tafuta ushahidi tuletee ,serikali ipi duniani itafanyia kazi wazo la kila mwananchi anachoamini,ulichoandika ni WIVU,HUSUDA,KIJICHO PEMBE,Iko hivi kuna watu wengi Sana,wameamua kuachana na doze za dawa wanazotumia wakiwa na imani kwamba, wamepona baada ya kuombewa na Mwamposa na baadhi ya wachungaji wa amakanisa ya kilokole
Hivi inaingia akilini mgonjwa anayetumia dawa za kufubaza virusi vya ukimwi apone kwa kuombewa tu, au mgonjwa wa presha aachane kutumi dawa baada ya kuombewa? Naamini watu wengi wanakufa kimyakimya majumbani mwao,Selikali isipokuwa makini na haya makanisa kuna nguvu kazi nyingi zinapotea bure kwa kufa huku wachungaji wanatajirika
Dah hilo jina lako ndg yangu 😂Unashanga mtu hana kazi wala biashara lakini anaombewa apate utajiri badala ya kupewa Mtaji, wakati yeye muombeaji anapewa sadaka pesa
Iko hivi kuna watu wengi Sana,wameamua kuachana na doze za dawa wanazotumia wakiwa na imani kwamba, wamepona baada ya kuombewa na Mwamposa na baadhi ya wachungaji wa amakanisa ya kilokole