Yawezekana wanaocha dawa wakiamini watapona baada ya kuombewa na Mwamposa wengi sana wakawa wanafariki pasipo kujulikana

Yawezekana wanaocha dawa wakiamini watapona baada ya kuombewa na Mwamposa wengi sana wakawa wanafariki pasipo kujulikana

Lazima watakuwa wanakufa sana.

Shida ni kwamba wakifa watalaumiwa wao, kwamba hawakuwa na 'imani' ya kutosha.

Inakasirisha
 
Mke wangu alikuwa hajisikii vizuri, ikabidi nimpeleke hospital alipopimwa akakutwa presha Iko juu Sana, kumbe aliacha kunywa dawa baada ya kuombewa na Mwamposa, Doctar kamwambia utakuja kupooza ukiacha dawa
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Iko hivi kuna watu wengi Sana,wameamua kuachana na doze za dawa wanazotumia wakiwa na imani kwamba, wamepona baada ya kuombewa na Mwamposa na baadhi ya wachungaji wa amakanisa ya kilokole

Hivi inaingia akilini mgonjwa anayetumia dawa za kufubaza virusi vya ukimwi apone kwa kuombewa tu, au mgonjwa wa presha aachane kutumi dawa baada ya kuombewa? Naamini watu wengi wanakufa kimyakimya majumbani mwao,Selikali isipokuwa makini na haya makanisa kuna nguvu kazi nyingi zinapotea bure kwa kufa huku wachungaji wanatajirika
Kumbe unaamini tu ,nilijua umewaona na ushahidi unao ,unaleta hadithi za kufikirika,tafuta ushahidi tuletee ,serikali ipi duniani itafanyia kazi wazo la kila mwananchi anachoamini,ulichoandika ni WIVU,HUSUDA,KIJICHO PEMBE,
 
Unashanga mtu hana kazi wala biashara lakini anaombewa apate utajiri badala ya kupewa Mtaji, wakati yeye muombeaji anapewa sadaka pesa
 
Leo nilikua na bimkubwa mtaani nimeeenda kumsabah akanitolea fuko la udongo nkamwambia la nn ooh udongo wa mwamposa kamwage kazini watu sio wazuri nkamwambia the only one knows my future is God. Huo udongi kauweke kwenye mchai mchai ukue
 
Najua humu pia wako waamuni wake, kitu kikubwa heshimuni ushauri wa madaktari. Acheni utani na afya zenu.
 
Ujinga umetawala vichwa vya watu

Back
Top Bottom