Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Basi vyama vianze kuanda vipindi vya youtube wasihangaike kwenda mikoani, wawe wanawambia wananchi waingie youtubeAmini usiamini siasa zinafuatiliwa sana tu kupitia online Tvs, Twitter, Facebook, Instagram etc. Zile siasa za majukwaani zilipumzishwa kwa miaka mitano hivi ...si rahisi ziibuke ghafla hivi.......yaani ndio kumepambazuka pigeni kazi ya uenezi vijana....