Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Lile likipara Nilibaguzi lakupindukia ndo macatalonia yalivo ni mabaguzi yakiwango cha juu
Hapana ni bora ungezaliwa Nyani Afrika ili uwe na undugu na nyani ngabu wa US.Sisi waafrika kazi kulalamika tu, ndiyomaana hatuendelei...sisi kwa sisi tunachukiana, waarabu tunawachukia, wahindi tunawachukia...hii ngozi sijui ni nani alituloga...ni bora ningezaliwa mchina au mwarabu.
Ajabu sana Leo hii watu wanajifanya kujisahaulisha kuhusu Yaya Toure, hivi ule uwezo aliokuanao Yaya kabla ya kuanza kusumbuliwa na weight De anaweza kuufika ata nusu yake kweli!
Yaya alikua hatari tatizo laukuongezeka uzito ndicho kigezo alichokitumia au sababu ya Pep kuanza kutotaka kumtumia kwenye mipango yake.
Yaya alifunga magoli makali alitengeneza magoli alipiga pasi zakutosha huku akiisaidia Sana City kushinda possession kwenye mechi nyingi.
Nikirudi kwenye Mada Pep ni mbaguzi na hilo liko wazi kabisa na kuna kesi nyingi zakibaguzi zinazomhusu Pep.
Mwisho kwangu mimi nna wachezaji watatu Yaya, Silva na De bruyne wote wakiwa kwenye viwango vyao bora ntamchagua Yaya Toure.
Guardiola sijawahi kumkubali maisha yangu yote tokea amuuze Etoo aliyekuwa striker bora duniani wakati huo kwa deal la player plus cash ili amsajili Zlatan.

Hii itakaa vizuri..ashamfanyia upuuzi pia etoo ila alikuja kumlambisha vumbi wakati barcelona ilipokutana na inter kwenye nusu fainali ya uefa 2010
Anatabia za watu wa Zaire uyoJamaa dume zima lina mambo ya ajabu kabisa. sijui anajihisi kama anakiwango kama cha iniesta au modric nahisi.
Kuna kipindi alinuna kisa timu haijamfanyia birthday !!!!!!!!!
Nimekupata hapo.
Seydou Keita aikuwa ni DM na Eric Abidal alikuwa ni beki mshahara wa kushoto au beki wa kati.
Hawa wawili hawakuwa na mbadala kwani pale Barca hata Maxwell alipoletwa na Pep Guadiola hakuweza kumtoa Abidal kwenye hiyo nafasi.
Keita unafahamu release clause yake kutoka Sevilla kwenda Barca ilikuwa ni kiasi gani? Euro milioni 90.
Ila Pep angeweza hata kumchezesha Yaya Toure mechi ambazo si more competitive badala ya kumuacha kabisa nje akasugua bench.
Hali hii huleta sintofahamu kubwa.
Au labda tuseme pia kwamba kwa kuwa Yaya Toure alikuwa ni attacking midfielder basi hakuwa na uwezo wa kushawishi mechi zipi acheze.
Au asiyo?

Keita hakua DM keita alikua CM, na usijaribu kumfanya keita mchezaji mkubwa, jamaa alikua average player tu aliebahatika kucheza timu kama Barca.
Na usifananishe kabisa Abidal na Maxwell kiuwezo, Abidal alikua kipenzi tu Barca lakini sikwa kumshinda Maxwell.
Yaya CM na namba yake ndani ya Barca alikua ancheza Xavi. Alikua akichezeshwa DM kwa vile hawakua na mtu dhamana kwenye ile position, na jamaa yoko weak sana kwenye defending alikua akiicost sana timu. Na Busquet alikuja kuchukua namaba kirahisi, yaya Hawezi kucheza DM yaya uwezo wake ni kucheza CM. Ambayo ndo namba ya mzee Xavi.
Vumbi gani alilomlambisha?? Inter stars walikua Milito na Sneijder na ndio waliofanya vitu, yeye alikua anazurura tu uwanjani.
Hahahaa nashangaa wanamsifia..wabongo bwana ππ
Rotation yake yeye na Silva? uyo kocha kaugua ? wabongo bana Pana chakulalamika hapo ?
Wajinga ndio watapinga uwezo wa yaya.. Toure ni balaa wkt wake acha sasa kachokaSilva amekuwa na Kiwango kizuri sana ila amevurunda mara kibao pia. Kumbukia Derby ya pili ya msimu huu ya Manchester. Nakuona ukikosa point unavyomshusha huyo jamaa. Toure alikuwa Kiungo na lakini mfungaji anaetupia sana tu mabao.
Weka stats za misimu ya kabla, na the good thing is wote wawili Silva na Toure wamecheza kikosi kimoja kwa miaka mingi sana pale Etihad
Silva amekuwa na Kiwango kizuri sana ila amevurunda mara kibao pia. Kumbukia Derby ya pili ya msimu huu ya Manchester. Nakuona ukikosa point unavyomshusha huyo jamaa. Toure alikuwa Kiungo na lakini mfungaji anaetupia sana tu mabao.
Weka stats za misimu ya kabla, na the good thing is wote wawili Silva na Toure wamecheza kikosi kimoja kwa miaka mingi sana pale Etihad
Wajinga ndio watapinga uwezo wa yaya.. Toure ni balaa wkt wake acha sasa kachoka