Yaya Toure amshutumu Pep Guadiola kuwa anawabagua wachezaji kutoka Afrika

Kwa ufahamu wangu City imevunja record yake ya magoli msimu huu. Sio lazima afunge lakini silva anabaki kuwa ndio most creative player kwenye Man city for the last 10 years.


Kiungo kufunga magoli 17 ni jambo dogo ?!!

Nakuona unavyokwepesha kuwa sio lazima Silva afunge, kwani cha lazima kwa YAYA ni nini labda?
 
Wajinga ndio watapinga uwezo wa yaya.. Toure ni balaa wkt wake acha sasa kachoka

Hivi wabongo kwanini mnapenda kuongeza chai! Mleta uzi imefikia anamuita Yaya eti "MAESTRO" Ilibidi nicheke kwanza 😛😛😛😛😛😛 kuweni serious bwana! Au kwakuwa mwafrika mwenzetu ndiyo tumsifiwe!
 
Nilichogundua tunabishana na fan wa barcelona mapenzi yao kwa pep.. wanasahau kazi ya yaya tangu Giggs yupo uwanjani.
Fergie anatafuna jojo, Toure hakabik enzi hizo, Anapiga faulu, goli+pasi vyote.

Legend YAYA TOURE.
 
hahahaa umenikumbusha aseeeh jamaa akamleta zlatan ambeye alitaka kumpiga kong fu...
 
Nilichogundua tunabishana na fan wa barcelona mapenzi yao kwa pep.. wanasahau kazi ya yaya tangu Giggs yupo uwanjani.
Fergie anatafuna jojo, Toure hakabik enzi hizo, Anapiga faulu, goli+pasi vyote.

Legend YAYA TOURE.

Kuna watu kuhusu Pep huwaambii kitu
 
Yaya Toure hajawah kuwa Zaidi ya Silva hata siku moja.
Nahuo wakati wa Mancini unaozungumzia weye ndiomana timu ilikua very average kutokana na wachezaji kama yeye, Na saivii timu ni tishio kabisa kutokana na kuleta wachezaji wenye ubora.
kikubwa hapa mkuu lazima tukubali kuwa yaya toure alikuwa most infuential player kabla ya pep kuja..namba hazidanganyi..yaya ni kiungo ambaye ameweza kufunga magoli 20 ndani ya msimu mmoja wa EPL na kuwa kiungo wa pili kufanya hivyo baada ya frank lampard ..katika kipindi hiki cha pep ,david silva amekuwa miongoni mwa wachwezaji muhimu nsana wa city..lakini swali linakuja unawakumbuka samweli etoo na yaya toure wa 2008-2009?????????...unawezaje kuwauza wachezaji katika kiwango kile(lazima kuwe na kitu hapo)???? inamaana wote walishindwa ku fit kwenye mfumu wake ???? kumbuka wote wawili waliifikisha barca fainali ya UEFA 2009 na etoo akapiga goli la kwanza vs united pia yaya amesema kuwa sio yeye peke yake ambaye analalamika juu ya hilo so nadhani kuna wengine wtakuja kuzungumzia hilo...maybe etoo au keita au hata kijana mdogo kelechi iheanacho
 
Semea ndo tabia yake n hapo naamini aliye zoea kula nyama za watu hawezi kuaacha
 

Hii tabia ya kulalamika tuache mkuu, ili tuendelee kimaisha na kisoka tuache kulalamika...mtu mweusi akipatikana na kitu huwa tunapenda sana kulaumu lakini hapo hapo tunajisahau kuwa sisi ndiyo wabaguzi wakutupwa maana mpaka sisi kwa sisi tunachukiana watu weupe tunawachukia..ebu tuacheni kulalama mkuu!
 
Jamaa hawa mashabik wa pep wananiacha hoi kiungo cha silva na yaya toure kilikuwa hatar sana walikuwa wanyumbulifu mno timu ilikuwa yaya toure huyu jamaa alimfanya silva kuweza kuizoea ligi mapema mno leo tunaambiwa hakuwa mzur ajabu sana hii
 
Yaya Toure hajawah kuwa Zaidi ya Silva hata siku moja.
Nahuo wakati wa Mancini unaozungumzia weye ndiomana timu ilikua very average kutokana na wachezaji kama yeye, Na saivii timu ni tishio kabisa kutokana na kuleta wachezaji wenye ubora.
Mungu anakuona wewe au usahaulifu unakuponza mech ambazo yaya alikuwa hayupo ulikuwa humuoni huyo silva alikuwa anastrugle sana alikuwa akicheza vizur nyuma yake anakuwepo yaya na bado yaya alikuwa akifunga magoli tu
 
Pep ni kocha mzur sana ila ana mapungufu yake makubwa tu hakuna mkamilifu.
 
Jamaa hawa mashabik wa pep wananiacha hoi kiungo cha silva na yaya toure kilikuwa hatar sana walikuwa wanyumbulifu mno timu ilikuwa yaya toure huyu jamaa alimfanya silva kuweza kuizoea ligi mapema mno leo tunaambiwa hakuwa mzur ajabu sana hii
Nimeshangaa sana Mkuu!! Wakamwangalie tena Yaya alichokua anakifanya uwanjani.
 
Sisi waafrika kazi kulalamika tu, ndiyomaana hatuendelei...sisi kwa sisi tunachukiana, waarabu tunawachukia, wahindi tunawachukia...hii ngozi sijui ni nani alituloga...ni bora ningezaliwa mchina au mwarabu.
Pep Ni mbaguzi Hilo linajulikana wazi halina ubishi
 
Akielezea tabia halisi ya Guadiola ni kwamba anapenda kutawala bila kujibiwa na kuna wachezaji ambao wanakuwa radhi kulamba mikono yao kuonyesha kumnyenyekea.

Mi naona hapa ndo penye tatizo, Pep anamjua Toure kua hakubali kua chini ya menaja wake.
Hata Mimi ningekua Pep nisingekubali upuuzi huu. Mchezaji lazima uwe unamheshimu manager wako. Lakini inavyoonesha Tour ana matatizo ya kujiona yeye ndo awe msemaji, Afu anamlaumu Pep kwamba hakumfanyia sherehe kama Iniesta. Je, Valvede ndo aliyemfanyia Iniesta hiyo party?
Tujiulize kwa nini saizi Pep huyu huyu anamtaka Maherez kama hawataki wa Afrika, amefanya kazi na kina Abdal, Keita, kwa nini iwe Toure pekeake ndo alalamike?
 
Nyie wafrika shida sana. Eti unawezaje kumuuza mchezaji kwa kiwango kile. Je, alivyomuuza Ronaldinho? Mbona hatujasikia akilalamika kua ni ubaguzi, au kwa sababu ni mweupe ko mmekosa sababu ya kusemea?. Sane anaachwa na ujerumani kwenda Russia sio kwa sababu si mchezaji mzr ila kocha ameona awezi kufiti kwenye mfumo
 

Umeongea point mkuu. "Kwanini mahrez amemuita kama nikweli anawachukia waafrika!" Upo vizuri kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…