Yaya Toure amshutumu Pep Guadiola kuwa anawabagua wachezaji kutoka Afrika

Zlatan ni zaidi ya etoo bwana, waafrika sometimes tunapenda ongeza chumvi tu
Yaya ana matatizo yake, Pep pia ana matatizo yake. Ila kusema Zlatan alikua bora kuliko E'too inaonyesha jinsi gani hujui mpira. E'too kamgaragaza mara kibao kwenye polls Zlatan kwa suala la ubora. Ukweli mchungu, Pep alikua na hila na E'too. Msiwe kama mijinga.
 
Eto'o won back to back trebles with 2 different clubs which is an incredible achievement. His time at the top was shorter than Ibra, but achieved greater success.
Come funks wherever you are. Kijitu cheusi kinakuja kinakuambia Zlatan alikua bora kuliko Etoo. Etoo muda mfupi mafanikio lukuki. Na zaidi kafanikiwa ktk zama soka lina ushindani mkali tofauti na sasa. Nimeandika hii kumjibu pimbi anayesema Zlatan alikua bora than Etoo (in support of the transfer).
 
Wee jamaa mpira unaujua.
 
Sisi waafrika kazi kulalamika tu, ndiyomaana hatuendelei...sisi kwa sisi tunachukiana, waarabu tunawachukia, wahindi tunawachukia...hii ngozi sijui ni nani alituloga...ni bora ningezaliwa mchina au mwarabu.
Wewe peke yako,
 
Sijui nani ni pimbi

usileta hoja ya kuwin trebles mchango gani alitoa kwenye hizo trebles win ndio la muhimu. Hata Tores aliwin world cup, Lakini hakuna foward aliukua butu zaidi yake kwenye yale mashindano.
 
Yaya toure nilikuwa nikimuona kwenye list,Nawaza sasa pale chelsea wa kulidisturb ili dubwana ni nani,vikina oscar vikawa vikijigonga tu,...Alafu kuna mtu anasema toure alikuwa wa kawaida
 
Sijui nani ni pimbi

usileta hoja ya kuwin trebles mchango gani alitoa kwenye hizo trebles win ndio la muhimu. Hata Tores aliwin world cup, Lakini hakuna foward aliukua butu zaidi yake kwenye yale mashindano.
Rudia kusoma panapoanza
"His time at top was shorter than Zlatan but with great achievement
.."
Nadhani hapo panatosha kufanya uamini alikua bora. We kataa ukubali huo ndo ukweli mtoto wa juzi.
 
Rudia kusoma panapoanza
"His time at top was shorter than Zlatan but with great achievement
.."
Nadhani hapo panatosha kufanya uamini alikua bora. We kataa ukubali huo ndo ukweli mtoto wa juzi.

ndio tunataka kuujua huo ubora wake utukumbushe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…