Heshima ya Toure Man city haiwezi kufutwa na yeyote.
Hawa akina De bruyne wa msimu mmoja ndio wafanye ubora wa Yaya upotee kweli.?? Yaya ni mzee sasa hawez kupata nafasi.
Ila sio kwa kutompa heshima yake.. Toure ameibeba City tangu atue pale tuache ubishi.. Kusema silva anamzid labda baada ya Pep kuja pale.. lakin uwezo Yaya ni hatar., anakaba, anapiga pasi, anafunga... Bila ubishi toure amenyimwa heshima yake wazi wazi.
Sina rekod ya kile alichofanya barcelona.. ila kwa man city Tajeni middle Mwingine wa kumzidi Toure pale city sio hawa mnaotaja humu.. Na mtu kuzeeka hakufuti mchango aliotoa kwenye timu.
Style yake ya kushangilia anakimbia anakaa chini na kutawanya mikono.. Aagh bhana YAYA TOURE si mchezo acha achoke awaachie wadogo zake km alivyofanya INIESTA.
Pep ni mbaguzi hata kwa Eto'o ilikuwa wazi.. Alipofunga final ya UEFA aliuma ngozi yake kama ishara ya kubaguliwa nadhani baada ya hapo akapigwa bei akaja Zlatan.
Hadi kesho BUSQUET Hamfikii Yaya ni Uzawa tu na Baba wa SERGIO BUSQUET Alicheza pale