Yemen Houthi: Tutajibu mashambulizi Israel nchi yeyote itakayozua makombora tutaishambulia

wanaongea hivyo wakati israel usiku huu wamejiandaa kushambulia maeneo mengi sana. myahudi huwa anapigana vita usiku sio mchana ili watu wasiuone ukatili wake. mnaamka tu asubuhi mnaona madhara na yeye kasepa.
Yahudi anajua akilemaa anaumia kweli, ndio maana majibu yake huwa ni kwa ukali sana,

Hao Houth wamepiga meli kadhaa zinazopita pale zikiwemo za Israel, sasa wameamua kwenda kumchokoza Israel nyumbani kabisa.

Israel ana hasira nao sana hao mbuzi wa Yemen
 
Mkuu Israel hana ubavu huo wakumpiga Yemen hizi hapa siri zinanza vuja walio piga ni US na UK huyo Israel ni ka act tu na yeye alikuwepo.

Gazeti la Israel linakiri na Saud Arabia kakiri walio mpiĝa Yemen ni US na UK na huyo shaga kapachikwa tu eti na yeye kapiga Yemen 😆


 
Naona ukiwawaza hawa jamaa ישראל unateseka sana kisaikolojia, but anywei להתראות 🖐️🖐️
 
YEMEN’S ANSAR ALLAH “HOUTHIS” RESPOND TO ISRAEL’S KNESSET SPEAKER

“For us, God willing, we will make you an example to the whole world and in God we trust.

As for his words, they are supposed to be an example for all Arab and Islamic countries so that they know that the Israeli enemy is a threat against everyone.”
 
we ni muarabu au ni matako meusi africa yakishadadia
 
 

Attachments

  • EE1A7195-D404-4F1B-86AC-1449D74D681C.jpeg
    532.5 KB · Views: 3
Myahudi anazipiga Lebanon na Yemen simultaneously mzee


.
 
Yemen is playing a Commandant role in all Arab Countries, they already defeated Saudi Arabia recently with lesser firepower.
Israel is on their Hit-List, no one is able to save Israel from them.
Yetu macho, lakini tusisikie free Yemen from Israel regime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…