Yemen Houthi: Tutajibu mashambulizi Israel nchi yeyote itakayozua makombora tutaishambulia

BREAKING: TAMKO RASMI LA HEZBOLLAH

"Tunawapa watu huru na watukufu wa Yemeni, watu wenye kiburi na kukataa dhulma, uongozi wao wa ujasiri na wa busara, na familia za mashahidi na majeruhi, na rambirambi zetu za juu kwa mashahidi waadilifu walioanguka kwenye kuelekea Yerusalemu, kwa ushindi kwa watu wetu wanaokandamizwa wa Palestina na kuunga mkono upinzani wao wa heshima na thabiti.

Uchokozi wa kihaini wa Wazayuni dhidi ya Yemen, huku ukiwa na ulinzi na uungaji mkono kamili wa Marekani, ni mwendelezo wa hujuma ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen na mzingiro unaoendelea ambao umeendelea kwa miaka mingi, na ni uthibitisho usio na shaka wa umuhimu mkubwa wa pande zinazounga mkono. katika mkoa mzima na jukumu lao kubwa katika kutetea wananchi. Wapalestina, na tuna imani kamili kwamba uchokozi hautadhoofisha uungaji mkono wa watu hawa na uongozi wao, bali utaongeza nguvu na azma yao na kuendelea kwenye njia hii ngumu na ya umwagaji damu ambayo bila shaka itasababisha ushindi wa muqawama.

Tunaamini kwamba hatua ya kipumbavu iliyochukuliwa na adui Mzayuni inaashiria awamu mpya na hatari ya makabiliano muhimu sana katika ngazi ya eneo zima, na tuna imani kamili kwamba uongozi wa Yemen, pamoja na ujuzi, ujasiri, na nguvu zake, unaweza. ya kuchukua hatua zinazofaa na zinazohitajika. Ili kumzuia adui huyu na washirika wake wa kieneo na kimataifa, na tunathibitisha kwamba tunasimama kwa nguvu pamoja na watu wa Yemen katika kujilinda wenyewe, mamlaka yao, na misimamo yao ya kishujaa na ya kihistoria pamoja na Palestina, watu wake, na upinzani wake.
 
Umri wako mdogo huwajui Yemeni wewe.
Wewe Ndio huwajui Yemen, Yemen ni failed state and poorest Arab country.

Hakuna mtu anayeijali Yemen zaidi ya kuwatumia tu.

As we speak Yemen imegawanyika sehemu mbili na Iko kwenye Civil war, Watu wake wako kwenye umasikini na njaa kupindukia.

Egpty Ndio taifa pekee la Kiarabu kwa sasa linaloweza kuichallenge Israel kwenye vita halisi.

Hawa Akina Yemen wanasifiwa na wajinga tu
 
Umri wako mdogo huwajui Yemeni wewe.
Kiranja wao amechutuma halafu anawasukumiza sungusungu wa Yemen kwenda kupigana na Israel yenye silaha kali na mabomu ya nyuklia, hizo ni bangi za waasi wa Houth, bangi zikiisha watatulia, Israel linapokuja suala la kutishia usalama wake hana huruma hata kidogo, USA na nchi za Ulaya wana utu na huruma lakini siyo Israel, yeye ni jino kwa jino, boom kwa boom, juzi Hezbolah wamelianzisha Israel imeanza kuua viongozi wake wakaona utaisha, wamesitisha mashambulizi.
 
Unaropoka wewe tena unaropoka haswa.
Yemeni haina Civil war vita zilishaisha.
Yemeni yote iko moja chini ya Houthi.
Na kilichoifanya Yemeni kuwa masikini ni vita za miaka 7 za kumuondoa madarakani Mansour.
Yemeni ina nguvu ya kijeshi ya kuipiga hata hiyo Egypt unayoitaja hapa.
Muulize Saudi Arabia kilimkuta nini alipoungana na USA kumbakiza Mansour madarakani.
 
Wewe Ndio huwajui Yemen, Yemen ni failed state and poorest Arab country.

Hakuna mtu anayeijali Yemen zaidi ya kuwatumia tu.

As we speak Yemen imegawanyika sehemu mbili na Iko kwenye Civil war, Watu wake wako kwenye umasikini na njaa kupindukia.

Egpty Ndio taifa pekee la Kiarabu kwa sasa linaloweza kuichallenge Israel kwenye vita halisi.

Hawa Akina Yemen wanasifiwa na wajinga tu
Wanasifiwa na wajinga tu na kupondwa na sapumbavu
 
Wewe Ndio huwajui Yemen, Yemen ni failed state and poorest Arab country.

Hakuna mtu anayeijali Yemen zaidi ya kuwatumia tu.

As we speak Yemen imegawanyika sehemu mbili na Iko kwenye Civil war, Watu wake wako kwenye umasikini na njaa kupindukia.

Egpty Ndio taifa pekee la Kiarabu kwa sasa linaloweza kuichallenge Israel kwenye vita halisi.

Hawa Akina Yemen wanasifiwa na wajinga tu
Akili za kipunguani Yemen kafunga Red Sea hamna meli hata moja ya mabasha zako inakatiza, unatutajia Misri vibaraka hata risasi hawajui kutengeneza.
 
Unajua hawa Houthi walishaga chagua kuharibu nchi yao, hadi wakaamua kujitoa akili sasa wamekutana na mtu ambaye anapiga hata ukijidai kichaa, na leo Lebanon kesho wataamka na Magofu
Hiyo haizuii kuwa Israel sasa hivi inashambuliwa ndani ya mipaka yake.
Kaskazini kwa Israel saa hizi haikaliki tena,raia wamehama kote huko,wanajeshi wa IDF wanakaa kwa tahadhari kila muda.
Na sasa hivi Hizbollah anatumia rocket launchers sasa siku aseme anaweka mzigo wa ballistic missiles sijui Israel itakua na hali gani.
 
Unajua hawa Houthi walishaga chagua kuharibu nchi yao, hadi wakaamua kujitoa akili sasa wamekutana na mtu ambaye anapiga hata ukijidai kichaa, na leo Lebanon kesho wataamka na Magofu
Nasemaga USA na NATO huwa wana huruma na wanaogopa vita , ni tofauti na Israel ambaye tangia 1948 ameishi kwa vita, mpaka wana wizara ya vita maana yake kuna waziri wa vita, wizara hiyo ina deal na vita tu, hakuna nchi dunia yenye wizara ya vita mataifa yote yana wizara ya ulinzi lakini Israel ana wizara ya vita. Hapo tutarajie free Yemen.
 
Umri wako mdogo huwajui Yemeni wewe.
Hajui kama USA na Saudi Arabia walijaribu kuwaondoa Houthi kwa vita za mtaa kwa mtaa mpaka wakawakodia ALQAEDA na bado wakafeli😂😂😂😂😂.
Chezea Yemen wewe.
Hao jamaa wakisema zichapwe basi zinachapwa.
 
Kiranja wao amechutuma halafu anawasukumiza sungusungu wa Yemen kwenda kupigana na Israel yenye silaha kali na mabomu ya nyuklia, hizo ni bangi za waasi wa Houth, bangi zikiisha watatulia, Israel linapokuja suala la kutishia usalama wake hana huruma hata kidogo, USA na nchi za Ulaya wana utu na huruma lakini siyo Israel, yeye ni jino kwa jino, boom kwa boom, juzi Hezbolah wamelianzisha Israel imeanza kuua viongozi wake wakaona utaisha, wamesitisha mashambulizi.
Walokole wa JF mnachekesha Israel kaishapigana na nchi gani akashinda vita zaidi ya kuuwa watoto, angalia sasa hivi kakutana na kichaa Yemen.
 
Kiranja wao amechutuma halafu anawasukumiza sungusungu wa Yemen kwenda kupigana na Israel yenye silaha kali na mabomu ya nyuklia, hizo ni bangi za waasi wa Houth, bangi zikiisha watatulia, Israel linapokuja suala la kutishia usalama wake hana huruma hata kidogo, USA na nchi za Ulaya wana utu na huruma lakini siyo Israel, yeye ni jino kwa jino, boom kwa boom, juzi Hezbolah wamelianzisha Israel imeanza kuua viongozi wake wakaona utaisha, wamesitisha mashambulizi.
Israel wanapigana kimkakati siyo kelele.
 
Back
Top Bottom