Yemen Houthi: Tutajibu mashambulizi Israel nchi yeyote itakayozua makombora tutaishambulia

Yemen Houthi: Tutajibu mashambulizi Israel nchi yeyote itakayozua makombora tutaishambulia

Saudia tangu zamani hawaungi mkono ugaidi wa Iran na vibaraka wake, maana wanajua tu wakimalizana na Israeli next target ni Mecca kwenye lile jiwe jeusi mnaloliabudu
Walioyabomoa majumba ya Twin Towers wote walikuwa Wasaudi, sema tawala za saudi arabia ni mazayuni, na wote hao, wao na israel, waliwekwa madarakani na Waingereza na Marekani.
 
Yemen is playing a Commandant role in all Arab Countries, they already defeated Saudi Arabia recently with lesser firepower.
Israel is on their Hit-List, no one is able to save Israel from them.
Hahaaaaa, unaandika uzi wewe then una comment wewe. Huko ni kuchanganyikiwa.

Unasikitisha sana kwa kujitafutiza faraja. Vita sio nzuri kwa namna yoyote ile ila nyie waarabu koko mmepigika sana mwaka huu. Alafu unashindwa kujua hao sio askari toka jeshi la Yemen ni magaidi na vibaka wa Houth ambao wanapigana pekupeku na hawana lolote.
 
Iran hii hii rais wake amekufa kizembe milimani na helicopter ya mwaka 70.
au unazungumzia Iran ipi ?
Iran hiyo hiyo iliorusha makombora 300 kwenda Israel na mataifa matano yakaisaidia Israel kutungua hayo makombora na saba yakapenya.
 
Marekani hadi leo kuna watu kama Trump wanapinga Ushoga na vitendo vyake, na ushoga ni kikundi cha watu wachache sana

Yemen nchi nzima wanakula Mirungi, maduka hayauzi kitu chochote zaidi ya mirungi, Iran inawalipa Houthi Mirungi na kuwapa makombora warushe popote.

What are they fighting for?
Nani kakwambia Iran inawalipa Houthi mirungi?
Iran anaisapoti Houthi kwa silaha na fedha/pesa.
Mirungi ni hurka yao wenyewe Yemeni.

Still USA kuna mashoga na transgender wengi tena sio tu kikundi bali millions of them,na raia asilimia kubwa ya USA wanasapoti LGBTQ.
Si bora hata hao Yemeni wanaokula mirungi kama starehe!?
Maana ile ndio starehe yao.
 
View: https://twitter.com/TheMossadIL/status/1814877556883267674

Madawa ya Kulevya hasa mirungi imeharibu nguvu kazi yote ya Yemen, hili jambo Waislam wa humu hawalioni kama tatizo la msingi kwa Yemen wao naona issue ni Israel.

Uislam sometimes ni kama ugonjwa wa akili
Sawa sisi hatuna akili sa we hebu pima akili zako.

Israel taifa teule nani aliye sema haya ni Mungu kweli au mungu wa bibilia.

Yesu alikuwepo kabla ya kila kitu hivi kweli hiyo akili, sa nani alikuwepo mwanzo Mariam au Yesu? Wachana na kina Nabii Ibrahim na Mussa.

Yesu kafa kwa madhambi zetu, mara kafufuka bada ya siku tatu, kwa hio dunia ilikuwa haina mungu hizo siku tatu, mara kazikwa yupo Jerusalem mara yuko kakaa pembeni ya Mungu. Hatuwaelewi nyie si mnasema Mungu alikuja dunia kwa kujifanya binadamu, mara tena wako wawili mbinguni tena 😄

Bora Wayemeni wana akili wanapiga mirungi kuliko kuwa na akili ya kikristo
 
Nani alikwambia Mungu yupo?
 
safi sana netanyahu piga hayo magaidi na naamini hayawezi kujibu Tena maana kichapo walichokula sio cha nchi hii Hadi moshi wa mirungi umewatoka.
 
Wapi nimemuongelea Aisha Maalim?
Scripture ipi inaongelea Bikra Maria kuolewa akiwa na miaka 12?
Mimi nimekataa kumkana Mungu aliyeniumba kwa kusema kuwa hayupo isipokuwa allah.
Hoja yetu ijikite hapo.
Kusema hakuna Mungu ila allah ni kukufuru.
Nimekufahimisha mfano niseme hakuna baba mwingine unaye zaidi ya baba yako ndio nimemkataa baba yako.

Au mimi niseme sina baba zaidi ya baba ndio nimemkataa baba yangu.
 
We dogo unadhani kuzima moto wa mafuta ni kama moto wa jikoni, tulieni.mkipigwa kule Haifa ndio mtajilaumu kuanzisha vita za kuwasha mafuta.
Another Taqiyya mmetaka vita for the past 9months Jamaa wamazuia labda mtaacha kifo ya mmoja tu pale Tel aviv kimewaponza.
We umeona Wayemen wala hawajali ngojea sasa uone kondoo wakipigwa ndio utajua kwanini Yesu aliwaita kondoo walio potea.
Anyway asubuhi wamerusha Ballistic 3 mbili zimeyayuka hewani moja imekaribia ila imedunguliwa.... bado mnataka tu e?
Pale Makkah Al Mukarama ndipo HQ ya kiti cha Mungu
enh at least umethibitisha kuwa Allah ni pagan Goddess sanamu lisilo na spirit.. its Good to know from you kuwa Allah hayupo juu ya dunia yupo Mecca.
we unadhani pale kwenye kushika ukuta afu vichwa vinatingishwa.

Nenda ukashike ukuta huko 😄
Tabia ya matusi ni nguzo ya uislam hata sishangai.. According tu mtume wenu peponi kuna Bazaar hamuendi na pesa na huko bazaar market kuna vyumba na nje kuna picha za wanawake na wanaume muumini wa kiislam ndio wanaenda wakishawishika na picha wanaingia kukidhi haja zao.. inamaana mnatafunana wanaume kwa wanaume.. hata picha ikiwa ya baba yako ukiinngia either unapakata au unapakatwa..

Uislam ni Dini ya Mungu au Iblis? Kila kitu ni stupid.. ndio mnafundishwa haya na mkija mitaani mnatusi watu kumbe issue za ki Allah Allah

38

Chapters on the description of Paradise

(15)

Chapter: What Has Been Related About the Market of Paradise

(15)

باب مَا جَاءَ فِي سُوقِ الْجَنَّةِ

Jami` at-Tirmidhi 2550

'Ali narrated that the Messenger of Allah (s.a.w) said:

"Indeed in Paradise there is a market in which there is no buying nor selling- except for images of men and women. So whenever a man desires an image, he enters it."

حَدَّثَنَا أَحْمَدُ بْنُ مَنِيعٍ، وَهَنَّادٌ، قَالاَ حَدَّثَنَا أَبُو مُعَاوِيَةَ، حَدَّثَنَا عَبْدُ الرَّحْمَنِ بْنُ إِسْحَاقَ، عَنِ النُّعْمَانِ بْنِ سَعْدٍ، عَنْ عَلِيٍّ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏ "‏ إِنَّ فِي الْجَنَّةِ لَسُوقًا مَا فِيهَا شِرَاءٌ وَلاَ بَيْعٌ إِلاَّ الصُّوَرَ مِنَ الرِّجَالِ وَالنِّسَاءِ فَإِذَا اشْتَهَى الرَّجُلُ صُورَةً دَخَلَ فِيهَا ‏"‏ ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ غَرِيبٌ ‏.‏

Grade: Da'if (Darussalam)

Reference : Jami` at-Tirmidhi 2550In-book reference : Book 38, Hadith 28English translation : Vol. 4, Book 12, Hadith 2550

Report Error | Share | Copy ▼

25492551
 
Kha kumbe mtume alikuwa wa hovyo kiasi hiki, kuvaaa magauni yeye, kupigana denda na midume yeye, kupiga miti vitoto yeye, kulelewa yeye, kutokujua kusoma wala kuandika yeye aisee
Kuna kamaa aliniambia uislam ni mzuri dini ya haki kwanza anza kusoma historia ya Mtume.. nikasema poa nikaanza kuchimbuka.. nikaja kuta Mtume Mudy yeye ndie Iblis na yeye ndie Allah.. home kwao ni Mecca nyumna zipo mbili ya iblis na Allah
 
⚡️⭕️ #Yemen - Member of the Political Bureau of the Ansar Allah Movement, Ali Al-Qahum:

We say to the Zionists, do not be too happy, as the #Yemeni response is coming, it will painful, and you will not escape punishment.

We affirm that action is equivalent to action, which is a fixed equation in the rules of engagement, and with it the conflict will expand and its consequences for the enemies will be dire.

Our operations will be an earthquake against the aggressors, and with them, “Israel” will be eliminated. #Yemen’s response is inevitable, strong, and decisive, and will not be delayed, and there are many surprises.

⚡️Al-Qahoum addressing the #Israelis:

Your options will be either to emigrate and return to where you came from or to remain in shelters, as American protection will not benefit you

The hand that violates #Yemen’s sovereignty and attacks its capabilities and people will be cut off.

The battle is long and the Zionists must pay a heavy price and bear the blows while they are still on the trigger.
Hizi ni Dalili za Unabii kutimia vita itapigwa and Israel itashinda na kuchukua maeneo yote waliyopewa na Allah wayapiganie hadi kiama.. safi sana Yemen its time gongwa gongwa tu Israel a hukuenda maeneo..
 
wanaongea hivyo wakati israel usiku huu wamejiandaa kushambulia maeneo mengi sana. myahudi huwa anapigana vita usiku sio mchana ili watu wasiuone ukatili wake. mnaamka tu asubuhi mnaona madhara na yeye kasepa.
Walikupa taarifa Israel,kuhusu kujiandaa katika kushambulia?
 
Another Taqiyya mmetaka vita for the past 9months Jamaa wamazuia labda mtaacha kifo ya mmoja tu pale Tel aviv kimewaponza.
We na mashoga wenzako si kila siku mnasema tunamaliza vita bada ya week mbili tukifika Rafah, zile zile nyimbo tukingia gaza week tatu tu tunaimaliza Hamasi.

Mimi kila siku na kueleza Israel anapewa support na hao viongozi wa kiarabu, ukitaza ndege za Israel kama kweli ndio wao walienda piga Yeme ni lazima watumie Air space za Egypt, Jordan na Saud Arabia.

Lazima ndege hizo za Israel zipite kwenye anga za nchi hizo, na mimi na bisha sio Israel kapiga Yemen ni USA na UK ndio wamepiga hapo Yemen.

Anyway asubuhi wamerusha Ballistic 3 mbili zimeyayuka hewani moja imekaribia ila imedunguliwa.... bado mnataka tu e?
Israel na US wakipigwa watasema wamepigwa lini wakakubali ikiwa TV hawaziruhusu kuchukua Missiles zinapoenda, wanaruhusu wachukue pale wana intercepted tu.

Mnakumbuka nyimbo za kusema wanajeshi wa Israel wamekufa hawafiki 300 na walio umia hawafiki 900 na vifaru havifiki 30 siri si ilitoka badaye wanajeshi wa Israel kupungua, wanahitaji askari wakanza kuwalazimisha mpaa wanawake na wale wafata dini wajiunge jeshi, ilipofika kwanini hamuwachukui wanawake wakasema tumepungukiwa na vifaru, sababu mikataba ya jeshi la Israel lazima wanawake wawe ndani ya vifaru au magari ya kivita😄

enh at least umethibitisha kuwa Allah ni pagan Goddess sanamu lisilo na spirit.. its Good to know from you kuwa Allah hayupo juu ya dunia yupo Mecca.
Tatizo wewe huelewi kiti cha Mnyezi Mungu ni nini, we unadhani Mungu kanin'ginia juu 😄 huwezi kusema kipo juu tu, wakati kiti chake ni kikubwa kuliko dunia na mbingu.

Kusema hapo ni katikati ya kiti chake sio kwamba kipo hapo, hio central point anapo kaa akizitazama mbingu na ardhi. Kumbuka yeye ndiye anashikilia ardhi saba na mbingu, saba hapo Makkah in centre point TU, afu nyie mnatuambia Mungu anaishi mbinguni na Yesu haha.

Akili zenu sijui vipi hamjui kitu cha Mungu kina cover mbingu saba na ardhi saba, vichaa kweli nyie.

Mnadhani kitu cha Mungu kama cha mama samia 😄

Tabia ya matusi ni nguzo ya uislam hata sishangai.. According tu mtume wenu peponi kuna Bazaar hamuendi na pesa na huko bazaar market kuna vyumba na nje kuna picha za wanawake na wanaume muumini wa kiislam ndio wanaenda wakishawishika na picha wanaingia kukidhi haja zao.. inamaana mnatafunana wanaume kwa wanaume.. hata picha ikiwa ya baba yako ukiinngia either unapakata au unapakatwa..
Hizo ni fake story kumbuka Bukhari alipokufa aliwacha hadith less kuliko zilizopa sasa, nadhani hata Bukhari angerudi angejiuliza nani kaziongea, ndio sababu mimi huwa namuita fake Muslim kumbe wamemzulia uwongo, hadithi zingine hajaziongea yeye.

Uislam ni Dini ya Mungu au Iblis? Kila kitu ni stupid.. ndio mnafundishwa haya na mkija mitaani mnatusi watu kumbe issue za ki Allah Allah

38

Chapters on the description of Paradise

(15)

Chapter: What Has Been Related About the Market of Paradise

(15)

باب مَا جَاءَ فِي سُوقِ الْجَنَّةِ

Jami` at-Tirmidhi 2550

'Ali narrated that the Messenger of Allah (s.a.w) said:

"Indeed in Paradise there is a market in which there is no buying nor selling- except for images of men and women. So whenever a man desires an image, he enters it."

حَدَّثَنَا أَحْمَدُ بْنُ مَنِيعٍ، وَهَنَّادٌ، قَالاَ حَدَّثَنَا أَبُو مُعَاوِيَةَ، حَدَّثَنَا عَبْدُ الرَّحْمَنِ بْنُ إِسْحَاقَ، عَنِ النُّعْمَانِ بْنِ سَعْدٍ، عَنْ عَلِيٍّ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏ "‏ إِنَّ فِي الْجَنَّةِ لَسُوقًا مَا فِيهَا شِرَاءٌ وَلاَ بَيْعٌ إِلاَّ الصُّوَرَ مِنَ الرِّجَالِ وَالنِّسَاءِ فَإِذَا اشْتَهَى الرَّجُلُ صُورَةً دَخَلَ فِيهَا ‏"‏ ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ غَرِيبٌ ‏.‏

Grade: Da'if (Darussalam)

Reference : Jami` at-Tirmidhi 2550In-book reference : Book 38, Hadith 28English translation : Vol. 4, Book 12, Hadith 2550

Report Error | Share | Copy ▼

25492551
Uislam ni dini ya Mungu we ndio kajiulize mungu vipi azaliwe na binadamu kama sio wendawazimu huo.

Nimeisha kuambia hizo ni fake hadithi leta maneno ya Qur'an ndio uikosowe kama utapata. na uhakika huwezi sababu hicho ni kitabu cha Mungu, we pointi zako zote ni fake hadithi huna jipya.
 
Mungu asiyejua lugha nyingine tofauti na kiarabu wa kazi gani ?
Si ndio kama nyie Mungu achague wayahudi tu, na kitaifa alicho hongwa na muingereza, afu we mwafrica uimbe na kujiliza kanisani eti Myahudi Mungu wako 😄

Si bora Mungu wetu yeye kaongea kiarabu afu lugha iyo tamu we wacha tu.

Kabla sijasahau we mkristo mungu wako aliongea kiswahili, hebu tupe dalili Yesu alifika hata Kenya wacha Tanzania 😄
 
Back
Top Bottom