Yemen Houthi: Tutajibu mashambulizi Israel nchi yeyote itakayozua makombora tutaishambulia

Yemen Houthi: Tutajibu mashambulizi Israel nchi yeyote itakayozua makombora tutaishambulia

Juzi IDF waliporuhusu drone ipite watu walikuwa wanabweka Allah akbar Allah akabar huku wakikata mauno. Kwaanzia jana usiku hakuna tena kubweka na wakibweka Allah akbar Allah akbar wanabweka huku wanajikaza na maumivu makali huku wamebana marinda.

Chezea Israel wewe taifa takatifu teule la Mungu wa kweli.
Unaota wewe, sasa hivi kunawaka moto huko na mazayuni kibao wameshama miji yao kibao.

Unakijuwa kichapo cha kikomando walichochezea jana mazayuni kutoka kwa hebollah?

Sasa hivi mazayuni mavi debe huko.
 
Na italy ingawaje baadae walijifanya kukanusha ushusika wao
NATO yote wamo.

Mimi wmenichekesha leo Cyprus, kusikia Saudia jana wanaambiwa na nyinyi mmo, wao leo mbio mbio wameikana Uingereza, kwani mashambulizi ya Waingereza yametokea Cy[prus, wanajuwa moto wa hezbollah jirani yao hapo si mchezo.

Sasa hivi mzigo wa vita anaubeba msaudi akitaka asitake, mpaka kapunguza spidi ya mradi wake mkubwa wa The Line na kuupunguza ukubwa.
 
Vita ya 1948, “Arab-Israel war, Waingereza ndo walikuwa “trainers” wa wanajeshi wa Egypt na ndo walikuwa wakiwaongoza na kuwasimamia walipopigana na Israel.

Wakawaingiza mkenge kwa kukubali “seize fire” kama mara tatu hivi kama sikosei.

Israel waka “regroup” na kuongeza “mercenaries”

Mmarekani na mwingereza, hapo Middle East wana vibaraka wao wengi tu na wameshajipenyeza kote.

Siyo Saudia, siyo Egypt, siyo Jordan. Wote hao wako mfukoni mwao.

Syria, Yemen some parts of Lebanon na Iraq ndo sehemu korofi. Zile zenye majority ya “Shiite”

So it’s simply a divide and rule concept here so to speak.
Syria na Yemen shia ni wengi!?.. Syria walijiweka kwa wajamaa urusi, Yemen ni untamed,hawana rasilimali za kutosha,so hakuna mtu ana time nao,
 
NATO yote wamo.

Mimi wmenichekesha leo Cyprus, kusikia Saudia jana wanaambiwa na nyinyi mmo, wao leo mbio mbio wameikana Uingereza, kwani mashambulizi ya Waingereza yametokea Cy[prus, wanajuwa moto wa hezbollah jirani yao hapo si mchezo.

Sasa hivi mzigo wa vita anaubeba msaudi akitaka asitake, mpaka kapunguza spidi ya mradi wake mkubwa wa The Line na kuupunguza ukubwa.
Israhell bila shoga zake wa nato hua wakawaida saanaaa
 
BREAKING: TAMKO RASMI LA HEZBOLLAH

"Tunawapa watu huru na watukufu wa Yemeni, watu wenye kiburi na kukataa dhulma, uongozi wao wa ujasiri na wa busara, na familia za mashahidi na majeruhi, na rambirambi zetu za juu kwa mashahidi waadilifu walioanguka kwenye kuelekea Yerusalemu, kwa ushindi kwa watu wetu wanaokandamizwa wa Palestina na kuunga mkono upinzani wao wa heshima na thabiti.

Uchokozi wa kihaini wa Wazayuni dhidi ya Yemen, huku ukiwa na ulinzi na uungaji mkono kamili wa Marekani, ni mwendelezo wa hujuma ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen na mzingiro unaoendelea ambao umeendelea kwa miaka mingi, na ni uthibitisho usio na shaka wa umuhimu mkubwa wa pande zinazounga mkono. katika mkoa mzima na jukumu lao kubwa katika kutetea wananchi. Wapalestina, na tuna imani kamili kwamba uchokozi hautadhoofisha uungaji mkono wa watu hawa na uongozi wao, bali utaongeza nguvu na azma yao na kuendelea kwenye njia hii ngumu na ya umwagaji damu ambayo bila shaka itasababisha ushindi wa muqawama.

Tunaamini kwamba hatua ya kipumbavu iliyochukuliwa na adui Mzayuni inaashiria awamu mpya na hatari ya makabiliano muhimu sana katika ngazi ya eneo zima, na tuna imani kamili kwamba uongozi wa Yemen, pamoja na ujuzi, ujasiri, na nguvu zake, unaweza. ya kuchukua hatua zinazofaa na zinazohitajika. Ili kumzuia adui huyu na washirika wake wa kieneo na kimataifa, na tunathibitisha kwamba tunasimama kwa nguvu pamoja na watu wa Yemen katika kujilinda wenyewe, mamlaka yao, na misimamo yao ya kishujaa na ya kihistoria pamoja na Palestina, watu wake, na upinzani wake.
Amiiin, Mwenye-ez-Mungu awatangulie waja wake.
 
Amiiin, Mwenye-ez-Mungu awatangulie waja wake.
BREAKING: TAARIFA RASMI YA YEMEN HOUTHI

"Uchokozi wa "Waisraeli" dhidi ya Hodeidah ulikuwa wazi na adui alifungua vita vya wazi.

Uchokozi wa "Waisraeli" dhidi ya Hodeidah ni jaribio la kubadilisha sura iliyoshindwa ya adui.

Tutalenga kina cha "Israeli".

Uchokozi wa "Waisraeli" unajaribu kupanua mzozo na kupitisha sheria za ushiriki.

Kufungua vita na watu wa Yemen haitakuwa rahisi.

Makabiliano na adui Mzayuni yatakuwa wazi na bila mipaka.

Hatutazingatia kanuni zozote za kujihusisha na adui Mzayuni.

Hatuogopi ongezeko lolote na tunasonga kwa sababu ya haki.

Tuko tayari na tunaweza kubeba matokeo yote.

Waisraeli wanapaswa kutarajia majibu yetu kila wakati

Vifaa vyote nyeti katika ngazi zote vitalengwa

Lengo letu kuu ni kuwatetea wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina

Watu wa Yemen walichukua msimamo wa kuwajibika na watu wa Palestina

Tunayo nia na uwezo wa kutosha wa kupigana vita ndefu."
 
Inachekesha kama Quran...
Wao ndio wachokozi and wanasema Israel ndio mchokozi hahahahaha alafu uwe unasema Allah sio Mungu Muslims hawana Mungu wana Iblis Allah mwenyewe amejikana kuwa hakuna Mungu ila yeye

Juzi IDF waliporuhusu drone ipite watu walikuwa wanabweka Allah akbar Allah akabar huku wakikata mauno. Kwaanzia jana usiku hakuna tena kubweka na wakibweka Allah akbar Allah akbar wanabweka huku wanajikaza na maumivu makali huku wamebana marinda.

Taifa takatifu la mashoga ??

Juzi IDF waliporuhusu drone ipite watu walikuwa wanabweka Allah akbar Allah akabar huku wakikata mauno. Kwaanzia jana usiku hakuna tena kubweka na wakibweka Allah akbar Allah akbar wanabweka huku wanajikaza na maumivu makali huku wamebana marinda.

Chezea Israel wewe taifa takatifu teule la Mungu wa kweli.
Nyie na hako kataifa teule mliko pewa na Uingereza mnazidi kumdhalilisha mungu wenu, bora muwe mnaficha ujinga.

Turudi kwenye bibilia, hebu nionyesheni wapi kuna andiko mtume wenu Paulo alipewa utume na Mungu, au alikuwa mwanafunzi wa Yesu.

Mimi huwa nimnaniwacha hoi mnaposema 3=1 afu mnalewa gongo wenyewe mnasema huyo huyo 1 akafa duniani msalabani, hebu tumia akili basi. huyo aliye kufa si ndio alikuwa 3=1 kwa hio dunia tulishi bila Mungu siku tatu 😄

Haya bada ya kufufuka hapo msalabani mkasema kachukuliwa mbinguni. sa hapo alie mchukua ni nani wakati hapo bado yuko flesh 3=1 haya tusindikize uwongo akapelekwa mbinguni kwa hio hapo ni 2=1 sawa na yule aliye zikwa Jerusalem ili unabii utimie ni nani haha

Haya kisha panda mbinguni mnasema Jesus kakaa pamoja na Mungu, yuko pembeni sa hapo ile 3=1 vipi tena ikawa 1+1=2 sa nani anaye hukumu hapo Yesu au Mungu, vichaa kweli nyie sa kuna number katika 3=1 hatuioni ipo wapi ilishia katikati ya mbingu au.

We bora hata ule mirungi unaweza pata akili ukafahamu Mungu halali, hafi, hafananishwi na pia hana gender. Obviously to become one flesh means to become united physically and sexually sa hapo Yesu ana Gender ya kiume na Mungu gender yake ni mwanamke au? Hamna adabu kweli mnavyo mkosea Mungu ukristo ni lana tupu.

Yemen Piga hao Wenye lana.
 
Vita ya 1948, “Arab-Israel war, Waingereza ndo walikuwa “trainers” wa wanajeshi wa Egypt na ndo walikuwa wakiwaongoza na kuwasimamia walipopigana na Israel.

Wakawaingiza mkenge kwa kukubali “seize fire” kama mara tatu hivi kama sikosei.

Israel waka “regroup” na kuongeza “mercenaries”

Mmarekani na mwingereza, hapo Middle East wana vibaraka wao wengi tu na wameshajipenyeza kote.

Siyo Saudia, siyo Egypt, siyo Jordan. Wote hao wako mfukoni mwao.

Syria, Yemen some parts of Lebanon na Iraq ndo sehemu korofi. Zile zenye majority ya “Shiite”

So it’s simply a divide and rule concept here so to speak.
Syria, Yemen, Lebanon. kote huko Sunni ni wengi kuzidi Shia.

Shia wengi Iran, Iraq, Bahrain.
 
Back
Top Bottom