FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wayemeni wanaendelea kunishngaza!
Leo wamingia maelfu kwa maelfu kushrehekea, wanasema:
Sasa tuna kila sababu ya kupigana na mazayuni mpaka waikimbie Palestina. Hatutasimamisha mapigano mpaka iwe hakuna kitu kinachoitwa israel ndani ya ardhi ya Palestina au watumalize Wayemeni million 34, kwa sasa sote ni mashaheed.
Wengune walikuwa wanasherehekea huku wanasema "Yemni imeshapigwa sana mambomu kwa zaidi ya mika 10 sasa, lakini nani aliyeweza kuipiga Tel Aviv nje ya Hams na Wayemeni?. Hooray hooray hooray. Death to zaionists, death to Americans, death to UK and death all their dogs".
Hiyo "dogs" nadhani wamemaanisha "Wasaudi, Wamisri na Wajordan".