Yemen ilipiga Tel Aviv kwa kombora Takriban saa 3 zilizopita, saa 6:30 asubuhi (GMT +3:00), kombora la balistiki lililorushwa na Wahouthi wa Yemen

Kiboko ya wachawi bhana
 
Watapiga tu,ruksa ipo kwenye Quran,kisasi ni vilevile,wakikuulieni watoto ua watoto wao
Hii mkuu haipo.
Ndio maana shurti ya jihad ni kutokuua wanawake,watoto,wanyama,wazee na kuharibu miji.
Uislam hauruhusu kuua mwanamke na mtoto kaka.
 
Hii mkuu haipo.
Ndio maana shurti ya jihad ni kutokuua wanawake,watoto,wanyama,wazee na kuharibu miji.
Uislam hauruhusu kuua mwanamke na mtoto kaka.
يَـٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ كُتِبَ عَلَيْكُمُ ٱلْقِصَاصُ فِى ٱلْقَتْلَى ۖ ٱلْحُرُّ بِٱلْحُرِّ وَٱلْعَبْدُ بِٱلْعَبْدِ وَٱلْأُنثَىٰ بِٱلْأُنثَىٰ ۚ فَمَنْ عُفِىَ لَهُۥ مِنْ أَخِيهِ شَىْءٌۭ فَٱتِّبَاعٌۢ بِٱلْمَعْرُوفِ وَأَدَآءٌ إِلَيْهِ بِإِحْسَـٰنٍۢ ۗ ذَٰلِكَ تَخْفِيفٌۭ مِّن رَّبِّكُمْ وَرَحْمَةٌۭ ۗ فَمَنِ ٱعْتَدَىٰ بَعْدَ ذَٰلِكَ فَلَهُۥ عَذَابٌ أَلِيمٌۭ ١٧٨

Kuna aya zingine zinazungumzia hilo,nimesahau maana nimekua a'swi,dunia yanipeleka mbio
 
Teh teh! Ipo kazi Yahya Sinwar nae anaishi kwenye mapango wakati kuna dada zake bikira wanasubili peponi akawapige shoo
Tunafahamu roho inakuuma zayuni wa kimara.

Wsyemwni wamesemanhiyo ni test tu kama ile ya drone.

Mchezo kamili bado.
 
Duh😀🤣
 
Wewe bibi nenda kaleee wajukuuu
 
Mkuu kama una mtu ajuaye tafsir Qur'an kwa kina nenda akakufasirie.
Kilichozungumzwa hapo sio cha kwenye vita mkuu.
Haihusiani na jihad.
Ngojea nitarudi na maelezo ya kina.
 
Hayo tafakari wewe.


Mazayuni zaifi ya million 2 walikuwa wanakimbizana kutafuta mahandaki kwa kombora moja tu.
Hakuna watu wanaogopa kufa kama Wayahudi ambao hujiita vipenzi vya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…