Yemen nayo yawasaidia Israel na US dhidi ya Iran

Yemen nayo yawasaidia Israel na US dhidi ya Iran


Nilijua unaweza hata kunichallenge kumbe kiazi, yaani unashindwa hata kusoma taarifa za AI..Dogo unashindwa kujua AI..Kesho nitakuja na darasa ,zile ID's zako zote nitaziweka ...We si maghayo😅😅
45514.png
 
Yemen ni wasuni na hawawezi kuwasaida washia ambao wanaamini ni makafiri wanaoharibu uislamu. Wasuni na Washia kamwe maji hawanywei mtungi moja.
Mbona Iran inasaidia Hamas na ni sunni? Pia inawasaidia Lebanon ilihali wasunni na wakristo ni zaidi ya 60% ya wananchi wote.

Acheni kutafsiri kila kitu kidini
 
Serikali ya Yemen inayotambuliwa kimataifa imesema vikosi vyake vimeishambulia Uwanja wa Ndege wa Sanaa unaodhibitiwa na waasi wa Houthi, kwa lengo la kuzuia ndege ya Iran kutua katika uwanja huo.

Hali hii inanishtua sana. Hawa Yemen si walipaswa wawasaidie Iran?

Halafu kuna wakiristo humu wanasema ISIS ni makundi ya waislam kwa ajili ya dini nyegine.
 
Back
Top Bottom