Yemen nayo yawasaidia Israel na US dhidi ya Iran

Hiyo serikali ipo nje au ndani ya Yemen ?..
 
Yemen ni wasuni na hawawezi kuwasaida washia ambao wanaamini ni makafiri wanaoharibu uislamu. Wasuni na Washia kamwe maji hawanywei mtungi moja.
Mbona Iran inasaidia Hamas na ni sunni? Pia inawasaidia Lebanon ilihali wasunni na wakristo ni zaidi ya 60% ya wananchi wote.

Acheni kutafsiri kila kitu kidini
 
Halafu kuna wakiristo humu wanasema ISIS ni makundi ya waislam kwa ajili ya dini nyegine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…