Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Kwa ufupi sana resistance imesimama zaidi Yemen kwa usaidizi wa karibu kabisa " technically" kutoka Iran.
Tumeona shifting kutoka US zaidi ya mara 3 kuhusu houthi na misimamo Yao.
Israel imekua ikijaribu kupambana na Yemen lakini mpaka sasa hakuna mafanikio.
Nchi zingine wamebaki kuwa wabwekaji tu bila kuchukua hatua. Kwa sasa nimepata taarifa kuwa Iran ana vifaa vya kisasa kwaajiki ya air force amepokea fighter jet kutoka urusi na china kwa mantiki hiyo hii ngoma Bado mbichi sanaa.