Yemen ndio watakuwa mkombozi wa taifa la Palestine wakisaidiwa kwa karibu "technically" na Iran

Watu wanaowatukana Maswahaba wa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake), hawatoikomboa Palestine iliyokombolewa na Maswahaba (Allah Awaridhie).

Swahaba mtukufu 'Umar Ibn Khattab (Allah Amridhie) aliikomboa Palestine kutoka kwa warumi. Allah hatowapa heshima hiyo wanaomtukana na kumkufurisha Swahaba huyo mtukufu na Khalifa muongofu.

Ni Vipenzi vya Maswahaba wa Mtume (Allah Awaridhie) ndio watakaopewa heshima hiyo na Allah.

View: https://www.facebook.com/reel/4365777693734791
 
Ujinga mtupu unakusumbua!! Iran kwenye vita ya Feb 28,2026 ilipoteza viongozi wa kijeshi na kiraia zaidi ya 600 akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei ulivyo Bumunda hilo hulioni!!
Kwahiyo Hilo ndy lilikuwa lengo la Israel na USA si ndy maana yake. Sasa kama lengo ni Hilo Bado viongozi wa jeshi wapo na ayatollah Bado yupo na Bado Iran inaendeshwa kama ilivyokuwa inaendeshwa zamani. Haya niambie lengo lipi la Israel na USA limetimia hapo.
 
Endelea kujifariji tu wakati Iran wenyewe uchumi wao umedorola na maeneo yake mhimu kupigwa na kuharibiwa vibaya!!

Ulivyo Bumunda unajua Iran kashinda hiyo vita!!
 
Kwahiyo Hilo ndy lilikuwa lengo la Israel na USA si ndy maana yake. Sasa kama lengo ni Hilo Bado viongozi wa jeshi wapo na ayatollah Bado yupo na Bado Iran inaendeshwa kama ilivyokuwa inaendeshwa zamani. Haya niambie lengo lipi la Israel na USA limetimia hapo.

View: https://www.youtube.com/shorts/jwdY2g4L33c?feature=share

View: https://www.youtube.com/shorts/gI5LsJ6GWEw?feature=share
IRAN haiwezi kutoboa hata kwa miujiza

operation "ECONOMIC OUTCAST"- straight of HORMUZ is occupied by USA

View: https://www.youtube.com/shorts/iZRf2AfCHYQ?feature=share
 
Kwahiyo lengo hasa la USA ni Nini ni kuzuia mafuta ya Iran kuuzwa na wewe unazania hayauzwi kweli?
Uchumi wa Iran mpaka leo hii umedorola kwa kiasi kikubwa sana haijawahi kutokea kwenye historia ya Iran

Tatizo ninyi Wafuga Midevu na Majini mnajitoa ufahamu sana!!

Angalia hapa chini uone maajabu
 
Attachments

  • Screenshot_20261006_075158_Google.jpg
    Screenshot_20261006_075158_Google.jpg
    92.6 KB · Views: 7
Uchumi wa Iran mpaka leo hii umedorola kwa kiasi kikubwa sana haijawahi kutokea kwenye historia ya Iran

Tatizo ninyi Wafuga Midevu na Majini mnajitoa ufahamu sana!!

Angalia hapa chini uone maajabu
Kwahiyo hili ndy lengo la USA na Israel kuingia vitani na Israel sio. Sasa hizi mbinu wanazotumia kuuanguasha uchumi wa Irani ni vita vya makombora au ni vikwazo vya uchumi?
 
Maswali ya kijinga na kipumbavu aliyekuambia vita vinachagua nani? Unauliza malengo ya vita ya marekani ili iweje? Wewe elewa tu iran anapigwa kama ngoma!!
 
Sasa haya umesema wewe kuwa ni maswali ya kijinga lakini wenyewe USA na Israel wanajua malengo ya vita walioanzisha ndy mana wakatumia pesa nyingi sana kupigana hiyo vita. swali la msingi je malengo yao yametimia?.
 
Unasema walitumia pesa nyingi wewe ulitaka watumie pesa ndogo? Wakitumia pesa nyingi wewe inakuhusu nini?

Wakuu wa vikosi vya Kijeshi vya Iran na viongozi wa kiraia zaidi ya 600 akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei waliangamizwa ulivyo mjinga hilo hulioni!!
 
Hujajibu swali langu je Hilo ndy lengo la USA na Israel kama ni ndy je Sasa hivi Iran inatawaliwa na nani
 
Endelea kujifariji wakati iran wenyewe wanapitia magumu kuoindukia!!
Hii ni Google ndy imeleta majibu haya. Kama yapo mengine tofauti na haya naomba uniletee🤧🤧🤧🤧
 
Attachments

  • Screenshot_20261006-190208.jpg
    Screenshot_20261006-190208.jpg
    272.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20261006-190320.jpg
    Screenshot_20261006-190320.jpg
    76.2 KB · Views: 6
Hii ni Google ndy imeleta majibu haya. Kama yapo mengine tofauti na haya naomba uniletee🤧🤧🤧🤧
Kwa hiyo Malengo ya Google ndiyo hayo?

Marekani wanayo yao mojawapo ni kuua viongozi wengi wa kijeshi na kiraia akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei na jopo lake lote!!!
 
Haya nilioleta ni malengo ya USA na Israel na ukimnukuu netanyau anasema lengo lao limeferi. Na lengo lao ni lipi mwenyewe kwenye clip ntakuelea hapa anasema lengo lao ni kuuanguasha utawala wa iran, lengo Hilo limeferi Kwa asilimia 98% na akawafuta baadhi ya majasusi kazi Kwa kushindwa kuuanguasha utawala wa Iran. Sasa wewe kama una malengo tofauti na netanyau na Trump basi utakuwa punguani.
Then na wewe leta ushahidi kwamba USA lengo lao ni kuwauwa wanajeshi na ayatollah. Leta hapa 🤧🤧🤧🤧🤧
 
Wapi Marekani walisema wamefeli? Na wapi Netanyahu alisema wamefeli wakati wameua viongozi karibu wote wa kijeshi na kiraia akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei wajati huo huo hakuna hata kamanda mmoja wa Israel aliyeuliwa na Magaidi hao!!
 
Kwa

Kwahiyo lengo kuu la USA mbaka kuingia vitani na Iran ni Iran isaliti amri katika nini?, na je kama ni regime change Bado haijawezekana? Hili ndy swali langu
The primary aims of the U.S. military campaign against Iran (Operation Epic Fury), launched on February 28, 2026, are detailed by the Institute for Policy Studies and the White House to include:
  1. Prevent Nuclear Weapons: Permanently deny Iran the ability to develop or acquire a nuclear weapon.
  2. Destroy Ballistic Missiles: Obliterate Iran's ballistic missile stockpiles, launchers, and production infrastructure.
  3. Annihilate the Navy: Destroy Iranian naval forces, speedboats, and shore batteries to protect commercial shipping and navigation through the Strait of Hormuz.
  4. Sever Proxy Support: Cut off Tehran's ability to fund, arm, and direct regional militant proxies and terrorist networks.
  5. Regime Pressure: Weaken leadership architecture and degrade internal crackdown capabilities, with varying discussions surrounding potential regime change or popular uprisings
 
Back
Top Bottom