Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Acha kutulisha Matango Pori wewe kwani Iran ameanza kupata silaha kutoka russia leo hii? Wahouth wenyewe hawana ubavu kwa wayahudi juzi tu hapa wamefyekwa karibu Baraza lote la mawaziri akiwemo waziri mkuu wao harafu wewe unakuja kutuambia ujinga?Kwa ufupi sana resistance imesimama zaidi Yemen kwa usaidizi wa karibu kabisa " technically" kutoka Iran.
Tumeona shifting kutoka US zaidi ya mara 3 kuhusu houthi na misimamo Yao.
Israel imekua ikijaribu kupambana na Yemen lakini mpaka sasa hakuna mafanikio.
Nchi zingine wamebaki kuwa wabwekaji tu bila kuchukua hatua. Kwa sasa nimepata taarifa kuwa Iran ana vifaa vya kisasa kwaajiki ya air force amepokea fighter jet kutoka urusi na china kwa mantiki hiyo hii ngoma Bado mbichi sanaa.
Kwa ufupi sana resistance imesimama zaidi Yemen kwa usaidizi wa karibu kabisa " technically" kutoka Iran.

Hapa kuna masuala ya kisiasa Sio kidini.Watu wanaowatukana Maswahaba wa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake), hawatoikomboa Palestine iliyokombolewa na Maswahaba (Allah Awaridhie).
Swahaba mtukufu 'Umar Ibn Khattab (Allah Amridhie) aliikomboa Palestine kutoka kwa warumi. Allah hatowapa heshima hiyo wanaomtukana na kumkufurisha Swahaba huyo mtukufu na Khalifa muongofu.
Ni Vipenzi vya Maswahaba wa Mtume (Allah Awaridhie) ndio watakaopewa heshima hiyo na Allah.
Hao maswahaba kila siku Israel anawapelekea Moto wa kifuu na hawana cha kumfanyaWatu wanaowatukana Maswahaba wa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake), hawatoikomboa Palestine iliyokombolewa na Maswahaba (Allah Awaridhie).
Swahaba mtukufu 'Umar Ibn Khattab (Allah Amridhie) aliikomboa Palestine kutoka kwa warumi. Allah hatowapa heshima hiyo wanaomtukana na kumkufurisha Swahaba huyo mtukufu na Khalifa muongofu.
Ni Vipenzi vya Maswahaba wa Mtume (Allah Awaridhie) ndio watakaopewa heshima hiyo na Allah.
Ukiona Mtu anaanza kuleta dini ( islamic au Christianity or Judaism) kwenye hii vita jua unajadili mada na kilaza wa la saba BHapa kuna masuala ya kisiasa Sio kidini.
Mbona Hao masunni wanawasaidia Israel Na Marekani dhidi ya waislam wenzao?
Ottoman empire ilikua ni himaya ya Sunni ila waarabu Sunni wakashiriki kuiangusha.
Saddam Hussein ni Sunni Na Sunni wenzake walishiriki kumuua.
Bila shaka ulichoandika ndio uhalisia wenyewe mkuu.Kwa ufupi sana resistance imesimama zaidi Yemen kwa usaidizi wa karibu kabisa " technically" kutoka Iran.
Tumeona shifting kutoka US zaidi ya mara 3 kuhusu houthi na misimamo Yao.
Israel imekua ikijaribu kupambana na Yemen lakini mpaka sasa hakuna mafanikio.
Nchi zingine wamebaki kuwa wabwekaji tu bila kuchukua hatua. Kwa sasa nimepata taarifa kuwa Iran ana vifaa vya kisasa kwaajiki ya air force amepokea fighter jet kutoka urusi na china kwa mantiki hiyo hii ngoma Bado mbichi sanaa.
Uku ni kujifariji kama wakati ule mlipo kua mna jifarini kupitia Hezbollah ambayo sasa hivi ni kama wamekua migambo ya jiji tu hawana impact yoyote kwa Israel ....Kwa ufupi sana resistance imesimama zaidi Yemen kwa usaidizi wa karibu kabisa " technically" kutoka Iran.
Tumeona shifting kutoka US zaidi ya mara 3 kuhusu houthi na misimamo Yao.
Israel imekua ikijaribu kupambana na Yemen lakini mpaka sasa hakuna mafanikio.
Nchi zingine wamebaki kuwa wabwekaji tu bila kuchukua hatua. Kwa sasa nimepata taarifa kuwa Iran ana vifaa vya kisasa kwaajiki ya air force amepokea fighter jet kutoka urusi na china kwa mantiki hiyo hii ngoma Bado mbichi sanaa.
Yemen wamekiwasha Leo huko umesikia ?Uku ni kujifariji kama wakati ule mlipo kua mna jifarini kupitia Hezbollah ambayo sasa hivi ni kama wamekua migambo ya jiji tu hawana impact yoyote kwa Israel ....
Kituo kitacho fuata baada ya Gaza ni Yemen kugeuzwa kifusi
Tuambie Kuna madhara yepi yaliyo Tokea!?Yemen wamekiwasha Leo huko umesikia ?
Ukombozi utaletwa na Wapalestina wenyewe. Yemen wanarusha missile wakiwa kwao, silaha za Iran ni za yeye kujilinda.Kwa ufupi sana resistance imesimama zaidi Yemen kwa usaidizi wa karibu kabisa " technically" kutoka Iran.
Tumeona shifting kutoka US zaidi ya mara 3 kuhusu houthi na misimamo Yao.
Israel imekua ikijaribu kupambana na Yemen lakini mpaka sasa hakuna mafanikio.
Nchi zingine wamebaki kuwa wabwekaji tu bila kuchukua hatua. Kwa sasa nimepata taarifa kuwa Iran ana vifaa vya kisasa kwaajiki ya air force amepokea fighter jet kutoka urusi na china kwa mantiki hiyo hii ngoma Bado mbichi sanaa.
According to historical and political analysts, the geographic region known as Palestine was controlled for centuries by successive empires—including the Roman, Ottoman, and British empires—without an independent, sovereign nation-state named Palestine ever existing prior to the 20th century.Kwa ufupi sana resistance imesimama zaidi Yemen kwa usaidizi wa karibu kabisa " technically" kutoka Iran.
Tumeona shifting kutoka US zaidi ya mara 3 kuhusu houthi na misimamo Yao.
Israel imekua ikijaribu kupambana na Yemen lakini mpaka sasa hakuna mafanikio.
Nchi zingine wamebaki kuwa wabwekaji tu bila kuchukua hatua. Kwa sasa nimepata taarifa kuwa Iran ana vifaa vya kisasa kwaajiki ya air force amepokea fighter jet kutoka urusi na china kwa mantiki hiyo hii ngoma Bado mbichi sanaa.
Sasa mbona kama umeumia Russia kumsaidia iran. Kwani si USA na yeye anamsaidia Israel wewe unazani Israel ana ubavu wa kupigana na Iran peke yake?. Taja vita ambayo Israel alipigana na Iran peke yake bila kutafuta msaada wowote Kwa USA ili nikuonyeshe kuku mwenye miguu 4.Acha kutulisha Matango Pori wewe kwani Iran ameanza kupata silaha kutoka russia leo hii? Wahouth wenyewe hawana ubavu kwa wayahudi juzi tu hapa wamefyekwa karibu Baraza lote la mawaziri akiwemo waziri mkuu wao harafu wewe unakuja kutuambia ujinga?
Wa kupambana na Israel bado hajazaliwa endeleeni tu kuwasifia mnaotaka kuwasifia lakini hakuna kibwengo yeyote anaweza kubweka mlianza kuwasifia Hezbollah na kuwaramba matako kila wakati lakini alipokutana na wana wa Israel walipelekwa kwa Mpalange mpaka leo hii ukiwaambia washambulie Israel unaweza kukosana nao!!!!!
Mpaka tunapoongea hapa Israel bado ni kidume huko Mashariki ya Kati mpaka huko uajemi hakuna wa kuleta Fyokofyoko!!!
Kwa kuwa ni mjinga na mpumbavu itoshe tu kukuambia hapa duniani hakuna nchi yoyote inaweza kupigana vita na nchi nyingine na ikashinda bila msaada wa nchi nyingine!!!Sasa mbona kama umeumia Russia kumsaidia iran. Kwani si USA na yeye anamsaidia Israel wewe unazani Israel ana ubavu wa kupigana na Iran peke yake?. Taja vita ambayo Israel alipigana na Iran peke yake bila kutafuta msaada wowote Kwa USA ili nikuonyeshe kuku mwenye miguu 4.
Niliwahi kuambiwa usitoe hoja zako Kwa mwanaume anaediriki kuvaa nguo za vitenge Kwasababu Kwa namna Moja ama nyengine anakuwa ame left group au anakaribia.Kwa kuwa ni mjinga na mpumbavu itoshe tu kukuambia hapa duniani hakuna nchi yoyote inaweza kupigana vita na nchi nyingine na ikashinda bila msaada wa nchi nyingine!!!
Iwe Russia unayemramba Makalio au Marekani amvaye ni Mungu kwenu Wafuga Midevu na Majini!!!.
Kwa hiyo kusaidiwa si hoja hoja ni kushinda vita!! Pamoja na akili yako mgando jiulize nchi kubwa kama Iran kwa nini imetepeta kwa ka nchi kadogo kama Israel? Najua kwa kuwa wewe ni Bozongo utasingizia Mungu wenu Marekani!!
Kwa ufupi sana resistance imesimama zaidi Yemen kwa usaidizi wa karibu kabisa " technically" kutoka Iran.
Tumeona shifting kutoka US zaidi ya mara 3 kuhusu houthi na misimamo Yao.
Israel imekua ikijaribu kupambana na Yemen lakini mpaka sasa hakuna mafanikio.
Nchi zingine wamebaki kuwa wabwekaji tu bila kuchukua hatua. Kwa sasa nimepata taarifa kuwa Iran ana vifaa vya kisasa kwaajiki ya air force amepokea fighter jet kutoka urusi na china kwa mantiki hiyo hii ngoma Bado mbichi sanaa.
https://www.facebook.com/Kwa ufupi sana resistance imesimama zaidi Yemen kwa usaidizi wa karibu kabisa " technically" kutoka Iran.
Tumeona shifting kutoka US zaidi ya mara 3 kuhusu houthi na misimamo Yao.
Israel imekua ikijaribu kupambana na Yemen lakini mpaka sasa hakuna mafanikio.
Nchi zingine wamebaki kuwa wabwekaji tu bila kuchukua hatua. Kwa sasa nimepata taarifa kuwa Iran ana vifaa vya kisasa kwaajiki ya air force amepokea fighter jet kutoka urusi na china kwa mantiki hiyo hii ngoma Bado mbichi sanaa.
Ujinga mtupu unakusumbua!! Iran kwenye vita ya Feb 28,2026 ilipoteza viongozi wa kijeshi na kiraia zaidi ya 600 akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei ulivyo Bumunda hilo hulioni!!Niliwahi kuambiwa usitoe hoja zako Kwa mwanaume anaediriki kuvaa nguo za vitenge Kwasababu Kwa namna Moja ama nyengine anakuwa ame left group au anakaribia.
Ni dhahiri umeshindwa kuthibitisha hio vita ambayo Israel aliopigana mwenyewe na Iran bila msaada wa USA. Itoshe kusema kama umeshindwa kuleta ushahidi wa hili basi natakiwa nikuache Ukiwa unajua Israel Hana hio nguvu unayojivutia nayo wewe mzayuni wa Buza Kwa mama kibonge.
Then naomba nijue ni lengo gani ambalo Israel -USA waliloweka juu ya Iran katika vita yake hii ya 28 February 2026 na lengo lao limefanyikiwa ili tuone nguvu yao. Ukinijibu na hili ntakuonyesha mwanaume kamili anevaa shati la vitenge kama wewe.