https://www.facebook.com/Watu wanaowatukana Maswahaba wa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake), hawatoikomboa Palestine iliyokombolewa na Maswahaba (Allah Awaridhie).
Swahaba mtukufu 'Umar Ibn Khattab (Allah Amridhie) aliikomboa Palestine kutoka kwa warumi. Allah hatowapa heshima hiyo wanaomtukana na kumkufurisha Swahaba huyo mtukufu na Khalifa muongofu.
Ni Vipenzi vya Maswahaba wa Mtume (Allah Awaridhie) ndio watakaopewa heshima hiyo na Allah.
Kwahiyo Hilo ndy lilikuwa lengo la Israel na USA si ndy maana yake. Sasa kama lengo ni Hilo Bado viongozi wa jeshi wapo na ayatollah Bado yupo na Bado Iran inaendeshwa kama ilivyokuwa inaendeshwa zamani. Haya niambie lengo lipi la Israel na USA limetimia hapo.Ujinga mtupu unakusumbua!! Iran kwenye vita ya Feb 28,2026 ilipoteza viongozi wa kijeshi na kiraia zaidi ya 600 akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei ulivyo Bumunda hilo hulioni!!
Endelea kujifariji tu wakati Iran wenyewe uchumi wao umedorola na maeneo yake mhimu kupigwa na kuharibiwa vibaya!!Kwahiyo Hilo ndy lilikuwa lengo la Israel na USA si ndy maana yake. Sasa kama lengo ni Hilo Bado viongozi wa jeshi wapo na ayatollah Bado yupo na Bado Iran inaendeshwa kama ilivyokuwa inaendeshwa zamani. Haya niambie lengo lipi la Israel na USA limetimia hapo.
Kwahiyo Hilo ndy lilikuwa lengo la Israel na USA si ndy maana yake. Sasa kama lengo ni Hilo Bado viongozi wa jeshi wapo na ayatollah Bado yupo na Bado Iran inaendeshwa kama ilivyokuwa inaendeshwa zamani. Haya niambie lengo lipi la Israel na USA limetimia hapo.
Kwahiyo lengo hasa la USA ni Nini ni kuzuia mafuta ya Iran kuuzwa na wewe unazania hayauzwi kweli?
View: https://www.youtube.com/shorts/jwdY2g4L33c?feature=share
View: https://www.youtube.com/shorts/gI5LsJ6GWEw?feature=shareIRAN haiwezi kutoboa hata kwa miujiza
operation "ECONOMIC OUTCAST"- straight of HORMUZ is occupied by USA
View: https://www.youtube.com/shorts/iZRf2AfCHYQ?feature=share
kibano cha uchumi ni silaha ya mapambano vitani, ndyo maana wamesalimu amri, uchumi umekufa kabisa na wananchi wameanza ku-riotKwahiyo lengo hasa la USA ni Nini ni kuzuia mafuta ya Iran kuuzwa na wewe unazania hayauzwi kweli?
Uchumi wa Iran mpaka leo hii umedorola kwa kiasi kikubwa sana haijawahi kutokea kwenye historia ya IranKwahiyo lengo hasa la USA ni Nini ni kuzuia mafuta ya Iran kuuzwa na wewe unazania hayauzwi kweli?
Kwahiyo hili ndy lengo la USA na Israel kuingia vitani na Israel sio. Sasa hizi mbinu wanazotumia kuuanguasha uchumi wa Irani ni vita vya makombora au ni vikwazo vya uchumi?Uchumi wa Iran mpaka leo hii umedorola kwa kiasi kikubwa sana haijawahi kutokea kwenye historia ya Iran
Tatizo ninyi Wafuga Midevu na Majini mnajitoa ufahamu sana!!
Angalia hapa chini uone maajabu
Kwahiyo lengo kuu la USA mbaka kuingia vitani na Iran ni Iran isaliti amri katika nini?, na je kama ni regime change Bado haijawezekana? Hili ndy swali langukibano cha uchumi ni silaha ya mapambano vitani, ndyo maana wamesalimu amri, uchumi umekufa kabisa na wananchi wameanza ku-riot
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/1256836959767766
Maswali ya kijinga na kipumbavu aliyekuambia vita vinachagua nani? Unauliza malengo ya vita ya marekani ili iweje? Wewe elewa tu iran anapigwa kama ngoma!!Kwahiyo hili ndy lengo la USA na Israel kuingia vitani na Israel sio. Sasa hizi mbinu wanazotumia kuuanguasha uchumi wa Irani ni vita vya makombora au ni vikwazo vya uchumi?
Sasa haya umesema wewe kuwa ni maswali ya kijinga lakini wenyewe USA na Israel wanajua malengo ya vita walioanzisha ndy mana wakatumia pesa nyingi sana kupigana hiyo vita. swali la msingi je malengo yao yametimia?.Maswali ya kijinga na kipumbavu aliyekuambia vita vinachagua nani? Unauliza malengo ya vita ya marekani ili iweje? Wewe elewa tu iran anapigwa kama ngoma!!
Unasema walitumia pesa nyingi wewe ulitaka watumie pesa ndogo? Wakitumia pesa nyingi wewe inakuhusu nini?Sasa haya umesema wewe kuwa ni maswali ya kijinga lakini wenyewe USA na Israel wanajua malengo ya vita walioanzisha ndy mana wakatumia pesa nyingi sana kupigana hiyo vita. swali la msingi je malengo yao yametimia?.
Hujajibu swali langu je Hilo ndy lengo la USA na Israel kama ni ndy je Sasa hivi Iran inatawaliwa na naniUnasema walitumia pesa nyingi wewe ulitaka watumie pesa ndogo? Wakitumia pesa nyingi wewe inakuhusu nini?
Wakuu wa vikosi vya Kijeshi vya Iran na viongozi wa kiraia zaidi ya 600 akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei waliangamizwa ulivyo mjinga hilo hulioni!!
Endelea kujifariji wakati iran wenyewe wanapitia magumu kuoindukia!!Hujajibu swali langu je Hilo ndy lengo la USA na Israel kama ni ndy je Sasa hivi Iran inatawaliwa na nani
Hii ni Google ndy imeleta majibu haya. Kama yapo mengine tofauti na haya naomba uniletee🤧🤧🤧🤧Endelea kujifariji wakati iran wenyewe wanapitia magumu kuoindukia!!
Kwa hiyo Malengo ya Google ndiyo hayo?Hii ni Google ndy imeleta majibu haya. Kama yapo mengine tofauti na haya naomba uniletee🤧🤧🤧🤧
Haya nilioleta ni malengo ya USA na Israel na ukimnukuu netanyau anasema lengo lao limeferi. Na lengo lao ni lipi mwenyewe kwenye clip ntakuelea hapa anasema lengo lao ni kuuanguasha utawala wa iran, lengo Hilo limeferi Kwa asilimia 98% na akawafuta baadhi ya majasusi kazi Kwa kushindwa kuuanguasha utawala wa Iran. Sasa wewe kama una malengo tofauti na netanyau na Trump basi utakuwa punguani.Kwa hiyo Malengo ya Google ndiyo hayo?
Marekani wanayo yao mojawapo ni kuua viongozi wengi wa kijeshi na kiraia akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei na jopo lake lote!!!
Wapi Marekani walisema wamefeli? Na wapi Netanyahu alisema wamefeli wakati wameua viongozi karibu wote wa kijeshi na kiraia akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei wajati huo huo hakuna hata kamanda mmoja wa Israel aliyeuliwa na Magaidi hao!!Haya nilioleta ni malengo ya USA na Israel na ukimnukuu netanyau anasema lengo lao limeferi. Na lengo lao ni lipi mwenyewe kwenye clip ntakuelea hapa anasema lengo lao ni kuuanguasha utawala wa iran, lengo Hilo limeferi Kwa asilimia 98% na akawafuta baadhi ya majasusi kazi Kwa kushindwa kuuanguasha utawala wa Iran. Sasa wewe kama una malengo tofauti na netanyau na Trump basi utakuwa punguani.
Then na wewe leta ushahidi kwamba USA lengo lao ni kuwauwa wanajeshi na ayatollah. Leta hapa 🤧🤧🤧🤧🤧
The primary aims of the U.S. military campaign against Iran (Operation Epic Fury), launched on February 28, 2026, are detailed by the Institute for Policy Studies and the White House to include:Kwa
Kwahiyo lengo kuu la USA mbaka kuingia vitani na Iran ni Iran isaliti amri katika nini?, na je kama ni regime change Bado haijawezekana? Hili ndy swali langu