Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto.
Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi.
Basi tambua kuwa hawa watu hata waamie kwenda sayari venus, wataanza kupigana tena wao kwa wao kwa maana asili yao ni resistance tangu enzi na enzi.
Kama baba yao tapeli Iran alivyo basi hawa nao watafata , watatofautiana kidogo katika mambo tofauti ila hauwezi kuuondoa chuki yao ya kufanana kuu waliyonayo kwa Muyahudi na Mkristo.
Yemen ana mshambulia Israel ambaye yupo katika mazungumzo ya kuleta amani na gaza, sasa unakaa unajiuliza hawa watu shida yao ni nini haswa. Israel akikaa kimya wanamsumbua, Israel akijibu mashambulizi wanalalamika, ndio hapo unakuja kutambua kuwa hawa kinachowasumbua ni roho ya itikadi yao, zimwi la jihad dhidi ya wasioamini kama wao.
Syria ni sleeping giant anayetaka kuwadanganya magharibi hana tabu yoyote na establishment zao, wanafanya hivi ili wanunue muda , wahipange alafu watengeneze kikundi kitakachoanza kuwasumbua wayahudi.