Yemen ni mwendelezo mwingine wa ndoto ya jihad yoyote atakaye pata mamlaka ili aridhishe hamu yake ya kufanya maafa. Syria itafata subiri wapate pesa.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto.

Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi.

Basi tambua kuwa hawa watu hata waamie kwenda sayari venus, wataanza kupigana tena wao kwa wao kwa maana asili yao ni resistance tangu enzi na enzi.

Kama baba yao tapeli Iran alivyo basi hawa nao watafata , watatofautiana kidogo katika mambo tofauti ila hauwezi kuuondoa chuki yao ya kufanana kuu waliyonayo kwa Muyahudi na Mkristo.

Yemen ana mshambulia Israel ambaye yupo katika mazungumzo ya kuleta amani na gaza, sasa unakaa unajiuliza hawa watu shida yao ni nini haswa. Israel akikaa kimya wanamsumbua, Israel akijibu mashambulizi wanalalamika, ndio hapo unakuja kutambua kuwa hawa kinachowasumbua ni roho ya itikadi yao, zimwi la jihad dhidi ya wasioamini kama wao.

Syria ni sleeping giant anayetaka kuwadanganya magharibi hana tabu yoyote na establishment zao, wanafanya hivi ili wanunue muda , wahipange alafu watengeneze kikundi kitakachoanza kuwasumbua wayahudi.
 
Ilitakiwa wanyukwe kwanza kabla hawajapata nguvu za kuleta usumbufu. Israel isitoe jeshi lake pale mlimani walikolikamata harakaharaka mpaka waone hawa waasi si kitisho kwao.kwa wahouth itabidi washughulikiwe kisawasawa, wafurushwe ili kupuguza kitisho na mwisho wakaufurushe utawala wa maayatolla iran angalau patulie mashariki ya kati
 
Hawa dawa yao ni kunyukwa msemo wako mkuu
 
Acha watu wapiganie haki,nyie watu weusi wakisha hamia kwenu kaeni subilini miujiza
 
Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto.

Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi.

Basi tambua kuwa hawa watu hata waamie kwenda sayari venus, wataanza kupigana tena wao kwa wao kwa maana asili yao ni resistance tangu enzi na enzi.

Kama baba yao tapeli Iran alivyo basi hawa nao watafata , watatofautiana kidogo katika mambo tofauti ila hauwezi kuuondoa chuki yao ya kufanana kuu waliyonayo kwa Muyahudi na Mkristo.

Yemen ana mshambulia Israel ambaye yupo katika mazungumzo ya kuleta amani na gaza, sasa unakaa unajiuliza hawa watu shida yao ni nini haswa. Israel akikaa kimya wanamsumbua, Israel akijibu mashambulizi wanalalamika, ndio hapo unakuja kutambua kuwa hawa kinachowasumbua ni roho ya itikadi yao, zimwi la jihad dhidi ya wasioamini kama wao.

Syria ni sleeping giant anayetaka kuwadanganya magharibi hana tabu yoyote na establishment zao, wanafanya hivi ili wanunue muda , wahipange alafu watengeneze kikundi kitakachoanza kuwasumbua wayahudi.
Mwenye shida hapo ni Israeli hao rebel hawajawwhi kushambulia nchi nyingie yoyote
 
Wafsnye tu Ila ujue anaywpifania haki yake hana cha kupoteza. Mpaka sasa uwnja we ben gurion umeshaaja watu wanasepa zao pakitukia tena wwnaeudi maana hapo sio kwao
 
Back
Top Bottom