Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

Yemen anaenda kuionesha kitu dunia acha tungojee
Houthi kamatieni hapo hapo
 


Kama kuna Taifa limewahi pigana na USA na Israel likafanikiwa basi bado halijazaliwa, wanapoteza mda.
 
Huo muungano wao hawatathubutu kabisa kuingia Yemen uso kwa uso. Hao Wayemeni miaka yote wapo vitani.

Muungano utaagizia missile tu za mbali tu, fanya mchezo na Wayemeni? Hao washujaa kiasili.

Meli hapo ndiyo wasahau kuzipitisha.
Acha ushaboki maandazi wee bibi..

Halafu utanufaika vipi zaidi ya vitu vinavyoagizwa toka nje kupanda bei huku?!
 
Ww ushanunua bidhaa gani kutoka israel ?ingekuwa huo mgogoro unazuia meli zakutoka na kuingia china bei za bidhaa lingekuwa balaa huo mgogoro unawaathiria wenyewe wa israel kukosa mahitaji ya wao kutumia
 
Huo muungano wao hawatathubutu kabisa kuingia Yemen uso kwa uso. Hao Wayemeni miaka yote wapo vitani.

Muungano utaagizia missile tu za mbali tu, fanya mchezo na Wayemeni? Hao washujaa kiasili.

Meli hapo ndiyo wasahau kuzipitisha.
jidanganyeee mashujaa kiasili ogopaa
 
Yemen ni nchi maskini, jeuri hii anaitoa wapi?
Iran huyo🤣 silaha zote anazotumia za kisasa zinatoka Iran ni mashujaa wa vita…. Wanataka vita kwa nguvu wamerusha makombora Israel kaufyata baba yake Marekani kambia achane naye kabisa huyo mimi mwenyewe naomba msaada kupambana na Yemen.
 
Hawa Waarabu kwa mikwala utawaweza?

Wana bahati kwamba kuna mataifa yanaangalia mizani ya sheria za kimataifa tu.

Hivi Mmarekani akiamua kupiga mabomu indiscriminately si anaweza kuisambaratisha miji yote ya Yemen ndani ya mwezi tu?
Mataifa gani hayo?

Si apige aone vita vitakavyosambaa unadhani Marekani hawezi kufanya hivyo anaweza lakini baada ya hapo Marekani hataki kupigana vita nje ya nchi yake nakumbuka.

Battle of Mogadishu


(1993)
8 dead American soldiers
No battle since the Vietnam War had killed so many U.S. troops. Casualties included 18 dead American soldiers and 73 wounded, with Malaysian forces suffering one death and seven wounded, and Pakistani forces two injuries. Somali casualties were far higher; most estimates are between 133 and 700 dead.

Ndiyo maana anaomba muungano hivyo vita vitapiganiwa kwenye maji bahari yq nyekundu itachafuka hakuna meli kupita na Yemen kaishasema akishambuliwa na nchi za jirani analipua visima ndiyo maana Saudia Dubai, Qatar, Kuweit, wamekataa huo muungano.
 
Naongelea mkwala wa Waarabu unavyowezekana kwa sababu Marekani inaangalia sheria za kimataifa za proportionate war tu.

Marekani kungekuwa na viongozi vichaa kama hao Waarabu, Yemen ingefutwa kwa mabomu ya nuclear ndani ya wiki tu.

So, Wamarekani wanapotafuta suluhusho la kimataifa, lenye nuance za proportionality etc, si kwa sababu wanawaogopa wa Yemen.

Ni kwa sababu wanaangalia mizani na kuheshimu sheria za kimataifa tu.

Unafikiri tukiondoa sheria za kimataifa tuweke vita kati ya Yemen na US, Yemen ataweza kuipiga US?
 
🚨Netanyahu went to visit wounded soldiers at Sheba Hospital in Israel — and some patients refused to meet him.

Source: Channel 13
 
🛑 According to Politico, 19 countries joined the US-led coalition in the Red Sea, but 9 of them refuse to have their names published, including Arab countries.

Hawataki kutajwa wanajua Yemen akizijua atazaa nazo😂
 
Yemen anajua fika kuwa hawezi kupigana US hata kijografiq hawezi kumfikia yeye anaweza kupigana na nchi za Mashariki ya Kati ikiwemo Israel na pamoja na umasikini wake wanamuogopa mfano huu…

🛑 According to Politico, 19 countries joined the US-led coalition in the Red Sea, but 9 of them refuse to have their names published, including Arab countries.

Yemen anajihamini ana silaha ambazo nchi za magharibi hawazijui zimetokq Iran na Urusi.
 
Hawa Waarabu kwa mikwala utawaweza?

Wana bahati kwamba kuna mataifa yanaangalia mizani ya sheria za kimataifa tu.

Hivi Mmarekani akiamua kupiga mabomu indiscriminately si anaweza kuisambaratisha miji yote ya Yemen ndani ya mwezi tu?
Kwa hiyo hizo sheria za kimataifa mpalestina hazimusu? Na kwa nini kila penye mgogoro duniani marekani ana mkono wake,, soon mzani utakaa sawa duniani mrusi kawafungua watu macho kule Ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…