Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

🚨 KAMPUNI ZA KIMATAIFA ZISITISHA USAFIRISHAJI KWENDA BAHARI NYEKUNDU KUTOKANA NA MASHAMBULIZI YA HOUTH

Mashambulizi ya hivi majuzi ya Wahouthi katika Bahari Nyekundu yamesababisha makampuni kadhaa makubwa ya baharini kusitisha operesheni kupitia Mfereji wa Suez nchini Misri.

Hapa kuna orodha ya kina:

🇨🇭⁠MSC Mediterranean Shipping Co. (Uswizi): Kampuni kubwa zaidi duniani ya usafirishaji wa makontena, yenye kundi la meli 756, ilisitisha shughuli za Suez Canal mnamo Desemba 16.

⁠🇩🇰A.P. Moller-Maersk (Denmark): Kampuni kubwa zaidi ya usafirishaji iliyojumuishwa ulimwenguni, inayoendesha meli 708, ilisimamisha usafirishaji wa makontena kupitia Bahari Nyekundu.

🇫🇷CMA CGM (Ufaransa): Ilijiunga na kituo hicho kwa jumla ya meli 627.

🇩🇪Hapag-Lloyd (Ujerumani): Inaendesha meli 264 za kontena, pia inazingatia kuepuka Mfereji wa Suez.

🇬🇧BP (Uingereza): Mojawapo ya kampuni kubwa zaidi za mafuta na gesi duniani, ilisitisha safari za baharini kupitia mkondo wa Bahari Nyekundu.

🇹🇼 ⁠Evergreen (Taiwan): Njia kuu ya usafirishaji ya kontena ya Taiwani, pia ilisimamisha shughuli.

🇧🇪Euronav (Ubelgiji): Mmiliki maarufu wa lori la Ubelgiji, alijiunga na orodha ya kampuni zinazokwepa njia hiyo.

🇭🇰Laini ya Kontena ya Orient Overseas (Hong Kong) imesitisha upokeaji wa mizigo kwenda na kutoka Israel hadi ilani nyingine.

🇳🇴Equinor (Norway) imesimamisha meli za mafuta, meli za usambazaji bidhaa, meli za kushikilia nanga, na vyombo vya kusubiri.

Zaidi ya hayo, ZIM ya Israel na Trafigura wanachukua tahadhari zaidi kwa meli zao zinazomilikiwa na kukodishwa.

(Chanzo: Fox Business, Reuters)

Hawa ndiyo Yemen masikini wamekondeana lakini wanawaonyosha matajiri.
Yemen anaenda kuionesha kitu dunia acha tungojee
Houthi kamatieni hapo hapo
 
Wanaukumbi.

Waziri wa Ulinzi wa Yemen Meja Jenerali Mohammad al-Atifi:
Amesema kuwa Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vitageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo muungano huo utaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen.

======

🇾🇪🇺🇸 Yemeni Defense Minister Major General Mohammad al-Atifi:

The Yemeni Armed Forces will turn the Red Sea into a graveyard of the US-led coalition if the alliance decides to take any action against Yemen.

======

Mpaka sasa makumpuni makubwa ya meli Dunia yamesimamisha meli zao kupita Bahari Nyekundu.

Moja ya kampuni kubwa zaidi za usafirishaji wa meli duniani, Maersk, ilisema Iilikuwa inasimamisha meli zake kupitia njia kuu ya Bahari Nyekundu kufuatia mashambulizi ya waasi wa Houthi wa Yemen.
Maersk, ambayo inamiliki kundi la meli 300, katika tangazo la Jumamosi. Ikizingatiwa kuwa takriban 12-14% ya biashara ya kimataifa hupitia Mfereji wa Suez, hili ni tukio muhimu ambalo linaweza kuathiri njia za biashara za kimataifa na bei za bidhaa nchini Israel.

Kampuni ya usafirishaji ya Ujerumani ya Hapag-Lloyd ilitangaza pia kuwa inasimamisha usafirishaji wa meli za Bahari baada ya moja ya meli zake kushambuliwa na Houthis.

Kampuni ya meli ya Hong Kong ya OOCL (Orient Overseas Container Line) ilitangaza kwamba "kutokana na matatizo ya uendeshaji," itaacha mara moja kusafirisha mizigo kwenda na kutoka Israel
Yahya Saree, msemaji wa Jeshi la Yemen:

View: https://x.com/me_observer_/status/1737102785848512969?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kama kuna Taifa limewahi pigana na USA na Israel likafanikiwa basi bado halijazaliwa, wanapoteza mda.
 
Huo muungano wao hawatathubutu kabisa kuingia Yemen uso kwa uso. Hao Wayemeni miaka yote wapo vitani.

Muungano utaagizia missile tu za mbali tu, fanya mchezo na Wayemeni? Hao washujaa kiasili.

Meli hapo ndiyo wasahau kuzipitisha.
Acha ushaboki maandazi wee bibi..

Halafu utanufaika vipi zaidi ya vitu vinavyoagizwa toka nje kupanda bei huku?!
 
Kuna kitu tukiangalie kwa jicho la Mbali sana hii vita athari zake hazita ishia kwao tu tusubiri tutaona gharama ya vitu kupanda na kukosekana hasa malighafi tunazo zitegemea kutoka nnje, maana usitishwaji wa hiyo njia ya meli utatuathiri kwa namna moja au ingine.
Ww ushanunua bidhaa gani kutoka israel ?ingekuwa huo mgogoro unazuia meli zakutoka na kuingia china bei za bidhaa lingekuwa balaa huo mgogoro unawaathiria wenyewe wa israel kukosa mahitaji ya wao kutumia
 
Huo muungano wao hawatathubutu kabisa kuingia Yemen uso kwa uso. Hao Wayemeni miaka yote wapo vitani.

Muungano utaagizia missile tu za mbali tu, fanya mchezo na Wayemeni? Hao washujaa kiasili.

Meli hapo ndiyo wasahau kuzipitisha.
jidanganyeee mashujaa kiasili ogopaa
 
Yemen ni nchi maskini, jeuri hii anaitoa wapi?
Iran huyo🤣 silaha zote anazotumia za kisasa zinatoka Iran ni mashujaa wa vita…. Wanataka vita kwa nguvu wamerusha makombora Israel kaufyata baba yake Marekani kambia achane naye kabisa huyo mimi mwenyewe naomba msaada kupambana na Yemen.
 
Hawa Waarabu kwa mikwala utawaweza?

Wana bahati kwamba kuna mataifa yanaangalia mizani ya sheria za kimataifa tu.

Hivi Mmarekani akiamua kupiga mabomu indiscriminately si anaweza kuisambaratisha miji yote ya Yemen ndani ya mwezi tu?
Mataifa gani hayo?

Si apige aone vita vitakavyosambaa unadhani Marekani hawezi kufanya hivyo anaweza lakini baada ya hapo Marekani hataki kupigana vita nje ya nchi yake nakumbuka.

Battle of Mogadishu

(1993)
8 dead American soldiers
No battle since the Vietnam War had killed so many U.S. troops. Casualties included 18 dead American soldiers and 73 wounded, with Malaysian forces suffering one death and seven wounded, and Pakistani forces two injuries. Somali casualties were far higher; most estimates are between 133 and 700 dead.

Ndiyo maana anaomba muungano hivyo vita vitapiganiwa kwenye maji bahari yq nyekundu itachafuka hakuna meli kupita na Yemen kaishasema akishambuliwa na nchi za jirani analipua visima ndiyo maana Saudia Dubai, Qatar, Kuweit, wamekataa huo muungano.
 
Naongelea mkwala wa Waarabu unavyowezekana kwa sababu Marekani inaangalia sheria za kimataifa za proportionate war tu.

Marekani kungekuwa na viongozi vichaa kama hao Waarabu, Yemen ingefutwa kwa mabomu ya nuclear ndani ya wiki tu.

So, Wamarekani wanapotafuta suluhusho la kimataifa, lenye nuance za proportionality etc, si kwa sababu wanawaogopa wa Yemen.

Ni kwa sababu wanaangalia mizani na kuheshimu sheria za kimataifa tu.

Unafikiri tukiondoa sheria za kimataifa tuweke vita kati ya Yemen na US, Yemen ataweza kuipiga US?
 
🚨Netanyahu went to visit wounded soldiers at Sheba Hospital in Israel — and some patients refused to meet him.

Source: Channel 13
 
🛑 According to Politico, 19 countries joined the US-led coalition in the Red Sea, but 9 of them refuse to have their names published, including Arab countries.

Hawataki kutajwa wanajua Yemen akizijua atazaa nazo😂
 
Naongelea mkwala wa Waarabu unavyowezekana kwa sababu Marekani inaangalia sheria za kimataifa za proportionate war tu.

Marekani kungekuwa na viongozi vichaa kama hao Waarabu, Yemen ingefutwa kwa mabomu ya nuclear ndani ya wiki tu.

So, Wamarekani wanapotafuta suluhusho la kimataifa, lenye nuance za proportionality etc, si kwa sababu wanawaogopa wa Yemen.

Ni kwa sababu wanaangalia mizani na kuheshimu sheria za kimataifa tu.

Unafikiri tukiondoa sheria za kimataifa tuweke vita kati ya Yemen na US, Yemen ataweza kuipiga US?
Yemen anajua fika kuwa hawezi kupigana US hata kijografiq hawezi kumfikia yeye anaweza kupigana na nchi za Mashariki ya Kati ikiwemo Israel na pamoja na umasikini wake wanamuogopa mfano huu…

🛑 According to Politico, 19 countries joined the US-led coalition in the Red Sea, but 9 of them refuse to have their names published, including Arab countries.

Yemen anajihamini ana silaha ambazo nchi za magharibi hawazijui zimetokq Iran na Urusi.
 
Hawa Waarabu kwa mikwala utawaweza?

Wana bahati kwamba kuna mataifa yanaangalia mizani ya sheria za kimataifa tu.

Hivi Mmarekani akiamua kupiga mabomu indiscriminately si anaweza kuisambaratisha miji yote ya Yemen ndani ya mwezi tu?
Kwa hiyo hizo sheria za kimataifa mpalestina hazimusu? Na kwa nini kila penye mgogoro duniani marekani ana mkono wake,, soon mzani utakaa sawa duniani mrusi kawafungua watu macho kule Ukraine
 
Back
Top Bottom