Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

Haya mashambulizi ya Meli bahari nyekundu inawezekana ni kitisho cha Iran kupitia wanamgambo wa Houth ili kuzisukuma nchi za umoja wa Ulaya na Marekani kuhusu usitishwaji wa mashambulizi ya Israel huko Gaza na ukanda wa magharibi ya mto Jordan.
Iran anaweza akawa mastermind wa haya yote
 
Ufaransa huwa ana historia ya kuwa na jeshi dhaifu pale Ulaya. Yani ukienda Ulaya ukawaambia Ufaransa ina jeshi shupavu watakucheka. Hata Northern Africa kina Algeria kule Ufaransa bado alikuwa na performance ya kawaida.
Alafu wewe kama mzoefu wa mambo ya kivita unaonyesha utoto kudai Marekani iliishindwa Somalia. Marekani haijawahi pigana vita na Somalia, lini uliwahi ona Marekani inapigana vita kwa kutumia helicopter mbili na Humvee?
Kwamba helicopter moja ikiangushwa basi nchi imeshindwa vita sasa si kila nchi duniani ingekuwa inashindwa vita.

Mpaka Marekani inaweka naval base pale Djibouti lengo ni kulinda ghuba ya Uajemi mpaka Mediterranean sea. Hakuna nchi imehusika na kupambana na maharamia wa Kisomali zaidi ya Marekani, kwanza task force ndio imeanzisha, ndio imetoa vifaa vingi na ndio imepiga operations nyingi zaidi. Then UK na France.
 
Sio suala la kuhisi wala kudhani. Mbona hiyo inajulikana wazi ndio sera ya Iran siku zote kwamba akikabwa sehemu pa kuponea ni kuvuruga Red sea kuzuia shipments ili yawepo mazungumzo. Hata silaha zake nyingi majini zimelenga hilo
 
Sio suala la kuhisi wala kudhani. Mbona hiyo inajulikana wazi ndio sera ya Iran siku zote kwamba akikabwa sehemu pa kuponea ni kuvuruga Red sea kuzuia shipments ili yawepo mazungumzo. Hata silaha zake nyingi majini zimelenga hilo
Ok sawa, upo sahii
 
Kwa mujibu wa waziri mkuu wa UK ni kwamba hao wa Yemeni nyuma yake kuna mrusi na muirani ambao wanataka kupandisha bei ya mafuta na bidhaa ili uchumi wa nchi za magharibi uvurugike.
Sasa unatumiaje vita kuua uchumi wa Marekani wakati Marekani ndio huwa inatumia vita kukuza uchumi wake. Kila Marekani ikitoka vitani inakuwa imekuza uchumi na ilioshindana nao wamekongoroka. Wanaoweza athirika ni hao Europeans nao hakuna namna lazima walinde usalama wa shipping lanes, ama waende vitani au wasiende bado wataingia gharama.

Na uchumi wa kutegemea sabotage haujawahi kuisimamisha nchi. Urusi inatembelea kuchochea fujo kubaki relevant na kujipatia faida, wakati Marekani ilipiga uchonganishi mmoja bei ya mafuta ikaporomoka USSR ikakosa bajeti ikajifia.
 
Waoneeni huruma basi hata kidogo hao waarabu?
Kama vita itatokea hapo Yemeni aitajalisha Russia anasaidia au la ila ukweli ni kwamba wayemeni watauwawa na nchi yao kubomolewa.

Leo hii itazame Gaza kila kitu kimeharibika, Hamasi kabla ya vita wao ndio walikuwa wakiendesha kila kitu mpaka kukusanya kodi, leo hii wamekimbia na kuziacha ofisi zao. Afu kuna watu wanawaona kuwa Hamasi ni wahindi wakati wamepoteza karibia kila kitu.

Tuacheni ushabiki mkubwa apewe heshima yake na mdo naye athaminiwe ili Dunia iwe pahali pazuri pa kuishi
 
America walipeleka misaada Somalia na baadae wakaenda kutaka kumkamata General Aidid ila wananchi wakaenda upande wa Aidid
Hapo ndipo ugomvi ukaanza
Hapo hata ukipigana saa mbili ni vita mkuu
Halafu tujibu kwa staha I respect you
Mfaransa ana historia mbaya Africa na aliuwa sana na wale pirates alikuwa anawafuata wanapotoka baharini na kuja nchi kavu na kuwauwa
Hilo tu ndio nikikazia
Uwe na siku njema
 
HAYA TUNASUBIRI TUONE WAPIGA NGONJERA WA KIARABU....
MLISEMA MARA OOH KIONGOZI WA HEZBOLLAH ATATOA HOTUBA YA KUIVAMIA ISRAEL AFU MKAKIMBIA 🤣🤣🤣🤣
SASA MMEHAMIA KWENYE NGONJERA ZA WAVAA MISULI WA SANAA🤣🤣🤣.
NB: WAMEWASHINDWA WASAUDIA WAARABU WENZAO,,,,,WATAWAWEZA WENGINE..
 
Mkuu USA ilishindwa vita Mogadishu???
Tafuta historia za kijeshi na sio ushabiki wa kidini
 
Muiisrael mweusi wa Majimatitu anatoa tamko ebu wasome Waisrael wa Tel Aviz.

Maersk, ambayo inamiliki kundi la meli 300, katika tangazo la Jumamosi. Ikizingatiwa kuwa takriban 12-14% ya biashara ya kimataifa hupitia Mfereji wa Suez, hili ni tukio muhimu ambalo linaweza kuathiri njia za biashara za kimataifa na bei za bidhaa nchini Israel
 
ACHA NGONJERA KAMA WAARABU SUBIRI TUONE KAMA HIYO BAHARI NYEKUNDU ITAGEUKA KABURI...
UNAKUMBUKA WEWE NA FAIZA FOXY MLISEMA IDF NI MASHOGA NA WANAOGOPA KUINGIA GAZA.....
LEO KIPO WAPI USTAADHI...MPAKA UNAONA AIBU KWA KICHAPO MNACHOPOKEA HUKO GAZA 🤣🤣🤣
 
Mkuu USA ilishindwa vita Mogadishu???
Tafuta historia za kijeshi na sio ushabiki wa kidini
Nani kaongelea dini hapo
Mbona mmekuwa na kasumba ya dini sana
Kwanini wewe usiseme tu yanayohusu mashambulizi hayo na vita Somalia
Unaleta udini, kama wewe ni mgalatia sikushangai kwa chuki binafsi,
Mmarekani aliondoka Somalia kwa shinikizo la wananchi wao kutaka watoto wao warudishwe haraka nyumbani

Kama hujui Wasomali walipowauwa wanajeshi wa 🇺🇸 walikata miguu na mikono na kuifunga kamba na kuwapa watoto wazivute kama toys
Na waandishi wa habari walirusha live na kupelekea waamerika kuomba waondolewe hapo

Sasa wewe kaa na chuki zako kila anaeandika ubaya wa USA uanze kutokwa povu
 
🇾🇪 An important speech by AnsarAllah leader, Abdul-Malik al-Houthi, about the latest developments in Palestine, this afternoon.
 

Attachments

  • IMG_8384.jpeg
    23.9 KB · Views: 2
Ndo huyo aliyemkung'uta Saddam Hussein na sasa yupo mavumbini😂🤣
Ndo huyu huyu aliyeyamaliza magaidi Osama, Aiman Al Zawahiri na wengine.
Ndo huyuhuyu ambaye russia kwa njaa zao na upungufu wa akili walimuuzia Alaska
Ndo huyuhuyu ambaye akisema neno nchi za kiarabu nyingi zinamuunga mkono
Ndo huyuhuyu ambapo rafiki zake walimng'oa Gaddafi
 
BREAKING:

⚡ 🇮🇱 Vyombo vya habari vya Israeli:

"Wana Houthi wanafanya uharibifu mkubwa kwa uchumi wa Israeli"

Tishio la jeshi la Yemeni linasababisha kufungwa kabisa kwa shughuli za kiuchumi katika bandari ya Eilat, na kudhuru mapato yake na shughuli za wafanyikazi, wauzaji na wakandarasi.

Gazeti la fedha la Israel Globes liliripoti kwamba makampuni ya meli ya Israel yamepoteza karibu 23% ya thamani yao ya soko, ikiwakilisha hasara ya mabilioni ya dola.
 

Attachments

  • IMG_8386.jpeg
    68.1 KB · Views: 3
UDINI MZIGO YAANI KUFA WANAJESHI 18 NA MAJERUHI 78 KATI YA WANAJESHI 168 NDIO USA MARINES ILISHINDWA VITA MOGADISHU...
🤣🤣🤣😂😂 KWAMBA USA MARINE WAKIOMBA WAONDOLEWE HAPO WAKATI WALIKUA NA BASE UFUKWENI....ULIZA KAMA HUJUI KILICHOWAFANYA WASITISHE ILE MISHENI
UNAJUA TATIZO LA WAISLAMU NI UNAFIKI WA HISTORIA.....WAKIDHANI WATU HATUJUI
EBU ELEZEA ILE MISSION YA MOGADISHU YA USA MARINE,S KUJARIBU KUMKAMATA HAIDEED KWA UFASAHA USIDHANI SISI HATUJUI..
BLACK HAWK DOWN AU BATTLE OF MOGADISHU AU OPERATION GOTHIC SERPENT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…