Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

Alikuwa anaitwa Gen Aidid
Tatizo la wagalatia ni chuki moja tu hamjui kupangua hoja na kujibu mpaka muingize chuki na matusi na kejeli
Sasa nani kakufokea hapo
Dini yako ndio imekufunza chuki hizo hata yule Waziri alionyesha chuki dhahiri kanisani dhidi ya uislam

Tunawajua sana ila tunaishi na nyie tu
Unaongea huku unatetemeka mpaka umeahindwa kuandika Aidid
Pole sana tumewazoea wala hamtusumbui
Kunywa maji hizi dini tutaziacha ila kwa matusi na kejeli hatutaweza kuelewana
Chuki zinaleta maradhi mengi poleni sana
Sibishana na wewe tena
 
Houthis ni ya kushangaza.

Walichukua msimamo pamoja na ndugu na dada zao huko Gaza.

Walifanya hivyo kwa njia ya busara kabisa, kwa onyo, na upotezaji mdogo wa maisha.

Waligeuza hata meli iliyotekwa kuwa kivutio cha watalii cha familia. 😂 kipaji!!
 
Endelea kujifariji ila gaza kichapo kinaendelea...
Na baadae hamkawii kukimbia uzi.....
Hao wavaa misuli wa,Sanaaa wanaongea kujifariji na ngonjera
 
America kisha anza lalamika eti kuangusha drone moja tu ya Yemen inawacost 2.1 Million sa wataweza kuingia vita na Yemen? America anatufata njia ya kukwepa hapo 😄
Kila silaha iliyotumiwa kuangusha makombora na ndege zisizo na rubani za Houthi hugharimu kati ya dola milioni 1 na milioni 4.3 na meli haziwezi kupakia tena baharini na italazimika kurejea bandarini😂
 
Endelea kujifariji ila gaza kichapo kinaendelea...
Na baadae hamkawii kukimbia uzi.....
Hao wavaa misuli wa,Sanaaa wanaongea kujifariji na ngonjera
🇲🇾Malaysia announced that the 🇮🇱Israeli shipping company "ZIM" will be prohibited from today docking, or transiting in the territorial waters of his country.

The Strait of Malacca is closed for the Israeli ZIM shipping company.

The biggest shipping company in Israel .
 
Afgan kakaa miaka 20 kaachia koloni ulitaka akae kuna nini pale. Yaani somalia pqlqkavu vile kiranjaa aangaike napo yeye anaenda sehem ananyosha magaidi na kuondoka
Kwani kipindi anaenda alikuwa amefuata nn kama hakuna kitu?
Hapo somalia waulize wamarekani wenyewe walipigwa mpaka wakaukimbia uwanja wa vita na kuwatelekeza wanajeshi wao wauawa na kuzungushwa mitaani wakiwa uchi.
 
Sasa kama hakwenda kupigana vita alienda kutalii sio?
 
Vita ikianza watakaokufa ni Wanawake na watoto. Wao watakimbilia Miami Dubai na Doha kula bata. Watangulize watoto wao kwanza. Kuna umuhimu gani kufanya wanachokifanya, UN ianze kulaumiwa na kubeba msalaba Wa wakimbizi
 
ACHA NGONJERA TUSUBIRI VITENDO......SI ULISEMAGA IDF WANAOGOPA KUINGIA GAZA????
LEO KIPO WAPI,,,,,SI MNALILIA CEASE FIRE
 
Panya Buku hao, USA washapeleka ndege na manowari za kulinda meli zinazokatisha hapo.
alafu inakuwaje mashabiki wao ni wale watu wa dini ile?
Hivi kuna Mungu wa vita au Mungu wa amani?
 
Ww si umesema Yemen hana chochote cha kumtisha kiranja wako?
Sasa na mm nimekuwekea wale ambao ni masikini kama Yemen walio mpaka mafuta mchana kweupe huyo kiranja wako.
 
First statement from Yemen after the announcement of coalition led by USA:

‎"With this foolishness, you will learn who Yemen is."
Serikali yaYemen nayo ya kutumishia msul tu? Hiyo iliyoshindwa kudhibiti hata waasia waliomo.nchini.mwake tu
 
Yaani USA yy anachojua ni kuuza silaha tu huwa kitu kinaitwa amani huwa hataki akisikia kuna vita anaweza kuwauzia silaha wote mnaopigana huko israel watu wanapigana yy ndio anapga kula vita iendelee
 
Serikali yaYemen nayo ya kutumishia msul tu? Hiyo iliyoshindwa kudhibiti hata waasia waliomo.nchini.mwake tu
Wadhibiti waasi wakati hao houthi wanaoshambulia meli ndio waasi wa yemeni kweli international news hufuatilii hao wananguvu kuliko serikali mpk rais wa yemen kakimbia
 
Ww si umesema Yemen hana chochote cha kumtisha kiranja wako?
Sasa na mm nimekuwekea wale ambao ni masikini kama Yemen walio mpaka mafuta mchana kweupe huyo kiranja wako.
Alaa kumbe Yemen masikini 😆😂🤣
 
Wadhibiti waasi wakati hao houthi wanaoshambulia meli ndio waasi wa yemeni kweli international news hufuatilii hao wananguvu kuliko serikali mpk rais wa yemen kakimbia
Mleta mada kaeema Waziri wa ulinzi wa Yemen ndio kasema
 
Hapa ndipo marekani..anavyo penda lazima atengeneze pesa ya ulinzi wa meli lazima silaha auze..yemen hawezi tamba mbele ya marekan
Tena Yemen ana Mafuta Marekani wanavyopenda sehemu zenye raslimali watamtwanga mfulululizo wabebe mafuta na gesi zote ziwe chini ya makampuni ya Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…