Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

Kwa akili zako unadhani Iran Hana silaha za nuclear??
Na Iran ndio mfadhili wa Yemen.
Iran Kuna mahandaki yenye silaha zisizojulikana za Aina gani kijana.
Naongelea vita ya US na Yemen.

Ukitaka kuingiza nchi nyingine we migh as well tal Armageddon.
 
Hiyo Yemeni unayoizungumzia haisimami pasi na nguvu ya Kina Ayatollah Khomeini.
Unapoitaja Yemeni umeitaja Iran kaa ujue Hilo.
Najua, na hilo ndilo linaloprove weakness ya Yemen.

Mikwala mingiii, ila haiwezi hata kusimama peke yake.
 
Iran ndo anaweza kufanya hivyo.
China hathubutu, anaogopa yale yaliyomkuta Mrusi kwa mali zake kupigwa pini. Wachina wanajali sana uchumi wao.
Hata Russia akifanya ni kwa kificho sana, na saivi pumzi hana.
China Wala hamuogopi mtu.
Ila Sera za China ni za ushindani wa kibiashara na kutokujihusisha na Vita.
Ungeikuta Ile China ya 1950s ungeelewa .
China anafanya ubabe south China Sea na kapora mpaka visiwa vya Phillipines na USA hajafanya kitu
 
Najua, na hilo ndilo linaloprove weakness ya Yemen.

Mikwala mingiii, ila haiwezi hata kusimama peke yake.
USA Vita pekee alosimama peke yake labda Ni ya kutafuta Uhuru na ya operation cabanatuan.
Ila after that Huwa anaomba muunganiko NATO.
Kama na yeye USA anajiweza asingeomba joint coalition kulinda red sea.
 
Tengua kauli.
Houthi sio waasi.
Kilikua chama Cha siasa kabla hakijashika silaha kumtimua MANSOUR ambae alikua hapendwi na wananchi.
Houthi ni kiungo muhimu Yemeni na raia wanakikubali.
Serikali yaYemen nayo ya kutumishia msul tu? Hiyo iliyoshindwa kudhibiti hata waasia waliomo.nchini.mwake tu
 
USA Vita pekee alosimama peke yake labda Ni ya kutafuta Uhuru na ya operation cabanatuan.
Ila after that Huwa anaomba muunganiko NATO.
Kama na yeye USA anajiweza asingeomba joint coalition kulinda red sea.
Historia yako ina matundu mengi san.

Hiyo USA kutosimama peke yake Red Sea - actually na sehemu nyingine nyingi tu- ni kwa sababu za kisiasa USA asionekane anataka ku police dunia peke yake, tayari kashalaumiwa sana kwa kuwa "The World Police".

USA hashindwi kufanya hiyo operation ya Red Sea peke yake, ila kwa sababu za kisiasa inabidi ajenge international consesus.

That is a political move, not a military one.
 
Mpaka Sasa Kama unazungumzia Hilo USA keshafeli in geopolitical influence.
Kafeli toka alipoisapoti Israel na kutupilia mbali suala la two states solution.
Pia USA ufadhili wake wa Vita umedumaza uchumi wa USA na mbaya zaidi Vita nyingi alizofadhili kashindwa.
Ndio maana raia na wasomi wa uchumi USA wanapiga kelele US iache kufadhili Vita zisizo na maana zinazodumaza uchumi wao kwa kutumika kwa Kodi zao.
Hata Ukraine asilimia Kubwa ya raia wanapiga kelele msaada wa silaha usitishwe.
USA bro Hana ubavu keshaonesha udhaifu Vita kadhaa alipoenda kusimama yeye Kama yeye.
Mfano tu ya Somalia ya kumkamata Aidid.
Mwisho US ana Vita nyingi alizofanya zikaleta maafa kikandamizaji mathalan ya Egypt ya kumpindua Morsi na ya Libya ya kumtoa Gaddafi na ya Syria ya kumtoa Assad.
Hivyo USILETE visingizio vya kisiasa.
 
Umebadili mjadala, mazungumzo yalikuwa mikwala ya Yemen na uhalisia wake katika ubabe wa kivita ya USA vs Yemen.

Kama unataka kubishana nami kuwa Yemen ina uwezo wa kuishinda USA katika vita ya nchi kwa nchi, sina jinsi ya kukusaidia.

US imetumia dola bilioni 766 kwenye bajeti ya ulinzi mwaka 2022.

Yemen imetumia 2.09 billion mwaka 2014.

Pato zima la taifa la Yemen mwaka 2022 lilikuwa dola bilioni 23.55

Yemen hata Tanzania tumewapita kiuchumi, Tanzania ilikuwa na GDP na dola bilioni 75.71

Pato la taifa la Yemen la mwaka 2022 linaingia mara 32.5 kwenye bajeti ya ulinzi ya Marekani ya mwaka huo.

Huwezi hata kulinganisha.
 
First statement from Yemen after the announcement of coalition led by USA:

‎"With this foolishness, you will learn who Yemen is."
Hakuna kitu usiwajaze mkuu, wakipigwa wanaanza kulia kulia, wanaweza kuwa sahihi katika madai yao ila hii mikwara ni ya Joti kabisa.
 
BREAKING:

⚡ 🇨🇳🇮🇱 Vyombo vya habari vinavyohusiana:

Meli za kivita za China zilizowekwa katika Bahari Nyekundu zilikataa kusaidia meli za mizigo za Israel huko Bab Al-Mandab na kukataa wito wao wa shida.
 
Attachments

  • IMG_8409.jpeg
    IMG_8409.jpeg
    32.8 KB · Views: 1
Umebadili mjadala, mazungumzo yalikuwa mikwala ya Yemen na uhalisia wake katika ubabe wa kivita ya USA vs Yemen.

Kama unataka kubishana nami kuwa Yemen ina uwezo wa kuishinda USA katika vita ya nchi kwa nchi, sina jinsi ya kukusaidia.

US imetumia dola bilioni 766 kwenye bajeti ya ulinzi mwaka 2022.

Yemen imetumia 2.09 billion mwaka 2014.

Pato zima la taifa la Yemen mwaka 2022 lilikuwa dola bilioni 23.55

Yemen hata Tanzania tumewapita kiuchumi, Tanzania ilikuwa na GDP na dola bilioni 75.71

Pato la taifa la Yemen la mwaka 2022 linaingia mara 32.5 kwenye bajeti ya ulinzi ya Marekani ya mwaka huo.

Huwezi hata kulinganisha.
Unatumia nguvu kubwa kumuelekeza kilaza,
 
Kiongozi wa Ansarullah (Houthi) wa Yemen anasema

Ikiwa Marekani itachochea vita na sisi, itakabiliwa na matokeo mabaya zaidi kuliko Afghanistan na Vietnam.

Marekani haipaswi kudhani kwamba inaweza kuanzisha mashambulizi na kumaliza mzozo, lakini itaburutwa kwenye vita kamili.

Tunatuonya tuepuke upumbavu huo.
 
Ulaya kukabiliana na ongezeko kubwa la bei ya mafuta

Tishio la Yemen limeathiri bpd milioni 8.8 za usafirishaji wa mafuta kila siku, na karibu tani milioni 380 za usafirishaji wa mizigo kila siku.

S&P Global Market Intelligence inakokotoa kuwa asilimia 21.5 ya uagizaji wa mafuta iliyosafishwa Ulaya hupitia Bahari Nyekundu na asilimia 13 ya uagizaji wake wa mafuta ghafi.
 
Attachments

  • IMG_8410.jpeg
    IMG_8410.jpeg
    82.3 KB · Views: 1
Unatumia nguvu kubwa kumuelekeza kilaza,
Uzuri ni kwamba, naielekeza dunia, si kilaza mmoja tu asiyeelewa mambo.

Mazungumzo yangu hapa mengi yanaweza kuonekana kama najibizana na mtu mmoja, lakini, hata huyo mmoja akiwa kilaza siyeweza kusaidika, kuna wengi sana watasoma na kujifunza.
 
Back
Top Bottom