Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Inaonekana huu ni mpango wa muda mrefu kwa Yemen. Ambapo Jana imefanikiwa kufanya mashambulizi ya kombora la masafa marefu na kulenga shabaha katika miji ya Tel Aviv na lod huko nchini Israel baada ya kurusha aina mpya ya kombora linalogawanyika hewani zaidi ya mara 80 kabla ya kupiga shabaha iliyokusudiwa.
Kinachogawanyika ni " warheads? Kile kichwa chenye vilipuzi.
Mpaka sasa utawala wa Netanyahu haujatoa taarifa yeyote official lakini tayari baadhi ya media nchini humo zimeripoti kuwa upepo wa vita umebadilika na inaonekana kama Israel itakabiliana na wakati ngumu kutoka Yemen.
Ikumbukwe mpaka tunaenda mitamboni Yemen amefunga bahari nyekundu kwa meli zote zinazoelekea Israel . Marekani na jamaa zake waliokuwa wanapigana na Yemen wameshaaga mashindano.
Yemen Bado ameshikilia msimamo wake hata acha kuishambulia Israel mpaka Palestine itakapokua huru. Je Israel ana mpango gani kwa sasa wa kupambana na houth wa Yemen? Tuendelee kumfuatilia ..