Wakati wa vita vya Iran na Iraq ulikuwa ushazaliwa mkuu? Iraq alikuwa anapewa sapot na mataifa ya ulaya na US pamoja na nchi za kiarabu. Alipewa Hadi silaha za kemikali Sadam aliua makamanda takriban wote wa Iran. Kaua Leo usiku unaambiwa mda huohuo wakaapishwa wapya vita vikaendelea. Imamu Khomeini anaambiwa salender bila ya mashart anajibu sisi tunapenda kufa kama nyinyi mnavyopenda kuishi hatutosalenda mpaka mtupe tunachokipenda au tuwashinde. Vilipiganwa vitaa miaka 8 mpaka Sadam na mabwana zake wakaomba poo. Kwahyo Iran kuulizwa makamanda siyo jambo la ajabu kwao istoshe Israel kawavizia alijua angeanzisha vita wakat wapo hai mziki ungekuwa wamoto Sasa pamoja na kuwaua lkn chamoto kakipata Tena kwa muda muafakaMlizika makamanda na wanasayansi wa Nyuklia wangapi ??
Unakumbukaje tukio lililoleta misiba mizito Iran
Au mnatumia nini kufikiri
HiziInaonekana huu ni mpango wa muda mrefu kwa Yemen. Ambapo Jana imefanikiwa kufanya mashambulizi ya kombora la masafa marefu na kulenga shabaha katika miji ya Tel Aviv na lod huko nchini Israel baada ya kurusha aina mpya ya kombora linalogawanyika hewani zaidi ya mara 80 kabla ya kupiga shabaha iliyokusudiwa.
Kinachogawanyika ni " warheads? Kile kichwa chenye vilipuzi.
Mpaka sasa utawala wa Netanyahu haujatoa taarifa yeyote official lakini tayari baadhi ya media nchini humo zimeripoti kuwa upepo wa vita umebadilika na inaonekana kama Israel itakabiliana na wakati ngumu kutoka Yemen.
Ikumbukwe mpaka tunaenda mitamboni Yemen amefunga bahari nyekundu kwa meli zote zinazoelekea Israel . Marekani na jamaa zake waliokuwa wanapigana na Yemen wameshaaga mashindano.
Yemen Bado ameshikilia msimamo wake hata acha kuishambulia Israel mpaka Palestine itakapokua huru. Je Israel ana mpango gani kwa sasa wa kupambana na houth wa Yemen? Tuendelee kumfuatilia .. View attachment 3450161
Hizi habar haziaandikwa kokote duniani...la wafuasi wa muddy ni mazuzu sanaInaonekana huu ni mpango wa muda mrefu kwa Yemen. Ambapo Jana imefanikiwa kufanya mashambulizi ya kombora la masafa marefu na kulenga shabaha katika miji ya Tel Aviv na lod huko nchini Israel baada ya kurusha aina mpya ya kombora linalogawanyika hewani zaidi ya mara 80 kabla ya kupiga shabaha iliyokusudiwa.
Kinachogawanyika ni " warheads? Kile kichwa chenye vilipuzi.
Mpaka sasa utawala wa Netanyahu haujatoa taarifa yeyote official lakini tayari baadhi ya media nchini humo zimeripoti kuwa upepo wa vita umebadilika na inaonekana kama Israel itakabiliana na wakati ngumu kutoka Yemen.
Ikumbukwe mpaka tunaenda mitamboni Yemen amefunga bahari nyekundu kwa meli zote zinazoelekea Israel . Marekani na jamaa zake waliokuwa wanapigana na Yemen wameshaaga mashindano.
Yemen Bado ameshikilia msimamo wake hata acha kuishambulia Israel mpaka Palestine itakapokua huru. Je Israel ana mpango gani kwa sasa wa kupambana na houth wa Yemen? Tuendelee kumfuatilia .. View attachment 3450161
Machoko wepi hamas?....🤣🤣Hali zao mbaya nyau anachukua nchiHamas na hizbullar na Iran Wana maelezo sahihi!! Wapigie watakujuza
Bado Yemen tunawadai kuusu Israel peleka MOTO mwingi wenye kutisha Taifa zima la mchongo!! Dawa ya MOTO ni MOTOInaonekana huu ni mpango wa muda mrefu kwa Yemen. Ambapo Jana imefanikiwa kufanya mashambulizi ya kombora la masafa marefu na kulenga shabaha katika miji ya Tel Aviv na lod huko nchini Israel baada ya kurusha aina mpya ya kombora linalogawanyika hewani zaidi ya mara 80 kabla ya kupiga shabaha iliyokusudiwa.
Kinachogawanyika ni " warheads? Kile kichwa chenye vilipuzi.
Mpaka sasa utawala wa Netanyahu haujatoa taarifa yeyote official lakini tayari baadhi ya media nchini humo zimeripoti kuwa upepo wa vita umebadilika na inaonekana kama Israel itakabiliana na wakati ngumu kutoka Yemen.
Ikumbukwe mpaka tunaenda mitamboni Yemen amefunga bahari nyekundu kwa meli zote zinazoelekea Israel . Marekani na jamaa zake waliokuwa wanapigana na Yemen wameshaaga mashindano.
Yemen Bado ameshikilia msimamo wake hata acha kuishambulia Israel mpaka Palestine itakapokua huru. Je Israel ana mpango gani kwa sasa wa kupambana na houth wa Yemen? Tuendelee kumfuatilia .. View attachment 3450161
lakini hiyo vita mzee mandevu alijificha na gauni lake round anaweza akapelekwa Kwa Allah kuwafata magenerali wake 30 na wanasayansi na mkuu wa majeshi waliuawaMzee ndevu nae katest makombora mapya , Netanyahu kachanganyikiwa kwasababu anaujua moto wa Mzee Ndevu maana kwenye vita iliyoisha alimchokoza mwenyewe na akaomba msamaha mwenyewe
kobazi mnafundishwaga uwongo Israel aliomba msamaha wapi?Mzee ndevu nae katest makombora mapya , Netanyahu kachanganyikiwa kwasababu anaujua moto wa Mzee Ndevu maana kwenye vita iliyoisha alimchokoza mwenyewe na akaomba msamaha mwenyewe
Umechokozwa halafu unaombwa usimamishe vita!!!; Hahaha....huku mkuu wako wa majeshi na wasaidizi wake kibao na wana sayansi wako wako mochwarwe.... 😂😂😂 Unanikimbusha Israel alipoanza uchokozi dhidi ya Iran katika vita ya siku 12 halafu akaomba vita isimamishwe 😂😂😂😂😂
Kuwatetea Houthi na hamas na Hezbollah hakuna gharama yoyote zaidi ya kuwa na ilimu ya madrasa peke yake.Upuuzi wa wavaa kobazi mnajipa moyo sana, Yemen han hata kununua msuli na pedo hawana hela.
Hilo kombora labda useme manati ilipeleka
Habari gani wewe mi nasoma na kumsikiliza hizo habari 24/7.Usiwe mvivu wa kufikiria tafuta hizo habari zipo hadi israel times
Siku hizi hatusubiri habari ziandikwe tunaona Live bila chenga huko kwenye Mtandao wa X vyombo vikishuka hewani.Hizi
Hizi habar haziaandikwa kokote duniani...la wafuasi wa muddy ni mazuzu sana
Eeh unaombwa kwa sababu madhara unayoleta ni makubwa zaidi ya hao waliouwawa.Umechokozwa halafu unaombwa usimamishe vita!!!; Hahaha....huku mkuu wako wa majeshi na wasaidizi wake kibao na wana sayansi wako wako mochwarwe.... 😂
Nimecheka km mazuri vile!Huko muda wowote kinanuka tofauti na Tanzania wanasema maneno tu kuwa tunakinukisha halafu hawakinukishi pamoja na CCM kuwapelekesha itakavyo
Anasubiri UHURU liandikeSiku hizi hatusubiri habari ziandikwe tunaona Live bila chenga huko kwenye Mtandao wa X vyombo vikishuka hewani.
Kumbe wewe haumo mkuu!Hakuna kinachodumu. Hawa watanzania siku ya kufanya tukio hutaamini kama ni wao. Watu watavamia ikulu na kulala kwenye vitanda. Generations passes
Sipo wapiKumbe wewe haumo mkuu!
Tayar huko watu wamevuliwa maderaInaonekana huu ni mpango wa muda mrefu kwa Yemen. Ambapo Jana imefanikiwa kufanya mashambulizi ya kombora la masafa marefu na kulenga shabaha katika miji ya Tel Aviv na lod huko nchini Israel baada ya kurusha aina mpya ya kombora linalogawanyika hewani zaidi ya mara 80 kabla ya kupiga shabaha iliyokusudiwa.
Kinachogawanyika ni " warheads? Kile kichwa chenye vilipuzi.
Mpaka sasa utawala wa Netanyahu haujatoa taarifa yeyote official lakini tayari baadhi ya media nchini humo zimeripoti kuwa upepo wa vita umebadilika na inaonekana kama Israel itakabiliana na wakati ngumu kutoka Yemen.
Ikumbukwe mpaka tunaenda mitamboni Yemen amefunga bahari nyekundu kwa meli zote zinazoelekea Israel . Marekani na jamaa zake waliokuwa wanapigana na Yemen wameshaaga mashindano.
Yemen Bado ameshikilia msimamo wake hata acha kuishambulia Israel mpaka Palestine itakapokua huru. Je Israel ana mpango gani kwa sasa wa kupambana na houth wa Yemen? Tuendelee kumfuatilia .. View attachment 3450161
Ni kama Jana tu watu walivyovuliwa pale Tel AvivTayar huko watu wamevuliwa madera