Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
😂😂 Unanikimbusha Israel alipoanza uchokozi dhidi ya Iran katika vita ya siku 12 halafu akaomba vita isimamishwe 😂😂😂😂😂Mnaanzaga ukorofi hiv hiv halaf mkipigwa mnaanza kulia lia kutaka muonewe huruma kuwa mnaonewa hayaa
UKorofi sio mzuri. Acha tuone😂😂 Unanikimbusha Israel alipoanza uchokozi dhidi ya Iran katika vita ya siku 12 halafu akaomba vita isimamishwe 😂😂😂😂😂
Eeh ndio kwa watetezi wa wapalestina hizi ni habari njema. Marehemu Nyerere na Nelson Mandela huko mbinguni watakua na furàha sana.Habari njema hizi.
Tutakachoona ni piga nikupige hakuna zaidi ya hapo.UKorofi sio mzuri. Acha tuone
Hakuna kinachodumu. Hawa watanzania siku ya kufanya tukio hutaamini kama ni wao. Watu watavamia ikulu na kulala kwenye vitanda. Generations passesHuko muda wowote kinanuka tofauti na Tanzania wanasema maneno tu kuwa tunakinukisha halafu hawakinukishi pamoja na CCM kuwapelekesha itakavyo
Kikubwa marekani asiingilie tu....Mnaanzaga ukorofi hiv hiv halaf mkipigwa mnaanza kulia lia kutaka muonewe huruma kuwa mnaonewa hayaa
Nilitegemea niyaone hayo madhara kumbe umeandika mawaidha tu wapelekee kobaz wenzakoInaonekana huu ni mpango wa muda mrefu kwa Yemen. Ambapo Jana imefanikiwa kufanya mashambulizi ya kombora la masafa marefu na kulenga shabaha katika miji ya Tel Aviv na lod huko nchini Israel baada ya kurusha aina mpya ya kombora linalogawanyika hewani zaidi ya mara 80 kabla ya kupiga shabaha iliyokusudiwa.
Kinachogawanyika ni " warheads? Kile kichwa chenye vilipuzi.
Mpaka sasa utawala wa Netanyahu haujatoa taarifa yeyote official lakini tayari baadhi ya media nchini humo zimeripoti kuwa upepo wa vita umebadilika na inaonekana kama Israel itakabiliana na wakati ngumu kutoka Yemen.
Ikumbukwe mpaka tunaenda mitamboni Yemen amefunga bahari nyekundu kwa meli zote zinazoelekea Israel . Marekani na jamaa zake waliokuwa wanapigana na Yemen wameshaaga mashindano.
Yemen Bado ameshikilia msimamo wake hata acha kuishambulia Israel mpaka Palestine itakapokua huru. Je Israel ana mpango gani kwa sasa wa kupambana na houth wa Yemen? Tuendelee kumfuatilia .. View attachment 3450161
Sisi wayahudi hatuna tabia ya kuonesha madhara Moja kwa Moja ili ku maintain ile status yetu ya mchongo labda itokee kibano kiwe heavy sana kama tulivyochapwa na Iran ndio utaona kwenye social media. We have status and privilege to maintain.Nikitegemea niyaone hayo madhara kumbe umeandika mawaidha tu wapelekee kobaz wenzako
Mlizika makamanda na wanasayansi wa Nyuklia wangapi ??😂😂 Unanikimbusha Israel alipoanza uchokozi dhidi ya Iran katika vita ya siku 12 halafu akaomba vita isimamishwe 😂😂😂😂😂
Wewe utapima mwenyewe. Aliyeomba vita isimamishwe ndio aliyeumia.Mlizika makamanda na wanasayansi wa Nyuklia wangapi ??
Unakumbukaje tukio lililoleta misiba mizito Iran
Au mnatumia nini kufikiri
Ndio maana jeshi limesema linaanzisha uchunguzi kuhusu kombora hilo la leo.Makombora kadhaa ya gharama yametumika kujaribu kulitungua hewani na haikuwezekana mpaka limefika Tel Aviv.Inaonekana huu ni mpango wa muda mrefu kwa Yemen. Ambapo Jana imefanikiwa kufanya mashambulizi ya kombora la masafa marefu na kulenga shabaha katika miji ya Tel Aviv na lod huko nchini Israel baada ya kurusha aina mpya ya kombora linalogawanyika hewani zaidi ya mara 80 kabla ya kupiga shabaha iliyokusudiwa.
Kinachogawanyika ni " warheads? Kile kichwa chenye vilipuzi.
Mpaka sasa utawala wa Netanyahu haujatoa taarifa yeyote official lakini tayari baadhi ya media nchini humo zimeripoti kuwa upepo wa vita umebadilika na inaonekana kama Israel itakabiliana na wakati ngumu kutoka Yemen.
Ikumbukwe mpaka tunaenda mitamboni Yemen amefunga bahari nyekundu kwa meli zote zinazoelekea Israel . Marekani na jamaa zake waliokuwa wanapigana na Yemen wameshaaga mashindano.
Yemen Bado ameshikilia msimamo wake hata acha kuishambulia Israel mpaka Palestine itakapokua huru. Je Israel ana mpango gani kwa sasa wa kupambana na houth wa Yemen? Tuendelee kumfuatilia .. View attachment 3450161
Habari iko wazi kabisa.Kwani ni lazima usomeshwe.Nilitegemea niyaone hayo madhara kumbe umeandika mawaidha tu wapelekee kobaz wenzako
Utakuja tu humu huku rinda linauma wanaua matoto.Habari iko wazi kabisa.Kwani ni lazima usomeshwe.
Usiwe mvivu wa kufikiria tafuta hizo habari zipo hadi israel timesUpuuzi wa wavaa kobazi mnajipa moyo sana, Yemen han hata kununua msuli na pedo hawana hela.
Hilo kombora labda useme manati ilipeleka