Yemen yaishambulia Israel kwa kombora jipya linalogawanyika hewani.

Mlizika makamanda na wanasayansi wa Nyuklia wangapi ??
Unakumbukaje tukio lililoleta misiba mizito Iran
Au mnatumia nini kufikiri
Wakati wa vita vya Iran na Iraq ulikuwa ushazaliwa mkuu? Iraq alikuwa anapewa sapot na mataifa ya ulaya na US pamoja na nchi za kiarabu. Alipewa Hadi silaha za kemikali Sadam aliua makamanda takriban wote wa Iran. Kaua Leo usiku unaambiwa mda huohuo wakaapishwa wapya vita vikaendelea. Imamu Khomeini anaambiwa salender bila ya mashart anajibu sisi tunapenda kufa kama nyinyi mnavyopenda kuishi hatutosalenda mpaka mtupe tunachokipenda au tuwashinde. Vilipiganwa vitaa miaka 8 mpaka Sadam na mabwana zake wakaomba poo. Kwahyo Iran kuulizwa makamanda siyo jambo la ajabu kwao istoshe Israel kawavizia alijua angeanzisha vita wakat wapo hai mziki ungekuwa wamoto Sasa pamoja na kuwaua lkn chamoto kakipata Tena kwa muda muafaka
 
Hizi
Hizi habar haziaandikwa kokote duniani...la wafuasi wa muddy ni mazuzu sana
 
Hamas na hizbullar na Iran Wana maelezo sahihi!! Wapigie watakujuza
 
Bado Yemen tunawadai kuusu Israel peleka MOTO mwingi wenye kutisha Taifa zima la mchongo!! Dawa ya MOTO ni MOTO
 
Mzee ndevu nae katest makombora mapya , Netanyahu kachanganyikiwa kwasababu anaujua moto wa Mzee Ndevu maana kwenye vita iliyoisha alimchokoza mwenyewe na akaomba msamaha mwenyewe
lakini hiyo vita mzee mandevu alijificha na gauni lake round anaweza akapelekwa Kwa Allah kuwafata magenerali wake 30 na wanasayansi na mkuu wa majeshi waliuawa

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
😂😂 Unanikimbusha Israel alipoanza uchokozi dhidi ya Iran katika vita ya siku 12 halafu akaomba vita isimamishwe 😂😂😂😂😂
Umechokozwa halafu unaombwa usimamishe vita!!!; Hahaha....huku mkuu wako wa majeshi na wasaidizi wake kibao na wana sayansi wako wako mochwarwe.... 😂
 
Upuuzi wa wavaa kobazi mnajipa moyo sana, Yemen han hata kununua msuli na pedo hawana hela.
Hilo kombora labda useme manati ilipeleka
Kuwatetea Houthi na hamas na Hezbollah hakuna gharama yoyote zaidi ya kuwa na ilimu ya madrasa peke yake.
 
Habari
Usiwe mvivu wa kufikiria tafuta hizo habari zipo hadi israel times
Habari gani wewe mi nasoma na kumsikiliza hizo habari 24/7.
Chunguza hiyo habari km aliyeandika sio Mpalestina wale wale hata awe wapi.
Israel Times inaweza kuandikwa na hao Hamas wakiwa ukimbizini huko walipo.
Hiyo habari haipo popote Kwa taarifa yako.
 
Tayar huko watu wamevuliwa madera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…