Yemen yaishambulia Israel .

Yemen yaishambulia Israel .

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
Serikali ya Houthi ya Yemeni imeshambulia Israel kwa kutumia ballistic missiles kutokea Yemen.

Huu ni muendelezo wa hatua ya pili baada ya awali kua inashambulia meli za mizigo zinazoelekea Israel,lengo lake la Yemen likiwa kuwaunga mkono Palestina.

Tumsome msemaji wa jeshi la Yemen,Yahya Sarae.
20240202_232847.jpg
 
Watapata wanachokitafuta, bora washambulie USA au NATO lakini siyo myahudi, myahudi vita ndo vimesababisha aweze kusurvive mpaka leo, SadamuHusein wa Iraq alijaribu kurusha mabomu ya scurd mbaka Israel lakini hakuambulia kitu, kwa mwenendo wa Iran siku akipata boom la Nyuklia lazima azisogeze pale Syria au Lebanon ili kumtishia Israel, kwa mazingira hayo usalama wa Israel ni kumshambulia Iran
 
Lakini hawezi sijui anaogopa nini
 
Hawezi ishambulia Iran direct nchini kwake,huwa anavizia Syria na Iraq kushambulia maafisa wa jeshi,Iran nayo hua inasaka maafisa wa Israel nayo inawaua,kama hivi karibu!!

Sio USA wala Israel anaeweza kushambulia Iran moja kwa moja!!
 
Watapata wanachokitafuta, bora washambulie USA au NATO lakini siyo myahudi, myahudi vita ndo vimesababisha aweze kusurvive mpaka leo, SadamuHusein wa Iraq alijaribu kurusha mabomu ya scurd mbaka Israel lakini hakuambulia kitu, kwa mwenendo wa Iran siku akipata boom la Nyuklia lazima azisogeze pale Syria au Lebanon ili kumtishia Israel, kwa mazingira hayo usalama wa Israel ni kumshambulia Iran
Mnaaminishwa kuwa Israel ni zaidi ya kila taifa ulimwenguni kivita na mnakubali. Unadhani walioshambulia unawazidi akili na intelijensia ya kijeshi?

Wanajua wanachokifanya!
 
Serikali ya Houthi ya Yemeni imeshambulia Israel kwa kutumia ballistic missiles kutokea Yemen.

Huu ni muendelezo wa hatua ya pili baada ya awali kua inashambulia meli za mizigo zinazoelekea Israel,lengo lake la Yemen likiwa kuwaunga mkono Palestina.

Tumsome msemaji wa jeshi la Yemen,Yahya Sarae.View attachment 2892297
Ndugu zangu
Hivi hamuoni kuwa hii vita inazidi kuaogea kwetu?

Tunapaswa kukemea sana haya madudu ya mashariki ya kati.

Israel, palestina, marekani na wengineo wanakosea kuchochea mauaji
 
Watapata wanachokitafuta, bora washambulie USA au NATO lakini siyo myahudi, myahudi vita ndo vimesababisha aweze kusurvive mpaka leo, SadamuHusein wa Iraq alijaribu kurusha mabomu ya scurd mbaka Israel lakini hakuambulia kitu, kwa mwenendo wa Iran siku akipata boom la Nyuklia lazima azisogeze pale Syria au Lebanon ili kumtishia Israel, kwa mazingira hayo usalama wa Israel ni kumshambulia Iran
Ikiwa baba yake kamshindwa akaweze mtoto anaye lishwa ubwabwa.

Hivi we akili zako ziko timamu wewe, Israel ikiwa Hamasi kawashindwa na Hamasi kafungiwa mipaka mpaa maji na umeme akapigane na Yemen.

Israel ana nini huyo anakuzwa tu na media za Western na propoganda zao.

Yemen habari ingine ni moto wa mbali hata America na Uingereza wamekiri hayo, we baki unatapa tapa kama mgonjwa wa utapia mlo.
 
Watapata wanachokitafuta, bora washambulie USA au NATO lakini siyo myahudi, myahudi vita ndo vimesababisha aweze kusurvive mpaka leo, SadamuHusein wa Iraq alijaribu kurusha mabomu ya scurd mbaka Israel lakini hakuambulia kitu, kwa mwenendo wa Iran siku akipata boom la Nyuklia lazima azisogeze pale Syria au Lebanon ili kumtishia Israel, kwa mazingira hayo usalama wa Israel ni kumshambulia Iran
Hizi zilikua stori kama za kina juma na uledi amka usingizini acha kuota . Hapo Gaza tu wanamgambo wa Hamas na Hezbollah wanamtoa kamasi itakua Yemen wenye makombora ya masafa marefu.
 
Serikali ya Houthi ya Yemeni imeshambulia Israel kwa kutumia ballistic missiles kutokea Yemen.

Huu ni muendelezo wa hatua ya pili baada ya awali kua inashambulia meli za mizigo zinazoelekea Israel,lengo lake la Yemen likiwa kuwaunga mkono Palestina.

Tumsome msemaji wa jeshi la Yemen,Yahya Sarae.View attachment 2892297
Wapigwe tu, hakuna namna
 
Kwa heshima ya jukwaa hili....mtu anapoleta habari ni vyema aweke na link kusindikiza habari yake......ukileta habari kavu kavu inaonekana ni msukumo wa utashi wako na sio habari.......hivyo inashusha weledi wa jukwaa hili kuonekana jukwaa la uzushi na watu wa mihemko
 
Allah atawapa nguvu zaidi za kuwatetea wenzao wa Palestina,
Inapendeza kuwa shambulio hilo limetokea baada ya kuwa Marekani imetangaza imeshavunja vunja rada zao na huwa inayawahi makombora ya Houth kuyapiga kabla ya hata kurushwa.
Zaidi ni kuwa Yahya Saree anajua mpaka sehemu kombora lilipotua ndani ya Israel.
Israel imesema dome yao aina tofauti na ile ya Iron ililiona kombora hilo.Na hawakutaja matokeo yake au lilipotua.
 
Ndugu zangu
Hivi hamuoni kuwa hii vita inazidi kuaogea kwetu?

Tunapaswa kukemea sana haya madudu ya mashariki ya kati.

Israel, palestina, marekani na wengineo wanakosea kuchochea mauaji
Haya Maoni yako pia,Yataleta athari chanya ikiwa utaongezea Congo Sudani kusini Na Nigeria Ambapo Machafuko Ni kila leo.
 
Kwa heshima ya jukwaa hili....mtu anapoleta habari ni vyema aweke na link kusindikiza habari yake......ukileta habari kavu kavu inaonekana ni msukumo wa utashi wako na sio habari.......hivyo inashusha weledi wa jukwaa hili kuonekana jukwaa la uzushi na watu wa mihemko
Hii aione johnthebaptist

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom