HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Umbali kutoka Yemen hadi Israel ndo sababu hajashambuliwa hadi muda huu vinginevyo yangempata ya Lebanon, SyriaWatapata wanachokitafuta, bora washambulie USA au NATO lakini siyo myahudi, myahudi vita ndo vimesababisha aweze kusurvive mpaka leo, SadamuHusein wa Iraq alijaribu kurusha mabomu ya scurd mbaka Israel lakini hakuambulia kitu, kwa mwenendo wa Iran siku akipata boom la Nyuklia lazima azisogeze pale Syria au Lebanon ili kumtishia Israel, kwa mazingira hayo usalama wa Israel ni kumshambulia Iran