Yemen yaishambulia Israel .

Yemen yaishambulia Israel .

Watapata wanachokitafuta, bora washambulie USA au NATO lakini siyo myahudi, myahudi vita ndo vimesababisha aweze kusurvive mpaka leo, SadamuHusein wa Iraq alijaribu kurusha mabomu ya scurd mbaka Israel lakini hakuambulia kitu, kwa mwenendo wa Iran siku akipata boom la Nyuklia lazima azisogeze pale Syria au Lebanon ili kumtishia Israel, kwa mazingira hayo usalama wa Israel ni kumshambulia Iran
Umbali kutoka Yemen hadi Israel ndo sababu hajashambuliwa hadi muda huu vinginevyo yangempata ya Lebanon, Syria
 
Iran hachochei mauaji ? kwann humtaj ?
Rudia swali lako with fikra tunduizi yaani critical thoughts.

Kwa nini Irani kawekewa vikwazo?
Anayechochea hivyo vikwazo unajua supply chain yake ya silaha kwenye conflicted zones?

Unakumbuka Mandela alienda kuharibu silaha za nyuklia kwake kwa sababu gani?

Hivyo usije na hadaa za kishabiki bila tafiti.

Je ni bahati kuzaliwa ulaya na laana kuzaliwa nje ya race hiyo?

Kaa chini fikiri
 
tunazungumzia yanayo endelea sas hv , Iran kazivuruga na anaendeleza fujo kweny nchi ya Syria , Iraq na Yemen , Iran anakwamisha umoja wa kiarab hapo middle east maana kapenyeza wapiganaj wake wanaolenga mlengo wa kishia wkt waarab wengi ni sunni
 
Iran hajaivamia Syria wala hakuivamia Iraq hizo fujo alizileta wapi na lini
Anaeleta tafrani kwenye hayo mataifa ni magaidi wa marekani na wazungu wengine
 
Hizi zilikua stori kama za kina juma na uledi amka usingizini acha kuota . Hapo Gaza tu wanamgambo wa Hamas na Hezbollah wanamtoa kamasi itakua Yemen wenye makombora ya masafa marefu.
Wanamtoaje kamasi wkt sasa hv wamehamishwa hapo kwao? Hawana ofisi, hawana sehemu ya kukutania, hawana maliwato yaani kimsingi sasa hv hamasi wamekuwa guerilla fighters.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
kwan Yemen ina serikali moja ? ushabiki na unafiki ndo unatiferisha watu weusi , mtu upo busy kuisifia Yemen iliyoshindwa hata kujitawala kwa serikali moja nchi nzima
We dogo we ndio kama yule savimbi mwenzake alikuwa Luanda yeye yuko vichakani mpa kafia vichakani sababu ya America anamuamba we ndio tunakutambua 😄

Yani leo mtu ajidai anaserekali yuko Arusha wakati Dar na Dodoma ndio kila kitu siatakuwa chizi.

We ni chizi kama wale wanajidai ni Serekali ya Yemen, wakati imeundwa na Saud Arabia afu huyo huyo Msaudia anaomba peace na Al Houth sa nani ni serakali hapo, nikikuambia ukichaa si lazima useme mimi ni kichaa hata maongezi yako tu watu wanakufahamu we ni kichaa hauko sawa kichwani.
 
Back
Top Bottom