Yemen yaishambulia Israel .

Yemen yaishambulia Israel .

Ikiwa baba yake kamshindwa akaweze mtoto anaye lishwa ubwabwa.

Hivi we akili zako ziko timamu wewe, Israel ikiwa Hamasi kawashindwa na Hamasi kafungiwa mipaka mpaa maji na umeme akapigane na Yemen.

Israel ana nini huyo anakuzwa tu na media za Western na propoganda zao.

Yemen habari ingine ni moto wa mbali hata America na Uingereza wamekiri hayo, we baki unatapa tapa kama mgonjwa wa utapia mlo.
Wamekiri wapi, waswahili walivyo mikwara kibao utafikiri wao wako imbeded with the American admin kumbe wanauza magimbi soko la Tandale kushindia chai ya rangi kikombe kimoja na muhogo wa kuchoma 🤣🤣🤣
 
Hawezi ishambulia Iran direct nchini kwake,huwa anavizia Syria na Iraq kushambulia maafisa wa jeshi,Iran nayo hua inasaka maafisa wa Israel nayo inawaua,kama hivi karibu!!

Sio USA wala Israel anaeweza kushambulia Iran moja kwa moja!!
"Sio USA Wala Israel anayeweza kushambulia Iran moja kwa moja" ila Pakistan ndio mwenye nguvu kuliko hao US na Israel sio?
 
Wamekiri wapi, waswahili walivyo mikwara kibao utafikiri wao wako imbeded with the American admin kumbe wanauza magimbi soko la Tandale kushindia chai ya rangi kikombe kimoja na muhogo wa kuchoma 🤣🤣🤣
Tatizo we ulikulia tandale ndio unadhani wote tumetokea huko 😄

Soma utaona Biden anakiri kabisa Air Strikes haina matokea sa mnataka nini Jeshi la chini America hawezi kabisa anajua atarudisha maiti tu.

Safari hi America kaukalia
 
Watapata wanachokitafuta, bora washambulie USA au NATO lakini siyo myahudi, myahudi vita ndo vimesababisha aweze kusurvive mpaka leo, SadamuHusein wa Iraq alijaribu kurusha mabomu ya scurd mbaka Israel lakini hakuambulia kitu, kwa mwenendo wa Iran siku akipata boom la Nyuklia lazima azisogeze pale Syria au Lebanon ili kumtishia Israel, kwa mazingira hayo usalama wa Israel ni kumshambulia Iran
Akimshambulia uje utustue [emoji3]
 
Serikali ya Houthi ya Yemeni imeshambulia Israel kwa kutumia ballistic missiles kutokea Yemen.

Huu ni muendelezo wa hatua ya pili baada ya awali kua inashambulia meli za mizigo zinazoelekea Israel,lengo lake la Yemen likiwa kuwaunga mkono Palestina.

Tumsome msemaji wa jeshi la Yemen,Yahya Sarae.View attachment 2892297
Safi Safi kongole kwao
IMG_20240125_144211.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Watapata wanachokitafuta, bora washambulie USA au NATO lakini siyo myahudi, myahudi vita ndo vimesababisha aweze kusurvive mpaka leo, SadamuHusein wa Iraq alijaribu kurusha mabomu ya scurd mbaka Israel lakini hakuambulia kitu, kwa mwenendo wa Iran siku akipata boom la Nyuklia lazima azisogeze pale Syria au Lebanon ili kumtishia Israel, kwa mazingira hayo usalama wa Israel ni kumshambulia Iran
Walokole mna ujinga mwingi sana
 
Mnaaminishwa kuwa Israel ni zaidi ya kila taifa ulimwenguni kivita na mnakubali. Unadhani walioshambulia unawazidi akili na intelijensia ya kijeshi?

Wanajua wanachokifanya!
hv umeelewa kinachozungumzwa , hayo mengine nyie ndo mnayo vichwan , yemen si level ya Israel , ELEWAAA
 
Ndugu zangu
Hivi hamuoni kuwa hii vita inazidi kuaogea kwetu?

Tunapaswa kukemea sana haya madudu ya mashariki ya kati.

Israel, palestina, marekani na wengineo wanakosea kuchochea mauaji
Iran hachochei mauaji ? kwann humtaj ?
 
Ikiwa baba yake kamshindwa akaweze mtoto anaye lishwa ubwabwa.

Hivi we akili zako ziko timamu wewe, Israel ikiwa Hamasi kawashindwa na Hamasi kafungiwa mipaka mpaa maji na umeme akapigane na Yemen.

Israel ana nini huyo anakuzwa tu na media za Western na propoganda zao.

Yemen habari ingine ni moto wa mbali hata America na Uingereza wamekiri hayo, we baki unatapa tapa kama mgonjwa wa utapia mlo.
kwan Yemen ina serikali moja ? ushabiki na unafiki ndo unatiferisha watu weusi , mtu upo busy kuisifia Yemen iliyoshindwa hata kujitawala kwa serikali moja nchi nzima
 
Hizi zilikua stori kama za kina juma na uledi amka usingizini acha kuota . Hapo Gaza tu wanamgambo wa Hamas na Hezbollah wanamtoa kamasi itakua Yemen wenye makombora ya masafa marefu.
ndio maana israel wamefungua kesi ICJ kuwa wanauliwa hovyo?
 
Back
Top Bottom