Lakini hawezi sijui anaogopa niniWatapata wanachokitafuta, bora washambulie USA au NATO lakini siyo myahudi, myahudi vita ndo vimesababisha aweze kusurvive mpaka leo, SadamuHusein wa Iraq alijaribu kurusha mabomu ya scurd mbaka Israel lakini hakuambulia kitu, kwa mwenendo wa Iran siku akipata boom la Nyuklia lazima azisogeze pale Syria au Lebanon ili kumtishia Israel, kwa mazingira hayo usalama wa Israel ni kumshambulia Iran
Watapata wanachokitafuta, bora washambulie USA au NATO lakini siyo myahudi, myahudi vita ndo vimesababisha aweze kusurvive mpaka leo, SadamuHusein wa Iraq alijaribu kurusha mabomu ya scurd mbaka Israel lakini hakuambulia kitu, kwa mwenendo wa Iran siku akipata boom la Nyuklia lazima azisogeze pale Syria au Lebanon ili kumtishia Israel, kwa mazingira hayo usalama wa Israel ni kumshambulia Iran
Iran ana silaha hatari,anazo IBM pia,Iran ndio mbabe wa middle EastLakini hawezi sijui anaogopa nini
Mnaaminishwa kuwa Israel ni zaidi ya kila taifa ulimwenguni kivita na mnakubali. Unadhani walioshambulia unawazidi akili na intelijensia ya kijeshi?Watapata wanachokitafuta, bora washambulie USA au NATO lakini siyo myahudi, myahudi vita ndo vimesababisha aweze kusurvive mpaka leo, SadamuHusein wa Iraq alijaribu kurusha mabomu ya scurd mbaka Israel lakini hakuambulia kitu, kwa mwenendo wa Iran siku akipata boom la Nyuklia lazima azisogeze pale Syria au Lebanon ili kumtishia Israel, kwa mazingira hayo usalama wa Israel ni kumshambulia Iran
Ndugu zanguSerikali ya Houthi ya Yemeni imeshambulia Israel kwa kutumia ballistic missiles kutokea Yemen.
Huu ni muendelezo wa hatua ya pili baada ya awali kua inashambulia meli za mizigo zinazoelekea Israel,lengo lake la Yemen likiwa kuwaunga mkono Palestina.
Tumsome msemaji wa jeshi la Yemen,Yahya Sarae.View attachment 2892297
Ikiwa baba yake kamshindwa akaweze mtoto anaye lishwa ubwabwa.Watapata wanachokitafuta, bora washambulie USA au NATO lakini siyo myahudi, myahudi vita ndo vimesababisha aweze kusurvive mpaka leo, SadamuHusein wa Iraq alijaribu kurusha mabomu ya scurd mbaka Israel lakini hakuambulia kitu, kwa mwenendo wa Iran siku akipata boom la Nyuklia lazima azisogeze pale Syria au Lebanon ili kumtishia Israel, kwa mazingira hayo usalama wa Israel ni kumshambulia Iran
Hizi zilikua stori kama za kina juma na uledi amka usingizini acha kuota . Hapo Gaza tu wanamgambo wa Hamas na Hezbollah wanamtoa kamasi itakua Yemen wenye makombora ya masafa marefu.Watapata wanachokitafuta, bora washambulie USA au NATO lakini siyo myahudi, myahudi vita ndo vimesababisha aweze kusurvive mpaka leo, SadamuHusein wa Iraq alijaribu kurusha mabomu ya scurd mbaka Israel lakini hakuambulia kitu, kwa mwenendo wa Iran siku akipata boom la Nyuklia lazima azisogeze pale Syria au Lebanon ili kumtishia Israel, kwa mazingira hayo usalama wa Israel ni kumshambulia Iran
Wapigwe tu, hakuna namnaSerikali ya Houthi ya Yemeni imeshambulia Israel kwa kutumia ballistic missiles kutokea Yemen.
Huu ni muendelezo wa hatua ya pili baada ya awali kua inashambulia meli za mizigo zinazoelekea Israel,lengo lake la Yemen likiwa kuwaunga mkono Palestina.
Tumsome msemaji wa jeshi la Yemen,Yahya Sarae.View attachment 2892297
Allah atawapa nguvu zaidi za kuwatetea wenzao wa Palestina,Serikali ya Houthi ya Yemeni imeshambulia Israel kwa kutumia ballistic missiles kutokea Yemen.
Huu ni muendelezo wa hatua ya pili baada ya awali kua inashambulia meli za mizigo zinazoelekea Israel,lengo lake la Yemen likiwa kuwaunga mkono Palestina.
Tumsome msemaji wa jeshi la Yemen,Yahya Sarae.View attachment 2892297
Kjupigwa ni mara ngapi.Kila siku wanapigwa lakini na wao hawakomi kwani wana ajenda madhubuti.tukubaliane siku wakipigwa yemen msije na vipicha picha vya watoto sijui wameangukiwa mabomu
Syria kajificha anasubiri muda wake ufike aongeze dozi juu kwa juu.Sasa hv washaona israel hamna kitu watu wanajpgia tu.
Haya Maoni yako pia,Yataleta athari chanya ikiwa utaongezea Congo Sudani kusini Na Nigeria Ambapo Machafuko Ni kila leo.Ndugu zangu
Hivi hamuoni kuwa hii vita inazidi kuaogea kwetu?
Tunapaswa kukemea sana haya madudu ya mashariki ya kati.
Israel, palestina, marekani na wengineo wanakosea kuchochea mauaji
Hii aione johnthebaptistKwa heshima ya jukwaa hili....mtu anapoleta habari ni vyema aweke na link kusindikiza habari yake......ukileta habari kavu kavu inaonekana ni msukumo wa utashi wako na sio habari.......hivyo inashusha weledi wa jukwaa hili kuonekana jukwaa la uzushi na watu wa mihemko
Hiyo single imeshachuja watu hawana muda "time is running out "tukubaliane siku wakipigwa yemen msije na vipicha picha vya watoto sijui wameangukiwa mabomu