Wamekiri wapi, waswahili walivyo mikwara kibao utafikiri wao wako imbeded with the American admin kumbe wanauza magimbi soko la Tandale kushindia chai ya rangi kikombe kimoja na muhogo wa kuchoma 🤣🤣🤣Ikiwa baba yake kamshindwa akaweze mtoto anaye lishwa ubwabwa.
Hivi we akili zako ziko timamu wewe, Israel ikiwa Hamasi kawashindwa na Hamasi kafungiwa mipaka mpaa maji na umeme akapigane na Yemen.
Israel ana nini huyo anakuzwa tu na media za Western na propoganda zao.
Yemen habari ingine ni moto wa mbali hata America na Uingereza wamekiri hayo, we baki unatapa tapa kama mgonjwa wa utapia mlo.
"Sio USA Wala Israel anayeweza kushambulia Iran moja kwa moja" ila Pakistan ndio mwenye nguvu kuliko hao US na Israel sio?Hawezi ishambulia Iran direct nchini kwake,huwa anavizia Syria na Iraq kushambulia maafisa wa jeshi,Iran nayo hua inasaka maafisa wa Israel nayo inawaua,kama hivi karibu!!
Sio USA wala Israel anaeweza kushambulia Iran moja kwa moja!!
Tatizo we ulikulia tandale ndio unadhani wote tumetokea huko 😄Wamekiri wapi, waswahili walivyo mikwara kibao utafikiri wao wako imbeded with the American admin kumbe wanauza magimbi soko la Tandale kushindia chai ya rangi kikombe kimoja na muhogo wa kuchoma 🤣🤣🤣
Pakistan alishambulia Boluchistan shared border with Iran."Sio USA Wala Israel anayeweza kushambulia Iran moja kwa moja" ila Pakistan ndio mwenye nguvu kuliko hao US na Israel sio?
Akimshambulia uje utustue [emoji3]Watapata wanachokitafuta, bora washambulie USA au NATO lakini siyo myahudi, myahudi vita ndo vimesababisha aweze kusurvive mpaka leo, SadamuHusein wa Iraq alijaribu kurusha mabomu ya scurd mbaka Israel lakini hakuambulia kitu, kwa mwenendo wa Iran siku akipata boom la Nyuklia lazima azisogeze pale Syria au Lebanon ili kumtishia Israel, kwa mazingira hayo usalama wa Israel ni kumshambulia Iran
Ndio"Sio USA Wala Israel anayeweza kushambulia Iran moja kwa moja" ila Pakistan ndio mwenye nguvu kuliko hao US na Israel sio?
Safi Safi kongole kwaoSerikali ya Houthi ya Yemeni imeshambulia Israel kwa kutumia ballistic missiles kutokea Yemen.
Huu ni muendelezo wa hatua ya pili baada ya awali kua inashambulia meli za mizigo zinazoelekea Israel,lengo lake la Yemen likiwa kuwaunga mkono Palestina.
Tumsome msemaji wa jeshi la Yemen,Yahya Sarae.View attachment 2892297
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapigwe [emoji2923][emoji2923]Sasa hv washaona israel hamna kitu watu wanajpgia tu.
Walokole mna ujinga mwingi sanaWatapata wanachokitafuta, bora washambulie USA au NATO lakini siyo myahudi, myahudi vita ndo vimesababisha aweze kusurvive mpaka leo, SadamuHusein wa Iraq alijaribu kurusha mabomu ya scurd mbaka Israel lakini hakuambulia kitu, kwa mwenendo wa Iran siku akipata boom la Nyuklia lazima azisogeze pale Syria au Lebanon ili kumtishia Israel, kwa mazingira hayo usalama wa Israel ni kumshambulia Iran
baadae msiseme israel ilijishambulia ili ipate sababu ya kuishambulia Yemen , uzur wa Israel hukaa kimya na akijib anapiga pigo zitoLakini hawezi sijui anaogopa nini
hv umeelewa kinachozungumzwa , hayo mengine nyie ndo mnayo vichwan , yemen si level ya Israel , ELEWAAAMnaaminishwa kuwa Israel ni zaidi ya kila taifa ulimwenguni kivita na mnakubali. Unadhani walioshambulia unawazidi akili na intelijensia ya kijeshi?
Wanajua wanachokifanya!
kama Hamas ? time will tellSasa hv washaona israel hamna kitu watu wanajpgia tu.
Iran hachochei mauaji ? kwann humtaj ?Ndugu zangu
Hivi hamuoni kuwa hii vita inazidi kuaogea kwetu?
Tunapaswa kukemea sana haya madudu ya mashariki ya kati.
Israel, palestina, marekani na wengineo wanakosea kuchochea mauaji
kwan Yemen ina serikali moja ? ushabiki na unafiki ndo unatiferisha watu weusi , mtu upo busy kuisifia Yemen iliyoshindwa hata kujitawala kwa serikali moja nchi nzimaIkiwa baba yake kamshindwa akaweze mtoto anaye lishwa ubwabwa.
Hivi we akili zako ziko timamu wewe, Israel ikiwa Hamasi kawashindwa na Hamasi kafungiwa mipaka mpaa maji na umeme akapigane na Yemen.
Israel ana nini huyo anakuzwa tu na media za Western na propoganda zao.
Yemen habari ingine ni moto wa mbali hata America na Uingereza wamekiri hayo, we baki unatapa tapa kama mgonjwa wa utapia mlo.
ndio maana israel wamefungua kesi ICJ kuwa wanauliwa hovyo?Hizi zilikua stori kama za kina juma na uledi amka usingizini acha kuota . Hapo Gaza tu wanamgambo wa Hamas na Hezbollah wanamtoa kamasi itakua Yemen wenye makombora ya masafa marefu.
hatutak emoj za huruma baadaeKjupigwa ni mara ngapi.Kila siku wanapigwa lakini na wao hawakomi kwani wana ajenda madhubuti.
siku Hamas kavamia Israel mliandika haya haya , mpende kujipa mudaHakunaga m babe wa siku zote wala hakunaga mnyonge wa kila siku. Zama zinabadilika. Chamsingi tuwaache wazichape . Ikisikika milio bas tutarud tena kujua nan huyo analia
baadae msitie hurumaKwa Wouth, laaah Israel ichutame.