Katika muendelezo wa serikali ya Houthi ya Yemeni kuiunga mkono Palestine na kujibu mashambulizi ya USA na Uingereza,Leo usiku imeendeleza mashambulizi yake dhidi ya meli ya Uingereza kw akuipiga makombora na kutungua ndege vita ya USA aina ya MQ9. The average unit cost of an MQ-9 is estimated at $30 million in 2022 dollars. Ndani ya mwezi mmoja Houthi wametungua ndege 2 za MQ9
Aina ya ndege iliyotunguliwa
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Jinsi meli ya Uingereza yenye jina la RUBY-MAR ilivyozama baada ya kupigwa kombora.
Your browser is not able to display this video.
NB-ndani ya miezi mitatu Houthi wameshambulia meli zaidi ya 30 ambazo zinamilikiwa na kampuni za USA, Israel na Uingereza
Unaelewa nini ukiambiwa come to halt??
Hiyo meli imechakazwa halt maana yake ni terminate hivyo huwenda ni kweli imezama.
Soma link uliyoleta kwa ufasaha.